Maandamano ya kumpongeza Rais Samia Dodoma leo Juni 4, 2022

Maandamano ya kumpongeza Rais Samia Dodoma leo Juni 4, 2022

Du [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tulimwambia huyu mjambiani mpumbavuu kuwa yeye ni bidhaa mbovu, wakasema tunatukana sasa kipo wapi, mavi yanatokana na chakula ila hata siku moja uwezi kufananisha heshima ya chakula na heshima ya mavi
JPM NI CHAKULA CHEMA KWA AFYA YA NCHI
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo alikuwa hatari sana kwa usalama wa raia na Taifa kwa ujumla. Watu mpaka walisali kumlilia Mungu na Mungu akajibu maombi yao. Bora buyu kuliko bwana yule.
 
Tanzania tunataka full dictator mzalendo hata magufuli alikuwa mwema sana mtu kama Rostam na singasinga walitakiwa kuwa marehemu siku nyingi hata mzee wa msoga
 
Mkuu hiyo si ndiyo kazi ya serikali? Au ulitaka awakomoe Watanzania kama bwana yule? Ukweli anastahili pongezi lakini siyo kwa maandamano.
Kwa hiyo kama ni Kazi ya Serikali?

Kama ni Kazi ya Serikali,awamu ya 5 haikufanya mliwafanya nini?
 
hata kwenye familia yako mtu akifanya vizuri unampongeza sasa mama kafanya vitu vizuri kwa nchi nzima unaona mkoa mmoja tu kumpongeza ni vibaya hiyo ni chuki mbaya sana ni sawa na kumchukia mtu mwenye hela badala ya kujifunza kwake na wewe upate hela
Hayo maandamano yanatija gani
 
Kusema kweli mama yupo vizuri sana anastahili kupongezwa ,hakuna kutekana tena, watu tunaishi kwa upendo , mishahara juu, madaraja kapandisha, hakuna kodi zakulipa kwa mtutu wabunduki , bajeti ya kilimo imeongezeka ,mama Mungu akubariki
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Ukijua kucheza na vipofu utafaidi sana! Yaani hapo unakuta mtu anachomekwa kuwa tufanye hiki ili kumtangaza mama 😂😂 nchi hii ni takataka sana. Usipoweza kuiongoza tanzania basi hata familia yako itakushinda tu. Ukiwa na cheo hata ukijamba wanaokuzunguka watasema rais anajamba marashi.
 
hata kwenye familia yako mtu akifanya vizuri unampongeza sasa mama kafanya vitu vizuri kwa nchi nzima unaona mkoa mmoja tu kumpongeza ni vibaya hiyo ni chuki mbaya sana ni sawa na kumchukia mtu mwenye hela badala ya kujifunza kwake na wewe upate hela
Kutenga bajeti na kuwaambia watu wakupongeze ni Jambo la ajabu tu
Hao Watoto wanaelewa nn kuhusu raisi kufanya vizuri au vibaya?
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
Taifa lina vijana hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom