Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
- Thread starter
-
- #841
Maandamano ni HAKI msingi ya Ki-Katiba kwa kila raia bila kujali yuko wapi kwa wakati gani. Hivyo vitisho vya mtu yeyote kwa Waandamanaji wa huko Washington DC ni kujipotezea tu muda bureeeeeeeeeee!!
Cha msingi shughulikeni na yale yanayowafanya watu kukereka kiasi cha kufikiria kutumia hii silaha ya mwisho wa maandamano. Unafikiri mtu gani anapendezwa tu kuandamana kama chizi hivo bila sababu yoyote: Banae, wenzetu tunawaunga sana mkono katika azma yenu hiyo kumpokea rais wa Jaji Makame kwa mabango huko majuu.
Tuendelee kupeana taarifa juu ya hili. Msikubali kukamatishwa hizo rushwa za dollar milioni 3 ili muache kuandamana. Utu wa Mtanzania kwanza na vijisenti baadaye.
Tumewasikia,mpo wachache sana mayeridhishwa naye. Sisi tunaoona kuwa kuna vitu vingi vinaenda mrama na hivyo tunaungana mkono mapinduzi haya tupo wengi na uwezo upo Well done awajibishwe huyoJK Ndio Rais wa Tanzania na anafanya kazi kwa bidii sana kuhakikisha wote tunaenda shule bila kubaguwana, anahakikisha barabara zote zinapitika bila kubaguwana, anahakikisha Mtwara, Tanga, Kigoma, Tabora, barabara zinafika na maisha yanaboreshwa. Anahakikisha kuwa sehemu zote zilizoachwa nyuma ki maendeleo kwa makusudi kabisa zinazifikia zile zilizo pendelewa kwa haraka sana.
Were together wakuu, tunaitaj uhuru wa pili, hakikisheni CNN, Aljazeera, BBC waone, kilaza mkubwa huyo.
Mkutano wa DICOTA ni lini?
Kama mabaya yote yanayotendeka katika serikali chini ya CCM na JK hayastahili maandamano DC, naomba mfano wa jambo baya ambalo linaweza kufikia kutayarisha maandamano DC. Kwa upande mwingine nafurahi kuona ya kuwa umeyapa uzito sana kuona kuwa maandamano ya DC ni ya muhimu mno na yanastahikli yafanyike tu kama JK atafanya mabaya makubwa mno. Ni kama Mahakama Kuu vile.JK kashindwa kuongoza! hilo halina ubishi na wala hastahili kusifiwa kwa lolote tena lakini hadi sasa hivi hajafanya jambo lolote BAYA ktk uongozi wake kufikia kutayarisha maandamano Washington DC,
...hali ni sisi wenyewe ndio tulomchagua mwaka jana tu...
Hatulinganishi uraisi wa JK na maraisi wengine wa Africa. Tunaangalia utendaji wa raisi wetu kulinganisha na matarajio yetu.Na kibaya zaidi labda niseme Marais karibu wote wa nchi za Afrika hawana tofauti na JK kwa sababu Ufisadi
Ni maoni yako tu Mkuu. Tusubiri kama kweli ni waste of time and energy. So far, naona it is the opposite la sivyo vyombo vya uslama visingekuwa vinahaha vile kujaribu kuzuia na kuhujumu maandamano haya.Kuandamana DC ni waste of time and energy!...
JK kashindwa kuongoza! hilo halina ubishi na wala hastahili kusifiwa kwa lolote tena
Naunga mkono 101% maandamano haya. God bless you.
Nchi ipi inadidimia kiuchumi, Tanzania au USA? Kweli Mungu ana viumbe wengi!Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa
Jasusi,Subject: Come meet the President of Tanzania
Invitation Top Banner <http://custom.cvent.com/FFFD4427058C4D01AF57EDACDD1AB05E/pix/f9213de12cf74535ad187a8079c594d8.jpg>
Learn directly from Tanzania 's President why his country is successful and what role Canadians can play in their economic development.
Madan M Chawla ,
This September , Tanzania's President , His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete will be coming to Toronto as the Canadian Council on Africa's guest of honour and I wish extend to you a personal invitation to meet him in person!
Starting in the morning with a number of presentations on the opportunities that exist in Tanzania and testimonials from Canadians who have been successful in this country , attending this one of a kind opportunity means you will:
* Learn directly from one of Africa's leaders in peace and prosperity on how Canadians can access unique opportunities
* Meet with the President of one of Africa 's most promising economies.
Madan M Chawla , I think you will agree that it is not every day which an African head of state comes specifically to meet with Canadian entrepreneurs such as yourself. I sincerely hope to see you in Toronto on September 16th. Limited spots are available and special rates have been reserved for CCAfrica members.
Sincerely ,
Lucien Bradet
CEO and President
Canadian Council on Africa
WHEN
Friday , September 16 , 201110:30 AM - 2:00 PMEastern Time
WHERE
Royal York Hotel100 Front Street West , Toronto , ON M5J 1E3
AGENDA
The Official Visit to Canada of Jakaya Mrisho Kikwete, President of Tanzania - Event Summary | Online Registration by Cvent?
RSVP
Thursday , September 15 , 2011
Please respond by clicking below
REGISTER ME TODAY! <REGISTER+ME+TODAY!<%2ffont>>
Invitation Bottom Banner <http://custom.cvent.com/Invitations/NameBadge/bottombanner.gif>
Having trouble with the link? Simply copy and paste the entire address listed below into your web browser:
The Official Visit to Canada of Jakaya Mrisho Kikwete, President of Tanzania - Invitation | Online Registration by Cvent?
If you no longer want to receive emails from Lucien Bradet please click the link below.
Opt-Out <Cvent - Error>
For the first time now I can see Diasporas making sense towards ukombozi wa kweli wa Nchi yetu
Mungu awe nanyi. Hatumtaki kikwete.