WEWE WASEMA. Wewe ndie mdini manake mtu akiongelea ufisadi basi unatia karata ya dini. JK ni fisadi, haijalishi awe mkristu ama muislam fisadi ni fisadi tu. Hata swaum yake anafunga bure tuu
Mwinyi alikuwa muislam na alikuwa poa. Raisi wa bongo awe Ltheran, Muslim ama Bahai kama fisadi na uongozi wake ni madudu lazima aambiwe na wajibishweUfisadi wake ni kwa kuwa yeye Muislaam. Ufisadi wenu hata kodi mpaka mmelazimishwa kulipa, miaka yote hata kodi ya serikali mlikuwa mnaiba. Sasa nyinyi wachaga hata kodi basi hamtaki kulipa halafu mnajidai mnaipenda nchi yenu? mnanshangaza!
Dada Faiza kuhusu makaratasi tunayoo na hatuogopi hilo. Tunae huyu Vasco da Gama hadi aumbuke.
Mwinyi alikuwa muislam na alikuwa poa. Raisi wa bongo awe Ltheran, Muslim ama Bahai kama fisadi na uongozi wake ni madudu lazima aambiwe na wajibishwe
Kutowajibika kwa wananchi wakeKwa kosa lipi?
Jasusi na wewe acha kuchemka, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ni U.S. State Department. Hakuna "United States Department"!Wizara ya mambo ya nje ya Marekani.
Yanaanzia huku then it will be your turnEti maandamano ya kumpinga JK!! Halafu yanafanyikia Marekani!
Non sense, tumieni strategy nyingine. Kama kweli nyie ni wazalendo, na mna uchungu na nchi yenu, rudini hapa nchini mje kuorganize hayo maandamano.
<br />Naunga mkono hoja asilimia 200. Nguvu ya umma dunia nzima
Ufisadi wake ni kwa kuwa yeye Muislaam. Ufisadi wenu hata kodi mpaka mmelazimishwa kulipa, miaka yote hata kodi ya serikali mlikuwa mnaiba. Sasa nyinyi wachaga hata kodi basi hamtaki kulipa halafu mnajidai mnaipenda nchi yenu? mnanshangaza!
Tanzania imegeuka kuwa TANZAGIZA kwaajili ya huyu m-kwere ambaye haweziongoza hata Mkoa sembuse nchi. Baada ya term yake labda akimbie lakini akibaki bongo basi atajikuta mahakamani ndani ya box kama Hosni Mubarak
<br />Huyu mbwa aondoke madarakani. Vasco Dagama anafaa kwenda keko na wanaye, shenzi sana
Nyie naona mmekosa cha kufanya!Yanaanzia huku then it will be your turn
Tatizo la ndugu zetu waislamu siku zote ni kuua, na kulalamikia kila kitu kuhusiana na uislamu. Fairfox. Ingawa wewe ni msaidizi wa Salva, naona PR inakushinda kidogo. Tunayozungumzia siyo udini. tunazungumzia hali ngumu ya maisha Tanzania. Tunazungumzia, sukari kilo moja sh.2000. tunazungumzia mafuta ya petroli kupanda kuliko kawaida, tunazungumzia ugumu wa maisha, ambayo yote haijui udini. Wewe ndo unajua udini kwa maana mzee wa Symbion ameshakukatia hela. Kumbuka watanzania wangapi wanalala njaa, waislamu na wakristo. Wewe kila uchao naandamana na JK na marupurupu unayoyapata hujui nini kinaendelea mitaani. Naomba utafakari sana kabla haujaleta udini kwa maana tatafika mbali na wewe. Tunachotaka sisi ni maandamano hili huyu fidhuli Kikwete aondoke madarakani tumechoshwa naye. akili butu
box tutabeba kwa sana na JK tunae tu hata msemeje.Nyie naona mmekosa cha kufanya!
Its better mconcentrate na kubeba mabox na kufagia vyoo vya wamarekani!
Dada Faiza mwambie aacha kusafiri kwenda nje kila kukicha, instead aende mikoani kuona wananchi wake hata akienda huko mara 1,000,000Unanshangaza sana, ni nani aliyeshindwa kununua hiyo sukari ya 2,000? wewe kama unawajali sana Watanzania si ungeleta sukari uiuze rahisi, ni nai aliyekukataza na Tanzania ni soko huria?
Kikwete madarakani haondoki, tulimchaguwa kwa kura nyingi sana na amefanya ,azuri mengi sana kwa Tanzania kiasi ambacho kila anachokifanya ukijumlisha ya marais wote waliopita hakuna anaemfikia. Tuongeeni ukweli, hakuna zaidi ya dini yake inamfanya ashambuliwe na wakristo. Sioni sababu nyingine yoyote, mimi naku challenge tuanze kuchambuwa kitu kimoja kimoja tuone ni Rais yupi aliyefamya mema zaidi yake. Msitake kuudanganya umma, zote ni chuki za kidini na hususan linapokuja suala la elimu ndio inawauma sana , kwani mnajuwa kuwa sasa utawala unawaponyoka.
Kelele za chura tu hizo.box tutabeba kwa sana na JK tunae tu hata msemeje.
Ni lini Tanzania ilikuwa na umeme zaidi ya kipindi hiki cha Kikwete? wachaaaa! kama ulikuwa hujazaliwa tuulize maana unaonesha ni mdogo sana hususan kwa hoja zako.