Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Tanzania muda wa mabadiliko bado. Kuleni ugali mshibe msubiri kufa mpaka wajukuu wenu watakapo zaliwa.
 
kwanini msifunge safari ya kurudi TZ illi kuongeza idadi ya kura za kuiondoa ccm madarakani?
 
Patriotisim au patraiation maana mngetwambia mnataka kusema nae kitu gani. Mzee kwa sasa anahitaji ushauri sio kendelea kumfrastarte nadhani dunia nzima yajua mataizo yetu haina haja ya kuendelea kujichora. Sasa tunaanza kusema home kwetu kuna vyombo havijaoshwa kama wiki mbili hivi.
 
Wakuu tupeni up-dates, mbona kimya?

Ratiba Ya Safari Kwenda Kwenye Maandamano dhidi ya Vasco-Dagama (Jakaya Mrisho Kikwete). Kila kituo kitakuwa na Basi Moja. Mabasi Yote yatakuwa Coach Amerika. Hii ni kwa WAZALENDO na Mashujaa wote waliothibitisha kuja. Akija Basi maandamano Yataanza Tarehe 23-25

  • Atlanta (Texas, Alabama, Kansas etc)–DC September 22. 9pm (50 confirmed) Meeting Point : 2424 Piedmont Road Northeast, Atlanta
  • Columbus Ohio (Pennsylvania, Maryland and Midwest) September 22, 11pm (58 confirmed) Meeting Point : 111 East Town Street, Columbus
  • New-York (New-Jersey, CT, Rhode Island na Majimbo ya Juu pamoja na Canada) September 23, 5am (38 confirmed) Meeting Point : 625 8th Avenue, Manhattan (Next To Bank of America)
Kwa watakao Kuja kivyao, Tunakutana 1707 L Street NW, Washington D.C., DC 20003, (202) 293-7755. Ikiwa Vasco Dagama atakuja Basi tunakumbana naye uso kwa uso Tarehe 23/09/2011. Kuna wapelelezi wetu ambao watakuwemo kwenye DICOTA. Atakapofika Vasco Dagama wote tutaingia either kwenye ukumbi au nje ya Ukumbi Ambayo anwani yake ni Hapa chini. Asipokuja, basi hatutakuwa na budi kutokufika kwenye ukumbi. Tutawaachia DICOTA waendelee na shuguli yao.

Mabasi hayo hayo ndio yatakayowarudisha. Chakula na malazi yatatolewa kuanzia Tarehe 23-25 Mchana. Muda wa mabadiliko umefika, huu ni mwanzo tu. Mashujaa wengine wanatayarisha mikakati Tanzania. Moto mtindo mmoja Kote kote. Wangine watasema hii ni kazi ya CHADEMA. Ukweli ni Kwamba sisi ni CCM. Tumechoshwa na Kikwete. Kikwete atapita ila Tanzania itabadi, siyo Chadema, CCM, CUF au UDP. Wote ni Watanzania

Marriott Washington Dulles Airport hotel
45020 Aviation Drive
Dulles, Virginia 20166, USA.
Tel: 1-703-471-9500

Kweli WTZ bado mna "Akili za Alinacha kama Si Abunuwasi" Watu wanaandamana UN-New York, huko ndiko kwenye vyombo vya habari dunia nzima, nyie mnaenda Porini huko DC.

Kweli saa nyengine ni UJINGA wa viongozi tuliokuwa nao, hata hao wanaondaa haya Maandamano. Ni UJINGA na kutokujua Dunia inavyokwenda.

Mkienda kuandamana ndani ya DICOTA ktk sherehe za CCM ni sawa sawa na kuandamana TZ ktk ukumbi wa Karimjee, wakati mnajua kabisa hizo habari hazitofika kokote zaidi ya JF. AMKENI WTZ.
 
