Maandamano ya kupinga fujo za Mbowe, Mwanza

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,400
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama.

Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka.

Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi Shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana.

Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi Nyashishi.
 
Mkuu Eddy,
Naona kuna harufu ya ''kikanda'' katika kuleta maoni yako. Je mji wa Mwanza haupo ktk Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
hayo ya ukabila ya kwako, zuio lilitolewa dar, yeye makazi yake dar, ofisi yake iko dar, kapigwa na polisi kahama, kinachomleta kufungua kesi mwanza ni nini kama sio kuchochea fujo? nasema hapa tutaelewana na tutaheshimiana tu.
 
Dah kumbe Dar ni Tanzania na mwanza ni kenya. Nilikuwa Sijaelewa. Mkuu yaelekea una ubaguz sana tena wa hali ya juu na una chuki binafsi .
 
hayo ya ukabila ya kwako, zuio lilitolewa dar, yeye makazi yake dar, ofisi yake iko dar, kapigwa na polisi kahama, kinachomleta kufungua kesi mwanza ni nini kama sio kuchochea fujo? nasema hapa tutaelewana na tutaheshimiana tu.

Mkuu fikiri nje ya box mambo hayo hayakuhusu. Hayo ni mambo ya kisheria na yanatatuliwa kupitia mahakama na mahakama kufanya fasiri ya zuio la Polisi lipo kikatiba au la.

Mambo ya kujifanya ''ukanda'' au u-''vigilante'' a.k.a sungusungu kuchukua hatua mikononi bila kufuata sheria yatasababisha hata shughuli hizo za kibiashara zipate mkwamo.
 
hayo ya ukanda ni ya kwako, jibu swali langu usipepese macho, kafurumushwa kahama kakimbia kote tinde shinyanga maganzo nhungumalwa misungwi kaja kufungua kesi mwanza! kama shida yake ahukumiwe na jaji kwanini hakwenda tabora ambako diko jiografia ya kimahakama kwa kahama? tunajua anatafuta shari na ataipata tu.
 
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa chadema kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka hatukubari kutuharibia mji wetu.

Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, siaende moshi arusha na dar aliko na wafuasi wengi, siakafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki ujuha.
ENHEE Utakuwa Wewe Na Nani?
 
Duh, masikini Tanzania tayari inameguka kikanda kwa kauli za kina Eddy na Ibambasi.
 
naona unatumia mtandao kuitisha maandamano wakati jeshi la polisi tumepiga marufuku, sasa subiri sheria ichukue mkondo wake
 
huo ukabila unao wewe tu, hao waling'ang'aniwa kahama ni wachagga?

Hapa polisi wameshapata sababu za kiintelenjensia kuwa ''pande mbili za kisiasa'' zitasababisha uvunjifu wa amani na hivyo kukazia tamko lao la kupiga marufuku shughuli za kisiasa.

Lakini shughuli ya kufanya tafsiri ya kikatiba jijini Mwanza kuhusu ''zuio la shughuli za kisiasa'' mahakamani ni kazi ya mhimili wa Mahakama na Mahakama Kuu bahati nzuri haina mipaka katika utendaji kazi ndani ya Jamhuri ya Muungano upande wa Tanzania Bara katika shughuli ya kutafsiri katiba.
 
nashukuru kwa kuleta hoja ya msingi, basi kama ni hivyo kwanini asiende kufungua kesi yake dar au akafungulie shinyanga alikozuiliwa kufanya mikutano yake na alikokamatiwa wafuasi wake badala yake aje kujikita mwanza?
 
We jaribu kuleta fyoko kama hujapata chongo,waulize wale waliojifanya wanaCDM wakaandamana dar eti wanapunga ujio wa lowassa kumbe ni wametumwa na ccm.Mkong'oto waliopata hawana hamu mpaka kesho,we jilengeshe tu!
 
Ndo hivyo tena katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa nafasi mtanzania kufungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu popote ndani ya mipaka ya Tanzania Bara.

Labda Bunge lifanye marekebisho ya sheria kwa hati ya dharura kwa kutumia wingi wa wa-Bunge wa CCM bungeni lakini katika hali ilivyo sasa hakuna jinsi kesi imefunguliwa Mahakama Kuu jijini Mwanza na imetimiza mahitaji yote kisheria na kikatiba kusikilizwa katika mji wenu wa Mwanza.
 
We jaribu kuleta fyoko kama hujapata chongo,waulize wale waliojifanya wanaCDM wakaandamana dar eti wanapunga ujio wa lowassa kumbe ni wametumwa na ccm.Mkong'oto waliopata hawana hamu mpaka kesho,we jilengeshe tu!
uanadhani mwanza ni dar? ngoja uone mziki wake tunahangaika na mamba mwenyewe sio kenge wadogo wadogo.
 
Back
Top Bottom