Maandamano ya kumpongeza Rais Samia Dodoma leo Juni 4, 2022

Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Nasapoti hayo maandamano. Rais Samia anafanya mambo makubwa, anahitaji sapoti yetu wananchi.
 
Toa heshima basi.. asshole
Mwalimu akili unaitoa wapi? Kuna mwalimu mwenzako nilimuuliza Kuna uhusiano gani Kati ya kuwa Mwalimu na kuwa mjinga? Alinieleza ukweli ndio maana nimekuambia hapo sishangai
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Hakuna hata mmoja anayeonekana kuwa intrinscally motivated
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Typically tabia za kimaskini, kazi kidogo kupongezana kwingiiii. Na wakati mwingine kupongezana inageuka kuwa ndo kazi!
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Namwona mwijaku hapo
 
hapa kazi tuu
 
Back
Top Bottom