Tupo DC na tupo tayari kumwondolea uchovu huyo mhuni ... tupo wengi tunakwenda huko kwa sababu tu ya kukaa mjini DC kusubiri huyo mtumiaji taxes zetu kwa kuchoma mafuta .... aibu mojawapo ya kikwete ni kwamba inchi hii aina fedha za kununulia mafuta, umeme umekuwa shida na kuangusha nchi kwa sasa ... bei ya vyakula imepanda isipokuwa ndani ya ndege ya kikwete na wahuni wao wa ccm.

Wengi we are not surprised how kikwete is behaving, angalia stories zinazotoka Igunga na uhuni wanaendeleza kutishia wananchi kunyang'anya demokrasia kwa kutumia serikali na mahakama zao. Tuangalie njama zao za udanganyifu kuhusu mipango ya kuiba ndani ya budget ya taifa, fuatilia uhuni wa Jairo na ikulu, angalia uhuni wa kikwete UDA na dowans, fuatilia tukio la ajali ya boti visiwani wakati hiii serikali ya kikwete wakikaa na kunywa supu ikulu na kuiba funds za wafanyakazi wanaotakiwa kulinda integrity za process za wasafiri nchini kote. Kwani leo hii rushwa na wizi wa ajabu katika kila sectors za serikali unatokana na nini kama sio wafanyakazi wanaamua kutenda haya maovu kutokana na kikwete na ccm ndio mfano bora? What a shame kukubali kuburuzwa na selfish people like ccm...

The sad thing katika hii story ya dicota ni kuona watanzania waliokimbia Tanzania wakiwa na sababu za kwenda huko US ku-solve matatizo na shida za hapa Tanzania na sasa wanatafuta hizo hizo deals na kukubali kutumiwa na hao hao ccm ubalozini ku-organize vitu kama dicota ku-promote Tanzania at the same time they know the roots of all the problems Tanzania ni nchi yetu kutokuwa democratic. Huwezi ukapigana kutafuta investors au any ethical or honest business man kuja Tanzania na kutumia capital yake Tanzania akijua anatakiwa kuonga na kuwapa ccm na ikulu shares za profit yake ili aweze kufungua business Tanzania, who want to be apart of that?

Matatatizo ya wafanyabiashara na uchumi wa Tanzania leo hii yanasababishwa na hawa so called investors wakijiita investors wakati ndio hao hao ccm na wengi wao tunawaona ni either watu kama barrick or serengeti advisers or saimon group wakiwaibia watanzania badala ya ku-expand or grow our economy.... kama kweli tuna private sectors Tanzania au strong policies si tungeona matokeo i.e unemployment numbers, consumer spending go up and not worse?

The truth remains palepale wanaondaa hizi promotion events and Tanzania social events wanajua wazi we can't go anywhere without our country having strong justice system (from constitution) and nchi kuwa na true democracy ... hivi vitu vinakwenda hand and hand! kudanganyana na kusikiliza hotuba za ccm tumesikiliza kwa miaka 50 na sasa hakuna anayesikiza huu uongo na ugaidi.... Stop being use na kukubali kupewa funds za kukaa mahotelini na kusafirishwa marekani ukijua ndugu zako na wananchi wenzio wangetumia hizo funds kulipia shule, matibabu au hata chakula cha leo usiku. Hiyo inchi ya Marekani wengi wapo huko na wanajua kitu kinaitwa 'check and balance' hii ni part of strong democratic system ambayo imesababisha justice system ku-expand na kuwa na nguvu na ku-benefit society yote ya Marekani. Yote haya yame-contribute kukuwa kwa uchumi na private sectors na free market in general! We are not saying US don't have its flow but today she's still a strong model and pillar of strong economy in this world weather you like or not! Why watanzania can't have these basic needs? Who's else is object to these rights if not ccm and kikwete? Man let's stop preaching right here...

Wishing all Tanzanians will express themselves in DC this year. Time to stand together with wananchi wenzako Tanzania. Remember we can have other means to instill changes and not this option of sitting down everyday with no fruits...
 
Hee! Msisahau bango lenu kubwa andikeni "SUTI TU ZINAKUTOA UDENDA?" i hate CCM & CCM's leaders. Not in personal issues but the way they contribute in improving poverty.
 
Mheshimiwa Rais hatohudhuria shughuli za Dicota kwa kutingwa na wingi wa Mikutano,Waziri wa Mambo ya Nje atamuwakilisha ktk Mikutano ya Dicota,ambayo itakuwa tarehe 23/09 na 24/09.Na wahudhuriaji wa mikutano hiyo ni wale waliojiandikisha tu,sio wazi kwa watu wote!Kwa kuwa kuandamana kwa amani na kutoa shutuma dhidi ya Rais ni haki ya Raia huru na si kinyume cha sheria,bado Maandamano hayo yanaweza kufanyika na Salaam zitamfikia Mkuu.
 
Amekimbia "wind of change," mpeni Membe ujumbe, atafikishia!
 
Huyu jamaa anakera sana ,Halafu mbaya zaidi anasafiri na kundi la watu .Huku tulipo mabinti wa kitanzania wanavyomjua na kumfahamu utafikiri ni wake zake,huwa anawapanga na wanasema wazi wazi tunapokutana nao .Huyu anasafiri kufanya umalaya wake tu hana cha msingi anachofuata
 
Patriotisim au patraiation maana mngetwambia mnataka kusema nae kitu gani. Mzee kwa sasa anahitaji ushauri sio kendelea kumfrastarte nadhani dunia nzima yajua mataizo yetu haina haja ya kuendelea kujichora. Sasa tunaanza kusema home kwetu kuna vyombo havijaoshwa kama wiki mbili hivi.
Maji yameshamwagika. Hatuna haja ya kuficha donda sugu litatuumbua.
 
Mheshimiwa Rais hatohudhuria shughuli za Dicota kwa kutingwa na wingi wa Mikutano,Waziri wa Mambo ya Nje atamuwakilisha ktk Mikutano ya Dicota,ambayo itakuwa tarehe 23/09 na 24/09.Na wahudhuriaji wa mikutano hiyo ni wale waliojiandikisha tu,sio wazi kwa watu wote!Kwa kuwa kuandamana kwa amani na kutoa shutuma dhidi ya Rais ni haki ya Raia huru na si kinyume cha sheria,bado Maandamano hayo yanaweza kufanyika na Salaam zitamfikia Mkuu.

Du, kunguru mwoga huficha bawa lake.
 
WANAZUONI wa Kiislamu nchini wameipa siku tatu Chadema Taifa kulaani kitendo cha wafuasi na viongozi wake kulidhalilisha vazi tukufu la hijab na kumwomba radhi Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario, kwa kumvua sitara yake.

Wamesema iwapo chama hicho kitapuuza kufanya hivyo na kupita muda huo wanazuoni hao na Waislamu wataiona Chadema kama chama chenye sera na madhumuni ya kuhujumu Uislamu na Waislamu wa Tanzania na kuhimiza Waislamu kukiepuka kama ukoma.

Kauli hiyo iko kwenye tamko la Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania (HAY-AT) lililosomwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti Kuu ya Umoja huo, Shehe Sherali Hussein Sherali na kusema siku tatu hizo zilianza jana.

Wanazuoni hao zaidi ya 10 wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Shehe Suleimani Kilemile, walitoa tamko hilo mbele ya waandishi wa habari na kusema baada ya hapo umoja huo utakaa na kutafakari hatua stahiki za kukabiliana na dharau hizo na kuelekeza Waislamu cha kufanya.

Sherali alisema ifahamike, kwamba shambulio lolote dhidi ya hijab ni dhidi ya Uislamu na Waislamu wote, haliwezi kuvumilika na watakabiliana na yeyote anayetaka kuidhalilisha amri ya hijab iliyo katika Quran sura ya 33:59.

“Tunataka ifahamike, kwamba yeyote atakayelidharau vazi la hijab kwa kauli au vitendo, atakuwa amewachokoza Waislamu na sisi kamwe hatukubali hilo liendelee na kukaa kimya, tutachukua hatua stahiki na ikibidi tutalazimika kuondoa munkari kwa mikono yetu wenyewe, kama dini yetu inavyotuelekeza,” alisema.

