Maandamano ya kumpongeza Rais Samia Dodoma leo Juni 4, 2022

Maandamano ya kumpongeza Rais Samia Dodoma leo Juni 4, 2022

Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Hivi huu uchawa hadi lini?
 
Mbowe na Lisu wamefika kuandamana
IMG-20220603-WA0006.jpg
 
Du [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tulimwambia huyu mjambiani mpumbavuu kuwa yeye ni bidhaa mbovu, tukasema tunatukana sasa kipo wapi, mavi yanatokana na chakula ila hata siku moja uwezi kufananisha heshima ya chakula na heshima ya mavi
JPM NI CHAKULA CHEMA KWA AFYA YA NCHI
Hili shuti umetoboa nyavu
 
Mwisho wa mwaka huu lazima watu watafute per diem Ili pesa ziishe
 
Maandamano yamefanywa dodoma, aibu naona mie niliyeko Mafia... Nitapambana kwa hali na mali sitokuja kuruhusu wanangu waje kua machawa!

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mafii kama mafiii
Magufuli =[emoji492][emoji493][emoji501]
Samia = [emoji90][emoji90][emoji90]
20220520_195114.jpg
 
Pamoja na aliyosema huyo kuwa sio sawa, Ila hili linalofanyika Dodoma unaona ni sawa?
hata kwenye familia yako mtu akifanya vizuri unampongeza sasa mama kafanya vitu vizuri kwa nchi nzima unaona mkoa mmoja tu kumpongeza ni vibaya hiyo ni chuki mbaya sana ni sawa na kumchukia mtu mwenye hela badala ya kujifunza kwake na wewe upate hela
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Huu sasa ni ujinga, sioni ulazima wa maandamano.
 
Back
Top Bottom