Maandamano ya kumpongeza Rais Samia Dodoma leo Juni 4, 2022

Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Yaani mtu anatoa pesa analipa watu Ili APONGEZWE???

Kwamba walipa Kodi wameridhia Kodi zao zikupongeze Kweli??

Yaani tukupongeze Kwa kupunguza sh 50 kwenye Bei za mafuta?
 
Kesho Kuna maandamano ya kumchangia Sabaya
 
Attachments

  • IMG-20220604-WA0037.jpg
    IMG-20220604-WA0037.jpg
    51 KB · Views: 18
Kupandisha mishahara na kupandisha marupurupu si mchezo Ni Jambo la kupongezwa Mana jpm lilimshinda kwa sababu uchumi ilikuwa icu
Watanzania wengi ni wasenge hawajitambui over😀😀wanasindikiza mafanikio na agenda za watu
 
[emoji38][emoji38][emoji3526][emoji3526][emoji38][emoji38][emoji38]wandaz shall Neva end
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo alikuwa hatari sana kwa usalama wa raia na Taifa kwa ujumla. Watu mpaka walisali kumlilia Mungu na Mungu akajibu maombi yao. Bora buyu kuliko bwana yule.
Say he's dangerous to the corrupt Leader like you and not to the normal people no to the national security, again you were the one who killed him after he had y'all on corner.
 
M
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Mzee wa fursa yupo mstari wa mbele
 
Kupandisha mishahara na kupandisha marupurupu si mchezo Ni Jambo la kupongezwa Mana jpm lilimshinda kwa sababu uchumi ilikuwa icu
Hao watoto hapo hawaelewi chochote kuhusu mshahara
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Huyu RC wa DODOMa Mh. Anthony Mtaka na yeye hii tabia ya kujipendekeza kaianza lini? Anyway, wacha wawaandamanishe vijana wasio na ajira kwa posho ya buku kumi tena kwa masimango
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Aiseee 🤣,Nchi hii tunasafiri ndefu sana maana Kuna ujinga mwingi unafanyika miaka hii......niliyaona haya wakati wa JPM pia.........kizazi hiki kupata vijana na viongozi wanaoreason imekuwa changamoto sana
 
Inawezekana wasomi wameongezeka sana Tz,ila bado Kwa East Africa inaweza kuwa nchi yenye wajinga wengi sana
 
Watanzania bado tupo gizani sana,tunahitaji elimu ya kujikomboa sio kujikomboa kwa watu ambao wanafanya mambo ya kikatiba na si utashi wa mtu!
 
Back
Top Bottom