Aliongeza kuwa wanalaani na kupinga kitendo kilichofanywa na wanaodaiwa kuwa wafuasi na viongozi wa Chadema kumvua nguo Mkuu huyo wa Wilaya na kumwacha bila sitara.

Alisema Kimario ni Mwislamu anayefuata mafundisho ya Uislamu yanayomtaka kila
mwanamke ajisitiri kwa vazi la hijab, hivyo kumvua ni kumdhalilisha kwa wanajamii kama mwanamke wa Kiislamu, mama mwenye watoto na kiongozi wa Serikali.

Tumetafakari tukio hili kwa undani na tunalichukulia kama shambulio la wazi na la makusudi dhidi ya mafundisho yetu na dini ya Kiislamu, yanayomtaka kila mwanamke aliyevunja ungo, kujisitiri kwa kuvaa vazi la hijab,” alisema Sherali.

Aliwaomba Watanzania wote, wanaharakati wa asasi za kijamii na wa haki za binadamu, viongozi wa vyama vya siasa na wa dini zote, kulaani na kupinga unyanyasaji huo wa kijinsia na kidini unaokwenda kinyume na Katiba ya nchi na utamaduni wa Watanzania wa kuheshimiana.

“Tumesikitishwa na ukimya wa asasi za kijamii zinazodai kutetea haki za binadamu na za wanawake, kutolaani kitendo hiki cha mwenzao kudhalilishwa kijinsia, kuendelea kukaa kimya kunatulazimisha kuwaona wanafiki na ndumilakuwili juu ya madai yao ya kutetea wanawake,” alisisitiza.

Alisema wanaitaka Serikali ilitafakari kwa kina tukio hili la kudhalilishwa mwanamke Mwislamu, akilitumikia Taifa kama mmoja wa viongozi wake, kukaa kimya kutatoa tafsiri hasi juu ya jinsi inavyolichukulia tukio hilo na kuitaka kuwachukulia hatua kali wahusika.

Wanawake Waislamu Katika hatua nyingine, kikao cha wanawake Waislamu kilichofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee Jumapili, wanawake walilaani tukio hilo.

Kikao hicho chini ya Mwenyekiti wake Fatma Juma, kiliwataka wanawake na wapenda amani wote kulaani kitendo hicho cha udhalilishaji wanawake.

Walisema kitendo hicho kimeonesha dharau, si tu kwa Uislamu, bali hata kwa madhehebu mengine na kinaweza kuvuruga amani na utulivu uliopo nchini hivi sasa.

Tamko la kikao hicho, lilisema litaanza kusambazwa katika misikiti yote Ijumaa, ili Waislamu waelewe namna walivyoguswa na kusononeshwa na tukio hilo.

Shura ya Maimamu
Habari zaidi zilizopatikana zilisema Shura ya Maimamu nayo itakutana hivi karibuni kujadili tukio hilo la mwanamke wa Kiislamu kuvuliwa hijab.

Mbali ya kukutana huko, Shura hiyo itaandaa maandamano ya kupinga kitendo hicho ambacho wamekitafsiri kuwa ni matusi dhidi ya Uislamu.

Katibu wa Shura ya Maimam, Shehe Ponda Issa Ponda, jana alithibitisha kuwapo kwa ajenda hiyo.

Akizungumza na gazeti hili jana alisema kitendo kilichofanywa na wafuasi wa Chadema kimekosa utu, ustaarabu, uungwana na maadili mema na kinapaswa kukemewa na wapenda amani wote nchini, bila kujali itikadi zao, kwani kikiachwa kitazidi kukomaa na kuonekana ni
jambo la kawaida katika jamii.

Akizungumzia kadhia hiyo, Katibu wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini (Baraza Kuu), Shehe Ramadhan Sanze, naye alisema taasisi yake inaungana na wanaolaani tukio hilo .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom