TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,048
Kwa sababu walikuwa wanatokea msikiti wa Mtoro na Idrisa!!!!mmh,..umejuaje kama ni waislam???
Kwa sababu walikuwa wanatokea msikiti wa Mtoro na Idrisa!!!!mmh,..umejuaje kama ni waislam???
Kwa hiyo na wewe upo kwenye maandamano?Mvua haiwezi kuzuia waislamu wasiandamane!!Acha uzushi wewe mie nipo Kariakoo mtaa wa msimbazi na mvua inanyesha hakuna maandamano yeyote.
bila shaka pia tegeta ulikuwepo maana wewe huwa upo kila sehemuAcha uzushi wewe mie nipo Kariakoo mtaa wa msimbazi na mvua inanyesha hakuna maandamano yeyote.
hahahahahahahahhahahhahaahahahahhhahah nilikuwa nasubiri hili swali kwa hamu san napita wakuu ntakuja soma updateKwani leo ni Ijumaa.
kwa hiyo na wewe upo kwenye maandamano?mvua haiwezi kuzuia waislamu wasiandamane!!
Nipo kariakoo maeneo ya sokoni, yamepita maandamano ya baadhi ya waislamu wakihamasisha wengine, wanapita wakiimba, ila hakuna vurugu yoyote, wameelekea barabara ya Msimbazi, hapa kimepita kikundi cha watu wasiozidi 50.
Sasa sijui ilikuwa imepangwa au ndo inaanzishwa, na kesi ya Ponda ni lini?
Kimya kimya hainogi mkuu!safari hii ni mwendo wa "Kimya Kimya"
Kwa hiyo na wewe upo kwenye maandamano?Mvua haiwezi kuzuia waislamu wasiandamane!!
Wewe kiboko upo sokoni lakini unaona msimbazi.
Pro-Chadema JF hivi waislam wamewakosea nini...
Mkuu wakati mwingine tuwe serious, tuachane na ushabiki wa siasa.Uungwana ilikuwa kujibu nilichokuuliza!!!Pro-Chadema JF hivi waislam wamewakosea nini...
Issue siyo ijumaa,issue ni baada ya swala!!!Kwani leo ni Ijumaa.
Kuandamana ni haki ya msingi ya raia wa Tanzania.Hatahivyo wananchi wanapaswa kufuata taratibu za nchi kabla ya kufanya maandamano,ikiwepo kupata kibali kabla ya maandamano!
Kwani waislamu hamvijui vituo vya polisi vilipo?Vp ? Vibali unavyo wewe !?
mkuu kila mtu alisimama mbali, alafu wale jamaa wako hai haiNaibili

Haukuweza hata kusema na mmoja wao na ukajua dhumuni lao la maandamano yao?

Inaweza ikawa wana tija kubwa katika maandamano yao ya leo?

Na je? Wana mabango yoyote?
Hivi kwanini Waislam ndio wanaongoza Tanzania kwa kutokujua kusoma na kuandika + Umaskini?Vp ? Vibali unavyo wewe !?
Kwa sababu walikuwa wanatokea msikiti wa Mtoro na Idrisa!!!!