Maandamano yamepigwa marufuku,mjiandae kupigwa virunguKuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki ujuha.
mkuu pole na majukumu kila mahakama ina uwezo wa kusikiliza kesi kulingana na uzito wa kesi.Haiwezekani hata siku moja kesi ya mauaji kusikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo. Hivyo ningeshauri ungefanya ka utafiti ukajua kwa nini kesi hii imeenda kufunguliwa mwanza na siyo kahama na shinyanga.Nahisi pia kuna umuhimu wa elimu kwa umma juu ya aina za kesi na mahakama ipi ina uwezo wa kusikiliza.Si aende kule Kahama au shinyanga walikokamatwa wafuasi wake
Ndo maana ukawa Sera yao ilikuwa ni elimu elimu elimumkuu pole na majukumu kila mahakama ina uwezo wa kusikiliza kesi kulingana na uzito wa kesi.Haiwezekani hata siku moja kesi ya mauaji kusikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo. Hivyo ningeshauri ungefanya ka utafiti ukajua kwa nini kesi hii imeenda kufunguliwa mwanza na siyo kahama na shinyanga.Nahisi pia kuna umuhimu wa elimu kwa umma juu ya aina za kesi na mahakama ipi ina uwezo wa kusikiliza.
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki ujuha.
Kama anachukia Ufisadi, basi Asingemrudisha Muhongo kwa kudharau maamuzi ya bunge, na Wasingezima Lugumi, Kashfa ya kuuuzwa uda etc na Hivi Chenge amekuwaje Mwenyekiti wa Bunge? Umsituletee mauza uzaMistari yote hiyo hakuna hata neno Ufisadi...chadema hampingi tena ufisadi,ufisadi mmeupa mgongo....chadema mmekuwa chanda na pete na ufisadi...chadema nyinyi Mungu anawaona
Kuifuta siwezi but naongezea neno “except wale waonao umuhimu wa swala hili”.Please futa kauli yako. Usiyachukue mawazo ya mtu mmoja asiyejielewa kama mawazo ya wana Mwanza.
Hapa Mwanza kwenye mahakama kuu kanda ya ziwa wananchi wamepokea kwa bashasha azimio la kuja kufungulia kesi hapa kama heshima kubwa waliyopewa na wanamageuzi.
Ndio maana hata juzi Mbowe akawa anaalikwa na mashina mbalimbali ayatembelee ila polisi wakaingilia kati kwani uhai wa Chadema na ukawa kwa jumla ulionekana kama unapata chachu ambayo ni pigo kwa ccm.
Kesi hii tupo pamoja nao, sio Mwanza tuu bali kanda nzima. Na tuone vimbulukutu vinavyojinadi kwenye keyboard vitafanya nini.
Jamaa wanavyohangaika hadi wanatia huruma.shangaa! wafuasi wake wanahangaika na kesi kashindwa hata kuwawekea zamana, kashindwa kuwawekea wakili halafu anakuja kuleta fujo mwanza, tumestuka na hatutaki mambo ya kijinga, akahangaike na kesi ya watu wake shinyanga.
Unaweza ukawa sahihi, lakini kumbuka pia kuna wananzengo halisi zaidi yako na walimwomba mh Mbowe kufungua kesi kupitia Mwanza.hayo ya ukanda ni ya kwako, jibu swali langu usipepese macho, kafurumushwa kahama kakimbia kote tinde shinyanga maganzo nhungumalwa misungwi kaja kufungua kesi mwanza! kama shida yake ahukumiwe na jaji kwanini hakwenda tabora ambako diko jiografia ya kimahakama kwa kahama? tunajua anatafuta shari na ataipata tu.
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki ujuha.
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki ujuha.
Unaweza ukawa sahihi, lakini kumbuka pia kuna wananzengo halisi zaidi yako na walimwomba mh Mbowe kufungua kesi kupitia Mwanza.
Sasa ndugu yangu unapoongea "Sisi wana Mwanza" sijui umewakusanya watu wangapi?
Pale Mwatex viongozi wa CDM walivyoshikiliwa,wananzengo walikuwa shazi pale.
Mhimu ndugu yangu Eddy, hebu piga kazi zako achana na wanasiasa wafanye siasa zao,wala usiwatishie wanamwanza kuwa kuna mtu au kikundi cha watu wajiitao wanamwanza wameandaa maandamano ya kupinga mbowe kufungua kesi Mwanza. Mahakama zipo ili kusaidia tafsiri kisheria na haziwafungi watu kufungulia kesi zao Kahama au Shinyanga. Ziache mahakama zifanye kazi zake na sisi wanamwanza tupige kazi kuungana na mh raisi kuwa HAPA KAZI TU!!!!