Maandamano ya kupinga fujo za Mbowe, Mwanza

Maandamano ya kupinga fujo za Mbowe, Mwanza

Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki
WACHAGA WAJANJA MAANDAMANO WANAFANYIA ARUSHA NA MWANZA SIO MOSHI WANAHAMI MALI ZAO
 
Mmeta Mada umewaza mbali sana mtu mwenye akili lazima akuunge mkono,machafuko yalitokea mbali huko Kahama kwanini asifungue kesi huko??

Jamaiiforum raha kweli watu wanafikiri kwelikweli!!!
 
aende bungeni wananchi wake wanasubiria uwakilishi, wanavuta kodi zetu alafu badala ya kutuwakilisha wanakomaa na maandamano na kesi
 
hakuna cha katiba hapa anatetea pesa kutoka chama cha centre party cha Norway kupitia TDC, anafanya show apeleke clip kwa wafadhili apate mpunga, safari hii huyo mwakili wao lazima tumkamate airport anajifanya kutumia passport ya Tanzania.

Eddy nimefuatilia hoja zako na imefika sehemu unachanganya sana hata maada sasa umeivuruga. 1 wewe umeitisha maandamano afu wewe yuleyule unawafahamu chadema, 2 wewe unashinda na jamii forum kama kwamba huna kazi na km una kazi basi ni hii ya kusubiri kujibu hoja jf lakini hapa ndo mwisho 3 umegeuka afisa uhamiaji au polisi kukamata watu wanaoingia na pasu zao. Haukawii kusema we ndo uliyekamata wale watumishi hewa 150 kwenye hilo jiji lako la mwanza. Ushauri wa bure. Kama una hoja nzuri basi jikite na kitu kimoja. Do one thing at a time
 
Vijana wanaoshabikia upuuzi wa ccm nahisi kuna harrufu ya kulogwa au kuwa na upungufu wa vitu fulani flani kwenye bongo zao. Hivi kijana wa sasa unaishabikia ccm kwa jema lipi?

Afadhali sisi ambao tuko over 40 tulifaidika kidogo kwenye elimu enzi za mwalimu ambapo mambo mengi yalikuwa na unafuu flani, sasa kijana chini ya miaka 30 unatokwa na mapovu ukishabikia mambo maovu tu mwanzo mwisho - tukueleweje?
 
Mkuu Eddy,
Naona kuna harufu ya ''kikanda'' katika kuleta maoni yako. Je mji wa Mwanza haupo ktk Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Acha upuuzi, anatoka mkoa wa Shinyanga anaenda mkoa wa Mwanza.
Watu wa mwanza wanataka maisha ya maendeleo, wafanyekazi zao wapate kipato wale, watoto waende shule etc
 
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama.

Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka.

Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi Shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana.

Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi Nyashishi.
1.Wewe na nani?
2.Yeye ana matatizo na polisi, wewe una tatizo gani?
3. Anafungua kesi au anafungua fujo?
4.Inakuhusu?
Wa bure.... wataftie wanao elimu bora iwasaidie i
 
hayo ya ukabila ya kwako, zuio lilitolewa dar, yeye makazi yake dar, ofisi yake iko dar, kapigwa na polisi kahama, kinachomleta kufungua kesi mwanza ni nini kama sio kuchochea fujo? nasema hapa tutaelewana na tutaheshimiana tu.
Unataka ukuu wa wilaya nini???
 
hayo ya ukanda ni ya kwako, jibu swali langu usipepese macho, kafurumushwa kahama kakimbia kote tinde shinyanga maganzo nhungumalwa misungwi kaja kufungua kesi mwanza! kama shida yake ahukumiwe na jaji kwanini hakwenda tabora ambako diko jiografia ya kimahakama kwa kahama? tunajua anatafuta shari na ataipata tu.
Inaelekea ulikua konda mzoefu na hii barabara, hujakosea hata kituo kimoja.
 
Ina maana watunwa intelejensia hawajagundua kuwa hayo maandamano ni hasi?
 
eddy, mbona wewe na Mbowe mna hitaji moja?! Wewe unataka kuandamana, Mbowe anataka kufanya mikutano! Kitu cha kufanya subiri Mbowe akutafutie haki yako ya kuandamana, akifanikiwa na wewe utapeta tu na maandamano yako!
 
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama.

Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka.

Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi Shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana.

Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi Nyashishi.
Umepona kale kaugonjwa ka ajabu?
 
Ni ukweli wa yaliyo moyoni mwako nayasubiri matokeo ya maandamano hayo.

Lakini ni ujinga pamoja na upumbavu kutojua mahakama kuu kanda ya ziwa IPO Mwanza. Labda kwa elimu ya chama chetu.
 
hayo ya ukabila ya kwako, zuio lilitolewa dar, yeye makazi yake dar, ofisi yake iko dar, kapigwa na polisi kahama, kinachomleta kufungua kesi mwanza ni nini kama sio kuchochea fujo? nasema hapa tutaelewana na tutaheshimiana tu.
Akili zako ni za ovyo kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom