Mkuu usisahau kuwa hii ni JF.Tafadhali weka sababu za Mh Rais kupokelewa kwa maandamano ya kumsapoti badala ya kufanya hivyo kwasababu tu wengine wameandaa ya kumpinga. Walio ya andaa maandamano ya kumpinga wameweka sababu za kufanya hivyo. Nipeni sababu za maandamo yenu ili niweze ku ya consider.Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha Rais JK anapokewa kwa heshima atakapokuja Washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk Ubalozi wa TZ uliopo Washington DC kumpa Support na changamoto Rais JK ambaya alishinda uchaguzi 2010. WTZ mliopo Marekania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa Support Rais JK.
Mpenda Haki, na Ukweli.
NY, USA
Sheikh ubwabwa nakuahidi kukuchinjia yule mwanakondoo wa maajabu mwenye baka leupe ubavuni katika ile sikukuu yenu ya kuadhimisha siku 30 za kushinda njaa.mbinu za kanisa kwa ****** zitagonga mwamba kwani ukiwa na akili kwa nini ****** munamuonea bure haya yote ni munataka atoke basi mpaka mwisho kieleweke nanyi wa huko marekani amekuja mara ngapi au ndiyo ni mashauzi yenu sasa fanyeni hivo muone,
Go to hell all who hate ******.
Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.
Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.
Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.
Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.
Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.
Mwesigwa. Blandesi

mbinu za kanisa kwa ****** zitagonga mwamba kwani ukiwa na akili kwa nini ****** munamuonea bure haya yote ni munataka atoke basi mpaka mwisho kieleweke nanyi wa huko marekani amekuja mara ngapi au ndiyo ni mashauzi yenu sasa fanyeni hivo muone,

Go to hell all who hate ******.
Jamani tuanaomba tufanye mkutano wetu wa diaspora bila siasa kama kuna siasa pelekeni ubalozi wakati raisi atakapokuja au nendeni UN NY lakini msije kwenye Hotel ambayo sisi tumelipia na tukaalika wageni mbalimbali halafu ibadilike kuwa sehemu ya maandamano!. Mwaka jana tulifanya mkutano MN bila mambo kama haya na raisi hakuwepo na kama maandamano yatakuwepo tutamuomba raisi Kikwete asije kwenye Hotel ya mkutano wa diaspora kwani si lazima tuwe na raisi pale raisi hajawahi kuja kwenye mkutano hata mmoja!. labda hilo litawafurahisha lakini kama ni maandamano ningeomba mpeleke UN kwani huu mkutano wetu wa diaspora tunaweza kumuomba raisi asije na nyie mkawa mmepoteza pesa zenu bure!!. Kama mnataka uhakika nendeni UN siku atakapoongea mtampaka kwa uhakika kwani sisi hatutaruhusu raisi aje kama kuna maandamano ya kisiasa!!
mbinu za kanisa kwa ****** zitagonga mwamba kwani ukiwa na akili kwa nini ****** munamuonea bure haya yote ni munataka atoke basi mpaka mwisho kieleweke nanyi wa huko marekani amekuja mara ngapi au ndiyo ni mashauzi yenu sasa fanyeni hivo muone,
Go to hell all who hate ******.

nenda shule kwanza ndio uje hapa! Elimu dunia uliikimbia wewe!
Yaani mnaficha maovu yake? Kumpongeza kwa lipi? Labda kwa kuwa mtanzania anayesafiri kuliko wote! 🙁

Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.

Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.

Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.

Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.

Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.

Mwesigwa. Blandesi

ninachotaka kukwambia ni kwamba, j.k. hakushinda mwaka jana.

Nashangaaa watu wanaunganishaje Diaspora na Maandamano, wakitaka maandamano yajulikane dunia nzima si waende huko NY ambapo CNN, FOX nk watakuwepo kwa mkutano wa UN ? , watu tunaohudhuria Diaspora hatuna habari na Maandamano yenu hayatuhusu sisi tunakwenda kwa 50 zetu za mkutano , mjuane huko huko na huyo Kikwete akiingia tunampokea akitoka nyieee mzomeeeni tuu mnavyotaka sisi halituhusu, wengi wetu hatuuudhuri maandamano yeyote ya kumpinga wala kumsupport tunakuja hotelini tunaanza shughuli kama ilivyokuwa Minnesota tunamaliza hao Airport

Na wewe wa kumsupport msapoti huko huko NY kwako na makundi yenu sisi tumekaa mkao wa kibiashara na maendeleo sio mkao wa "Flames" "Flames", mumletee na mdundiko wa kumsuta au kumsupport kama mna hasira sana

Mkuu Mlalahoi, aliyeandika kauli hiyo ya kifedhuli na isiyo hata na chembe cha ustaarabu ni huyu hapa;

Mr. Mwesigwa Blandesi,  Chairman of the Organization and the Board of Directors Mwesigwa Blandesi is one of Tanzanian Community Organizations founding members. He was elected Chairman of the Organization right when it was founded, and then lead a team of selected members that drafted its bylaws. He has guided the organization since it was founded in 1995 to the present day. Upon the formation of the organizations Board of Directors, he was also elected Chairman of the Board. His focus has been on building the organization by attracting new members and retaining existing ones, by consistently defining and promoting the organizations core aims.

Email ya Mwesigwa Blandesi ni BUGWE@aol.com Ingefaa kama wote ambao hawakupendezewa na kauli yake wamtumie ujumbe kupitia hiyo anuani.
kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha rais jk anapokewa kwa heshima atakapokuja washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk ubalozi wa tz uliopo washington dc kumpa support na changamoto rais jk ambaya alishinda uchaguzi 2010. Wtz mliopo marekania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa support rais jk.
Mpenda haki, na ukweli.
Ny, usa

sitaki kuamini unasahau haraka hivyo ulikotoka?how can u say this crap a u a human being ur mother n relative if they die due to electricity shortage in hospitals or lack of fuel to take them to hospital then u wont ever speak this shit,think beyond ur nose,damn how did u even get to usa with this little brain?