Maandamano ya waislamu Kariakoo!

Maandamano ya waislamu Kariakoo!

Status
Not open for further replies.
Mkuu wakati mwingine tuwe serious, tuachane na ushabiki wa siasa.Uungwana ilikuwa kujibu nilichokuuliza!!!

Mkuu uungwana ni upi kutelekeza familia pamoja na watoto?
 
Hiyo misikiti ipo mbalimbali naona umeamua kujifurahisha. Dawa yenu ipo jikoni tutakutana kwenye box la kura mwaka 2015.
Potelea mbali,lazima tupambane na ugaidi kwa nguvu zetu zote!!.Kamwe hawezi kuvumilia ugaidi amauwe umeigia kwa nia ya kidemokrasia au kwa njia ya mapinduzi!!!
 
Ama kweli wewe gamba ni nuksi kweli! Mambo ya CDM na Uislamu unavipeleka wapi hapa? Acha kijana kutumika vibaya kwani utaja kujuta Ritz


Pro-Chadema JF hivi waislam wamewakosea nini...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umem-misread, amesema 'wameelekea barabara ya Msimbazi'

Nakushauri ujenge hoja kuwa kama wameelekea msimbazi, huenda ni mashabiki wa Simba wanaenda kumtoa Rage/Kaburu madarakani

Wewe ndio jenga hoja amejuaje kama wanaelekea msimbazi wakati yeye yupo sokoni mtaa wa swahili, kabla ujafika msimbazi unapita mitaa mitano labda walikuwa wanaelekea Congo au Narung'ombe.
 
Hiyo misikiti ipo mbalimbali naona umeamua kujifurahisha. Dawa yenu ipo jikoni tutakutana kwenye box la kura mwaka 2015.
Kwa taarifa yako rais ajaye ni LAZIMA awe MKRISTO iwe kutoka CHADEMA au CCM. Waislam hamna chenu 2015.
 
Potelea mbali,lazima tupambane na ugaidi kwa nguvu zetu zote!!.Kamwe hawezi kuvumilia ugaidi amauwe umeigia kwa nia ya kidemokrasia au kwa njia ya mapinduzi!!!

Mkuu kaa ukifahamu watanzania saizi ni watu makini hawezi kukubali kutawaliwa na Sheikh wala Padri mkuu...umenipata.
 
Ama kweli wewe gamba ni nuksi kweli! Mambo ya CDM na Uislamu unavipeleka wapi hapa? Acha kijana kutumika vibaya kwani utaja kujuta Ritz

Nina miaka 4 JF nawajua members wote hapa JF...Unauliza vumbi stoo.
 
Last edited by a moderator:
walikuwa wanaimba nini? lazima wanasababu ya kuandamana.
walikuwa wanaimba shule naipenda shule ahh kiuno changu chembmba cha kuvalia mkanda shule ahh......
Wlipomaliza wakaanza kuimba ​sasa sasa saa ya kwenda kwetu, kwaheri mwalimu kwaheri tutaonana keshooooooooo
 
Hivi kwanini Waislam ndio wanaongoza Tanzania kwa kutokujua kusoma na kuandika + Umaskini?

Hiyo research umeifanya lini na umetumia njia gani? Hebu tupe majibu ya hayo maswali!
 
Kwa taarifa yako rais ajaye ni LAZIMA awe MKRISTO iwe kutoka CHADEMA au CCM. Waislam hamna chenu 2015.

Hakuna tatizo Rais hakiwa Lowassa, Membe, tena tafurahi sana watapata kura yangu...lakini watanzania hatuwezi kutawaliwa na Sheikh wa Padri.
 
Tarudi baadae kutoa elimu ya uraia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom