Maandamano ya kupinga fujo za Mbowe, Mwanza

Maandamano ya kupinga fujo za Mbowe, Mwanza

Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama.

Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka.

Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi Shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana.

Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi Nyashishi.
nyie mnaotaka kuandamana ndiyo mnaleta fujo na mtapigwa tu...
 
Back
Top Bottom