Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Hivi nyie CCM mnaogopa nini hasa?
Mmechoka na nani? Sema nimechoka kwa uhaba wa sukari na kulala njaanani kakwambia mbowe ni mwananzengo wa mwanza? hatumtaki na wenje wake tumeshamtupa kule sijui anatutafutia nini huyu baba? hiyo kesi yake akaifungulie mahakama ya mwanzo ibinzamata, safari hii lazima ziumane tu tumechoka sasa.
Mji wenu na nani? Wewe una mji?[emoji2] [emoji2] [emoji2]Akafanyie Fujo zake hai.
Au aungane na Lema waandamanie Arusha sisi hatutaki huo upuuuu, bungeni hawataki kwenda wanataka kututanguliza kwenye virungu.
Acheni mji wetu uishi na aman
Anaye andamana ni wewe yeye kafungua kesi tu.Akafanyie Fujo zake hai.
Au aungane na Lema waandamanie Arusha sisi hatutaki huo upuuuu, bungeni hawataki kwenda wanataka kututanguliza kwenye virungu.
Acheni mji wetu uishi na aman
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa chadema kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka hatukubari kutuharibia mji wetu.
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, siaende moshi arusha na dar aliko na wafuasi wengi, siakafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki ujuha.
nani kakwambia mbowe ni mwananzengo wa mwanza? hatumtaki na wenje wake tumeshamtupa kule sijui anatutafutia nini huyu baba? hiyo kesi yake akaifungulie mahakama ya mwanzo ibinzamata, safari hii lazima ziumane tu tumechoka sasa.
Eti mji wetu.. PoleAkafanyie Fujo zake hai.
Au aungane na Lema waandamanie Arusha sisi hatutaki huo upuuuu, bungeni hawataki kwenda wanataka kututanguliza kwenye virungu.
Acheni mji wetu uishi na aman
Kwa nini Mbowe siku zote anakwaruzana na polisi Usukumani? Hivi Wasukuma hawanaga watetezi hadi atoke Moshi? Kila akija damu humwagika. Anaona damu ya Wasukuma ndiyo rahisi ajipatie umaarufu? Kwa nini asilalsmike Moshi nako wamwage damu kujitafutia mabadiliko? Leo Kahama kesho Nzega halafu Shinyanga na kesi humalizia Mwanza kuna majaji wasukuma kweli? Kwa nini asiende Marangu na Monduli?Mkuu Eddy,
Naona kuna harufu ya ''kikanda'' katika kuleta maoni yako. Je mji wa Mwanza haupo ktk Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa chadema kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka hatukubari kutuharibia mji wetu.
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, siaende moshi arusha na dar aliko na wafuasi wengi, siakafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki ujuha.
Jibu lako ni rahisi tu Kilimanjaro ccm ndio inayotakiwa kufanya maandamano kwa sababu kule kazi imekwisha ccm ni chama cha upinzani, katika mkoa mzima ccm wameachiwa jimbo moja tu la upareni Mwanga kwa Maghembe.huw najiuliza kw nn asifanye maandamano kilimanjaro hyu? anatafuta huruma ya kuuza chama kw wafuasi wke
Hii ni jamhuri ya Tanzania na Mwanza imo ndani yake kwahiyo ana uwezo wa kufungua kesi sehemu yeyote kule. Unapoandika haya pengine wewe mwenyewe hata huna asili ya Mwanza na huna faida ama hasara yeyote katika jamii yako. Wacha haki idaiwe . Eti Mwanza yetu..........nani kakwambia mbowe ni mwananzengo wa mwanza? hatumtaki na wenje wake tumeshamtupa kule sijui anatutafutia nini huyu baba? hiyo kesi yake akaifungulie mahakama ya mwanzo ibinzamata, safari hii lazima ziumane tu tumechoka sasa.
Si hivyo tu tena siku hizi kuna mahakama kuuu kanda ya shinyanga kwanini asingefungulia hapohayo ya ukanda ni ya kwako, jibu swali langu usipepese macho, kafurumushwa kahama kakimbia kote tinde shinyanga maganzo nhungumalwa misungwi kaja kufungua kesi mwanza! kama shida yake ahukumiwe na jaji kwanini hakwenda tabora ambako diko jiografia ya kimahakama kwa kahama? tunajua anatafuta shari na ataipata tu.