Maandamano ya kupinga fujo za Mbowe, Mwanza

Maandamano ya kupinga fujo za Mbowe, Mwanza

Si hivyo tu tena siku hizi kuna mahakama kuuu kanda ya shinyanga kwanini asingefungulia hapo
Usimchagulie mahali pa kufungulia kesi we kama hujui sheria ni bora ungeomba msaada wa kuelewa si kutishia maandamano
 
Kwanin usiende mahakamani kumuwekea pingamizi? Lakin sijui kama unajua mikutano na maandamano vimekatazwa? Anachoenda kudai Mbowe huko mahakamani kimekuzuiwa na wewe ndio hicho unachotaka kwenda kukifanya unajielewa? Au kwa upande wenu zuio hilo haliwahusu? Mnauponda sana upinzani juu ya ukasikazini, hivi ukanda unaouleta una tofauti gani na ule mnaodai wenzenu wanaufanya?

Mkuu, huyu wala si CHADEMA si UKAWA.
Hata hivyo hapa ninaona ukweli mweupe mmoja tu kwamba "KWA KUWA NI MAANDAMANO YA WANA HARAKATI WA CCM KUTKA KUDHOOFISHA UPINZANI NA KULINDA MASLAHI YA CCM MWANZA YALIYOWAFANYA WAMCHAKACHUE WENJE, BILA SHAKA YATARUHUSIWA AMA HAYAHITAJI KABISA HATA KIBALI CHA POLISI ZAIDI YA KUTOA TAARIFA TU. NA INTELIJENSIA YA POLISI, KAMWE HAITAPATA TAARIFA KWAMBA MAANDAMANO HAYA ITAKUWA NA KILE KINAITWA VURUGU KUBWA".

HATA KAMA KUTAKUWA NA VURUGU KUBWA, KWA KUWA NI MAANDAMANO YA HIVI POLISI WATATUMIA NGUVU ZAO KUKABILIANA NA VURUGU ZILE NA KAMWE HAITAKUWA KUKABILIANA NA WATAKAOFANYIWA VURUGU KAMA VILE INTELIJENSIA HIYO IMEKUWA IKIFANYA KAZI MIAKA YOTE.
 
wengine waandike tu na wao !
labda wewe ndio unaandamana jf.
 
Mkuu Eddy,
Naona kuna harufu ya ''kikanda'' katika kuleta maoni yako. Je mji wa Mwanza haupo ktk Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Ndiyo, na mimi nasema akafungulie Moshi. Aache watu wetu wafanye kazi tuneshachika na maigizo
 
Taja sheria aliyovunja,usitufanye wasukuma kuwa Wajinga kiasi hicho.
 
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si aende moshi arusha na dar aliko na wafuasi wengi, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki ujuha.
Kwani kesi kuendeshwa mahakamani huwa inazuia biashara kufanyika? Mimi nadhani biashara ndio inaongezeka kwani wageni watalazimika kulala hotel za Mwanza na kutumia kumbi za mikutano ya ndani za huko. Au labda sijakuelewa mahali?
 
Mwanza kuna mtaji mkubwa wa media tofauti na huko Ibinzamata so ni mkakati wa kusaka coverage zaidi.

Si unakumbuka hata Mawazo alilazimika kuletwa Mza kwa ajili ya kuagwa.
 
Chadema wana uchungu kupoteza kanda ya ziwa haswa jiji la mwanza
Hiyo yote ni mahsusi katika kuhuisha tu uhai wa chadema mwanza
 
hayo ya ukanda ni ya kwako, jibu swali langu usipepese macho, kafurumushwa kahama kakimbia kote tinde shinyanga maganzo nhungumalwa misungwi kaja kufungua kesi mwanza! kama shida yake ahukumiwe na jaji kwanini hakwenda tabora ambako diko jiografia ya kimahakama kwa kahama? tunajua anatafuta shari na ataipata tu.
Hayo maandamano unafanyia wapi,ilihali jeshi la polisi limepiga marufuku matukio ya sina hiyo!!?
 
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa chadema kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka hatukubari kutuharibia mji wetu.

Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki ujuha.
Na nyinyi mkiruhusiwa kufanya hayo maandamano tutaamini kuwa nchi yenu peke yenu watu wa Lumumba wengine tutaanza kutafuta jinsi ya kukaa mbali.
 
hayo ya ukabila ya kwako, zuio lilitolewa dar, yeye makazi yake dar, ofisi yake iko dar, kapigwa na polisi kahama, kinachomleta kufungua kesi mwanza ni nini kama sio kuchochea fujo? nasema hapa tutaelewana na tutaheshimiana tu.
Mbona una kiherehere sana wewe ni nani hapa Mwanza
 
nani kakwambia mbowe ni mwananzengo wa mwanza? hatumtaki na wenje wake tumeshamtupa kule sijui anatutafutia nini huyu baba? hiyo kesi yake akaifungulie mahakama ya mwanzo ibinzamata, safari hii lazima ziumane tu tumechoka sasa.
Kweli Nape amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupanda mbegu ukabila na ukanda. Hayo maandamano ni ya polisi au raia wa kawaida maana polisi wametangaza kupiga marufuku mikutano na maandamano. Au yatakuwa maandamano ya ndani ya kifamilia? Wewe ni kati ya watu wenye vimelea vya ukabila na ukanda uliokubuhu
 
Mkutano wa zito na waandishi wa habari
 
Mimi nasubiri hayo maandamano nione kwa jinsi ulivyo andika bila shaka ndio mmesha andamana kwa maandishi
Msijivune usukuma na mfukoni hamna kitu.
 
Back
Top Bottom