Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Jamani kama mna uchungu sana na Tanzania basi rudini nyumbani (Tanzania) mkajiunge na vyama vya upinzani ama anzisheni vyenu kuliko kupiga makelele mkiwa ughaibuni. Bila shaka mnajua kwamba fimbo ya mbali haiui nyoka. Samahani kwa kusema ukweli, lakini huo ndiyo ukweli.
 
Nadhani wee maisha ni Mazuri. Haujui machungu JK anayowalizimishia watanzania.
 
Tupo Nyuma yenu wakuu..,Najua huko Vasco hana ujanja kwani FFU na polisi anaowategemeaga kwa kuwapiga watu mabomu na risasi hawapo..
 
Mtaandana wapi nyie? Watoto wa mafisadi mmekwenda nje na hamna msaada wowote nchini,rudini 2pambane dhidi ya magamba
 
non sense kabisa sijui mnafikiri na nyinyi mmeshakuwa wazungu u will remain second citizen hata mfanyeje nafikiri hata hao wazungu wanawashangaa thats our head of state sisi kama watanzania na siyo nyinyi mlioukana uraia wenu.
 
mi naona hamko serious. muda huu mlitakiwa mjue anafikia hotel gani. fake

Wanajua na hata mkutano wa UNGA ambao JK anahudhuria wanajua unapofanyika, isipokuwa haya maandamano ni kiini macho cha JF, na kwa kweli mwingereza amepata umaarufu mkubwa kupitia haya maandamano.
 
non sense kabisa sijui mnafikiri na nyinyi mmeshakuwa wazungu u will remain second citizen hata mfanyeje nafikiri hata hao wazungu wanawashangaa thats our head of state sisi kama watanzania na siyo nyinyi mlioukana uraia wenu.

Ni kweli wazungu wanatushangaa ! Wanauliza hivi ilikuwaje hadi huyu mtalii akapewa Uhead of State ? Kila siku kiguu njia na kuna siku tutafunga milango tukisikia anakuja ! Hivi ni muda gani anashughulikia matatizo ya nchi yake ? Ni kwa sababu hiyo wengine wanaelewa sana kwa nini Watanzania wengine waliamua kukimbilia kwao ! Siku hizi hata hawaulizi kwa nini Tanzania ni miongoni mwa nchi masikini, Raisi wetu ambaye bila aibu alikiri kuwa hajui kwa nini tu masikini, ni uthibitisho tosha.
 
Kuna tatizo gani raisi wenu akaenda kupumzika USA. Akiwa bongo hawezi kupanga vizur mipango ya maendeleo. Bongo kuna kelele sana,mara ufisadi,mara mahakama ya kadhi,sijui mgao wa giza,mara tume huru ya uchaguzi.... Kwakweli mnamsumbua mzee wa watu. Mpeni nafasi akatulize mawazo labda atapata mawazo mazur ya kuongoza nchi.
 
non sense kabisa sijui mnafikiri na nyinyi mmeshakuwa wazungu u will remain second citizen hata mfanyeje nafikiri hata hao wazungu wanawashangaa thats our head of state sisi kama watanzania na siyo nyinyi mlioukana uraia wenu.

What authority do you have to narrate such a vague connotation? Utawasemeaje waTZ wote? Wewe kama nani?
 
Nitatoa picha za maandamani yaliyopita kesho.ili kuwaamasisha wananchi ,njooni.alafu kutakuwa na debate kuhusu hatima ya nchi yetu tanzania na safari za nyingi za waziri wa mambo ya nchi za nje [bwana vasco da gama wa bagamoyo]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom