Maandamano ya kumpongeza Rais Samia Dodoma leo Juni 4, 2022

Maandamano ya kumpongeza Rais Samia Dodoma leo Juni 4, 2022

Tofauti na tunavyoaminishwa kuwa Raisi aliyopo madarakani sasa huwa hapendi kusifiwa, kwamba, kuna maagizo?ya kuutotaka ushabiki shabiki wa kutukuzwa.... hili la maandamano haya ni ishara tosha kuwa anayapenda hayo. Bila hivyo angekataza kama wanavyokataza maandamano mengine yenye tija.

Serikali inapoteza fedha na rasilimali.
 
Mimi binafsi naogopa sana yani nasema kutoka moyoni kama kweli 2025 atarudi naomba nikae kimya naomba nifunge mdomo
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
mambo haya ni sawa na watoto wanapoandaa mabango kumpongeza mzazi kwa kuwanunulia nguo za shule,chakula na mahitaji muhimu ya lazima.
 
Attachments

  • Screenshot_20220604-094926.png
    Screenshot_20220604-094926.png
    77.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220604-095319.png
    Screenshot_20220604-095319.png
    91.7 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220604-121256.png
    Screenshot_20220604-121256.png
    97.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220604-130518.png
    Screenshot_20220604-130518.png
    180.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220604-130926.png
    Screenshot_20220604-130926.png
    96.3 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220604-131913.png
    Screenshot_20220604-131913.png
    140.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220603-160421.png
    Screenshot_20220603-160421.png
    136 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220603-131559.png
    Screenshot_20220603-131559.png
    191.3 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220604-091607.png
    Screenshot_20220604-091607.png
    65.4 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220604-091704.png
    Screenshot_20220604-091704.png
    64.8 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220604-091730.png
    Screenshot_20220604-091730.png
    62.3 KB · Views: 15
Unahisi kwa nn unafundisha Watoto kutoka familia maskini?
Mimi na wengine wengi humu na wenye vipato vya Kati na juu hatuwezi kuleta Watoto wetu shule zenu. Ushawahi kujiuliza kwa nn?
Pia ushawahi kujiuliza kwa nn haukwenda kufundisha shule Kama Feza na zingine za aina hiyo?
Haizuii kumpongeza mama,nyie endeleeni kuumia huko huko mliko 😄😄😄😄
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221

Mtaji wa chawa ni mtu fulani kuendelea kuwa madarakani. Chawa hawawezi kuacha kuratibu mambo kama haya!
 
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa.
Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi.

Naona ujumbe wa katibu mkuu wa chama ulifika vizuri.

Kuna siku tunafikiria tuwe kama Europe? Lakini hataa hapa Africa sijaona Kuna nchi inaafanya hivi tunavyofanya. Hatujali gharama za kufanya haya, tunajali sifa.

View attachment 2250219View attachment 2250220View attachment 2250221
"Those who do not learn history are doomed to repeat it."
 
Nyie ongeeni mambo mengine, ila mimi nimemuona Mwijaku nimecheka sana
 
Back
Top Bottom