Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
UPDATE:
RATIBA KAMILI YA MAANDAMANO ITATOLEWA TAREHE 9 SEPTEMBER 2011. KWA HIYO AMBAO MMESHAJITAYARISHA KAENI TAYARI. HII NI KWA AJILI YA KUWAKWEPA WALE AMBAO WANAMIPANGO YA KUVUGURA MAANDAMANO YETU

FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE TUNAOMBA MJIUNGE NA TUSAMBAZE HABARI KWA TANZANIA WOTE



MWANAHARAKATI MCHEZA SINEMA WA KIMAREKANI ATAHUTUBIA, IMETHIBITISHWA....JINA PUNDE
WATU 2117 WAMETUMA MAOMBO KUSHIRIKI.TUMENI BARUA BARUA PEPE KWA WINGI KUWEKA PINGAMIZI KUHUSU SAFARI ZA KIKWETE KWENDA MAREKANI. BARUA ZOTE ZITUMWE KWENDA
wiegertjr@state.gov HUU NI USHAURI KUTOKA KWA WAHUSIKA. ATAZUILIWA ISIPOKUWA TU KUHUDHURIA UN SESSIONS. WENYE FACEBOOK, WAANDIKE PINGAMIZI ZAO KWA KIINGEREZA KWENYE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE

**************************************************************************************

Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yataishia STATE DEPARTMENT. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu, na kuiaca familia yake ikoroge nchi yetu. Ridhiwani anamilika robo ya uchumi wa Tanzania? Kwani Tanzania ni Tunisia....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com

Tayari watu 974 wamesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani. Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja. Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi

Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashangaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.

1. Basi 2 yataanzia NY (Ni ya watu wa Boston, NY, Long-Island, NJ etc...) 2. Yanayotokea Ohio (Ohio, Maryland, Pensylvania, Michigani etc..)
3. MaBasi ya mwisho yatatokea Atlanta Georgia (Texas, Virginia, Florida, Alabama,Kansas, etc..)

Tukielekea mwisho wa mwezi huu, tutawapa ratiba kamili ya maandamano, yatakayoanzia sehemu"maalum" kuendelea kwenye Ukumbo wa DICOTA, Ubalozini , hoteli atakayofikia FISADI Kikwete na kumalizikia STATE DEPARTMENT. Tutakesha hotelini, chakula kitakuwepo na huduma zote muhimu pia zitakuwepo. Tuko pamoja hadi kieleweki. Mimi ni mwana CCM toka UVCCM lakini naapa ya Kwamba TUMECHOKA na JK. Tunamsubiri Marekani, hata kama ni miaka miwili tunamsubiri, wadhamani wapo kutusaidia. Wanaotaka Kujiunga kwenye maandamano, tumeni barua pepe kwenda
eliakimmallya@yahoo.com. Kadhalika, tumeni malalamiko mengi iwezekanavyo kwenda wiegertjr@state.gov
Ili kikwete na wapambe wake wanyimwe VISA, kwani serikali ya marekani haiwezi kutoa VISA mtu yeyote anapowekewa petition. Jamani msiogope, huu ni wakati wa ukombozi. Mimi nimefika hapa mwezi sasa, nipo uhamishoni hadi kieleweke.

TUUNGANE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE

SERIKALI YA TANZANIA KUPITIA WATU WASIOFAHAMIKA, WAMEANZA KUTUTOLEA VITISHO PAMOJA KUJARIBU KUTUHONGA WAANDAAJI $3MILLION KUZIMA ZOEZI ZIMA LA MAANDAMANO. JIBU LETU NI KWAMBA, HATUWEZI KUUZA HUTU WETU NA UBINADAMU WETU. HIZO HELA WAPELEKE KWENYE MAHOSPITALI SIYO KUTUHONGA SISI. WAKAWAONGE WATANZANIA MILLIONI 40 WANAOKUFA NA NJAA SIYO SISI. MAANDAMANO LAZIMA, NA RAIS KIKWETE AJITAYARISHE. TUNAKUTANA NAYE MARRIOT WASHINGTON DULLES AIPORT NA HOTELINI KWAKE. TUMESHAJITAYARISHA


Tusaidieni jamani, sisi inaonekana tumefyata mikia huku bongo, kazi kulalamika tu... ila hilo la barua kwa kuwa hakuwa mabomu ya machozi tutaandika huko fesibuku
 
Kwanza JK safari yake ya kwenda ughaibuni ipo au ameogopa moshi wa moto utakaowashwa?
 
umoja ni kitu muhimu sana katika kuleta mabadiliko...umoja ndio uliotufanya Tz tukapata uhuru..umoja ndio ulitufanya kumweka madarakani Baba Riz kwa mwaka 2005 na umoja huo huo ndio utakaotufanya Baba Riz aondoke madarakani. Watanzania kwa pamoja tuamke kuipigania nchi yetu ya tanzania...naunga mkono hoja..."no retreat no surrender".
 
thumbnail.aspx
 
Jipangeni. Tunamsubiri JK. Ratiba ya maandamano inatolewa Keshokutwa.....Tulifanya makusudi kuificha kuakwepa mafisadi waliokuwa wanajaribu kutuvuruga
 
Jipangeni. Tunamsubiri JK. Ratiba ya maandamano inatolewa Keshokutwa.....Tulifanya makusudi kuificha kuakwepa mafisadi waliokuwa wanajaribu kutuvuruga

Mmeshapata uhakika kuwa atakuja?
 
Jipangeni. Tunamsubiri JK. Ratiba ya maandamano inatolewa Keshokutwa.....Tulifanya makusudi kuificha kuakwepa mafisadi waliokuwa wanajaribu kutuvuruga
Tunawatakia maandamano mema na sisi huku nyumbani tunaendelea kupambana na mkoloni mweusi CCM na vibaraka wao ambao ni wabaya kuliko wale wa wakoloni.
 
Jopo lake kubwa la watu zaidi ya 60 hivi walitangulia kwenda Marekani tangu siku ya Jumanne wiki hii. Na mpaka hivi sasa wamepangiwa kwenye hoteli XYZ na ... kule ......

Mikutano hiyo haijulikani kuwa na tija gani kwa taifa kisi cha kutufanya tuwakilishwe na jopo kubwa kiasi hicho.



Mmeshapata uhakika kuwa atakuja?
 
Kila la kheri. Sisi dsm tunaweza tu kulalamika.
 
Jipangeni. Tunamsubiri JK. Ratiba ya maandamano inatolewa Keshokutwa.....Tulifanya makusudi kuificha kuakwepa mafisadi waliokuwa wanajaribu kutuvuruga
keshokutwa mtakua mumechelewa.kesho anazindua UNGA,keshokutwa anaonana na bank moon.tarehe 22 anarudi bongo.inaonekana mumepotoshwa.mia
 
Namna hiyo!! True democracy ipo huko, msisahau mabango.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom