maghorofani
Member
- Feb 18, 2016
- 43
- 8
Kama unaona alichofanya Mbowe kufungua kesi mwanza ni makosa nenda kapinge mahakamani mahakama iamue kama ana haki ya kufanya hivyo au la kupinga kwa maandamano
Wewe hayo maandamano yamepigwa marufuku, labda ya ccmKuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki
Uzuri mhakama haziendeshwi kwa miongozo ya vijana waliokosa elimu na uelewa.hayo ya ukabila ya kwako, zuio lilitolewa dar, yeye makazi yake dar, ofisi yake iko dar, kapigwa na polisi kahama, kinachomleta kufungua kesi mwanza ni nini kama sio kuchochea fujo? nasema hapa tutaelewana na tutaheshimiana tu.
Wewe unafikiri hapa Mwanza kuna mjinga wa kuandamana kwa kesi iliyopo mahakamani? Huyu anapiga kelele ili jioni na yeye aseme aliwahi kuleta mada JF. Hayo maandamano yapo kwenye kichwa chake, hayataonekana barabarani kamwe!Mkuu fikiri nje ya box mambo hayo hayakuhusu. Hayo ni mambo ya kisheria na yanatatuliwa kupitia mahakama na mahakama kufanya fasiri ya zuio la Polisi lipo kikatiba au la.
Mambo ya kujifanya ''ukanda'' au u-''vigilante'' a.k.a sungusungu kuchukua hatua mikononi bila kufuata sheria yatasababisha hata shughuli hizo za kibiashara zipate mkwamo.
hayo ya ukanda ni ya kwako, jibu swali langu usipepese macho, kafurumushwa kahama kakimbia kote tinde shinyanga maganzo nhungumalwa misungwi kaja kufungua kesi mwanza! kama shida yake ahukumiwe na jaji kwanini hakwenda tabora ambako diko jiografia ya kimahakama kwa kahama? tunajua anatafuta shari na ataipata tu.
Mbowe aende akaandamanie jimboni kwake, awaache watu wazalishe mali bana.Dah kumbe Dar ni Tanzania na mwanza ni kenya. Nilikuwa Sijaelewa. Mkuu yaelekea una ubaguz sana tena wa hali ya juu na una chuki binafsi .
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki
Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki
Kahama kuna Mahakama kuu?Si aende kule Kahama au shinyanga walikokamatwa wafuasi wake
Shauri la kupinga amri ya polisi ya kupiga marufuku maandamano na mikutano ya kisiasa iliyofunguliwa na Chadema katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza inaanza kusikilizwa mchana huu baada ya kupangiwa jaji.Kuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka
Watu waachwe wafanye biashara zao na shughuli za kujipatia kipato, si akafungue kesi shinyanga mjini, kinachomleta Mwanza ni nini kama sio kuleta fujo za hovyo tu, hapana. Sasa tutaandamana na kufurumusha wafuasi wake hadi nyashishi. Hatutaki
Kahama kuna Mahakama kuu?
Inaitwaje hiyo?Shinyanga ipo
Huo msimamo ndo unatakiwaKuanzia Ijumaa kutakuwa na Maandamano ya kupinga mwenyekiti wa CHADEMA kuendesha kesi Mwanza kwa sababu za kiusalama. Yeye anamatatizo yake na polisi kule kahama hajaenda kufungua kesi Tabora kaja kufungulia Mwanza kama sio kuleta fujo za kijinga. Tutaandamana kuhakikisha anaondoka