Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Huyo "Lisa Rockerfeller" wako feki can kiss JK's dumb a.ss. Wewe ni Mwongo! Mwongo! Mwongo! Hii thread nzima ni feki thorough and thorough!! Huna aibu hata kidogo???
Hujui ulisemalo, u better shut up Ur mouth kid.

Halafu kuna tetesi kwamba wanafuta kipengele cha ukomo wa urais wa jamhuri ya muungano kuwa "kama" Uganda, what's ya comment sir...

Makalio

Acha uwongo.
Nimehudhuria mikutano yote ya DICOTA na hatukulazimika kuwa na pasipoti au makaratasi ya immigration. Unachotakiwa ni kujiandikisha tu. Huu mkutano hauhusu watu wa Immigration hata kidogo. Acha uwongo.
Kama mimi muongo subiri Sep 22, 2011 siku ya mkutano ndio kama utajua kama makaratasi yanatakia au ayatakiwi wewe endelea kuwachuuza wenzako waje warudishwe Tanzania 85% wameoza

Acha mawazo mgando wewe,wanachopinga ni ugumu wa maisha ya watanzania,hili sio suala la chama chochote,JK anapewa ujumbe coz ni kiongozi wa nchi!

Nani kakwambia magumu? ukiwa kilaza kweli yatakua!!!

Muulize Dj,padre, kama maisha magumu!!!!!!!!!

siasa bwana tamu.

Kama mimi muongo subiri Sep 22, 2011 siku ya mkutano ndio kama utajua kama makaratasi yanatakia au ayatakiwi wewe endelea kuwachuuza wenzako waje warudishwe Tanzania 85% wameoza

Makaratasi hayatakiwi aloo. Acha kuhadaa watu. "Wenyeviti" wa vyama vya Watanzania Marekani kibao hawana maratasi na wanahudhuria na kuhutubia kila mwaka bila tatizo. Ishu hapa ni mwito feki wa maandamano, siyo mahudhurio ya huo mkutano. Watu wanajitafutia umaarufu wa nguvu na kufanya kila mtu mjinga.

Kama mimi muongo subiri Sep 22, 2011 siku ya mkutano ndio kama utajua kama makaratasi yanatakia au ayatakiwi wewe endelea kuwachuuza wenzako waje warudishwe Tanzania 85% wameoza
Wishful thinking. Won't happen.

Na wewe bora upumzike kutujazia upupu wako kwenye hii thread. Kudadeki! Hivi kweli mnafikiri watu wote ni Wajinga namna hii? Nyambaaf!
Comrade, hawa jamaa pumba sana, wanakubaliana hata upuuzi, mleta hii thread Mallya, mwanzo kasema maandamano yatapokelewa na viongozi wa STATE HOUSE, DEPARTEMENT STATE, akabadilisha thread yake kaandika tena pumba, eti maandamano yatapokelewa DEPARTEMENT STATE, hata hajui DEPARTEMENT STATE ni nini hizi ni akili za mbege

Hapa sasa patamu, mimi yangu macho tu nitakuwa msomaji tu.

Acha kujipendekeza Komredi ni kipepe tu, umeambiwa acha kuhadaa watu na umenywea unaanza kumuita mwanaume mwenzako eti Komredi! kwahiyo kumbe kazi yako ilikuwa ni kuhadaa watu kwenye hii thread?

kila lakheri kwa udhubutu wakuu lakini asipokuja nini kitafata?nafikiri hivi vitu vina nguvu zaidi vikienda na matukio mfano kipindi kile mauaji arusha then mara,hata taasisi kubwa zingewapa attention.ni ushauri tu wadau.

Acha kujipendekeza Komredi ni kipepe tu, umeambiwa acha kuhadaa watu na umenywea unaanza kumuita mwanaume mwenzako eti Komredi! kwahiyo kumbe kazi yako ilikuwa ni kuhadaa watu kwenye hii thread?
Wewe kaa pembeni tuachie sisi hii thread ujui chochote!
Watu wanaoishi Marekani na Ulaya lugha wanayotumia makaratasi ina maana pana unaweze kuwa ujapata makaratasi muda wako bado wa kupata au kesi yako ipo mahakamani lakini serikali ya Marekani inakutambua.
Kuna wale Overstay hawana makaratasi wala hawana kesi mahakamani za kupata makaratasi hawa ndio hawatakiwi hata wenyewe wanajijua hao ata wakifiwa na baba zao hawawezi kuja kuzika wanajua hawezi kurudi tena Marekani pamoja na huyu Mallya Mchaga wa kibosho hawezi kuhudhuria hana makaratasi

Nna wasiwasi huenda ziara ikaahirishwa, kwani mmeshamwaga mchele kwenye kuku wengi. msishangae mkipigwa chenga ya mwili

Nna wasiwasi huenda ziara ikaahirishwa, kwani mmeshamwaga mchele kwenye kuku wengi. msishangae mkipigwa chenga ya mwili

Atamwomba comedian Stevin Wasira amuwakilishe ama yule Malima

mimi nahisi bora uendelee na kazi yako ya kukosha vyoo na masufuria badala ya kwenda kwenye maandamano ambayo hayana tija .fanya kazi ili uwasaidie wale ndugu zako ulowaacha kule subawanga wakipiga jembe .

Kwa mara ya kwanza maghorofa marefu yanajengwa Kigoma, nimekuambia muulize Kabwe.

Faiza acha uongo, wewe unatokea Kigoma ipi"? Au wamaanisha Igoma! umeme umekuwepo Kigoma miaka mingi isipokuwa Kibondo na Kasulu ambpo iliahidiwa ungewaka July, ingawa hadi sasa bado. Na hayo magorofa unayozungumzia yako wapi? Au ni lile la ghorofa tatu la NHC, au hilo linalojengwa pale Sokoni mjini?

Kwa taarifa tu; Umeme KG bado ni tatizo kama ilivyo sehemu nyingine TZ

Labda wewe unaetegemea info za hapa JF ndio uelekezwe maana pana ya hizo Lugha kwa sababu huna exposure yoyote zaidi kuwa puppet tu, wewe ndio miongoni mwa wale ukisikia watu wanapiga box mantoni basi unajuwa ni wabeba mabox kweli.
Mimi ni mpiga box kitambo na sasa nguvu zangu nazielekeza kwenye miradi yangu binafsi, hakuna unalolijuwa wewe zaidi ya kukariri tu kama kasuku through experience za wengine.

Wenye miradi huwa wanasema wewe! Endelea na porojo zako tu humu JF, bahati nzuri watu wameishakujua mzee wa porojo

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…