Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 387
Matatizo ya nchi hayasababishwi na Rais, bali na viongozi wengine kama Waziri Mkuu, Bunge, nk. Huu ni mpango maalum wa Ubaguzi wa Kidini uliopo TZ, na umepngwa kwa kila Rais ambaye ni Muislamu.

kweli mimi ni kilaza mkubwa wala haujakosea, ila kuna jukwaa la lugha karibu kule ukaoneshe umahiri wako wa lugha. hili ni jukwaa la siasa hata mtu akikosea spelling sisi tunachojali ni kuelewa content ya habari yake. washamba kama nyinyi hata mjini mpo maana siku hizi washamba si wakutoka shamba tu.

Wacha kuishushia hadhi idara ya usalama wa Taifa, yaani unadhani TISS inaweza kuajili mambumbumbu kama FF? kwanza ungejuwa anapoishi ndio ungechoka kabisa, huyu FF anaishi katika moja ya nyumba duni kabisa pale mtaa wa kariakoo.

Unafikiria kama wabunge wa Dsm... Makal... Meya kasema...
..........Kadhalika, tumeni malalamiko mengi iwezekanavyo kwenda wiegertjr@state.gov Ili kikwete na wapambe wake wanyimwe VISA, kwani serikali ya marekani haiwezi kutoa VISA mtu yeyote anapowekewa petition. Jamani msiogope, huu ni wakati wa ukombozi. Mimi nimefika hapa mwezi sasa, nipo uhamishoni hadi kieleweke.
TUUNGANE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE
Tunawahimiza sana watanzania wote wanaoishi marekani kote kupinga kuwepo kwa kikwete Washington na hata serikalini mwetu. Kweli kikwete has to go kwa sababu moja tu, hakuchaguliwa na wananchi na amemaliza hili taifa kwa sasa. Huyu msomi wa gadaffi na mugabe atawaua wananchi wengi zaidi akiendelea kukaa kwenye hii ofisi yetu ya taifa. Angalia safari, uchumi, corruption, ufichaji siri na ubeberu na uongozi wa kizembe Tanzania. Utampata wapi mtu mzembe hivi na akapata madaraka ktk taifa...only africa can manipulate people around. Time has come!
Kifupi ni hiki, wananchi walio marekani msikubali kutumiwa na makarani hawa ccm dicota, tumesikia na bado tunapata data zaidi ya jinsi balozi wa Tanzania anavyofanya kazi na dicota kuleta ufisadi US. Mbaya zaidi na masikitiko makubwa ni watanzania waliojiingiza ndani ya dicota na kujipendekeza ndani ya communities za watanzania katika states zote watanzania wanaishi. Hakuna kitu dicota inafanya zaidi ya kuwa tawi la ccm marekani. Kazi ya ku-promote taifa kote duniani vyote vimetengewa bajeti na hao maofisa ndani ya hizi ofisi ni incompetent people waliopewa kazi hizo kwa kupitia network za ccm.
Wanakuja wangapi kwenye trips ya marekani .... mlio marekani tunaomba data...sitakosea kusema ubalozi wa marekani umepokea maombi ya visas 50...wanakwenda kufanya nini wakati serikali haina funds?
"poverty deepen in ccm bones"

Hv naomba siku moja tukutane nakutambulishana kwan nazani ww utakuwa sio bure. Sidhani hata mtoto wa shule ya msingi anaweza kufikili unavyofikili. Unaonekana hupo humu kwa manufaa ya hao jamaa kwan kila mara nikujitutumua hili kuwa tetea. Hata kama ni usalama wa taifa nazani roho yako inakusuta kwan hakuna lamaana na ninakwambia hutafanikiwa na harakati zako na wenzako. Leo hii hata hao mliozoea kuwadanganya kwa T-sheti na kofia na khanga wameshtuka. Hivyo dada kazi mnayo.

"It is better to die standing than to live on your knees." Che Guevara

Madanguro yaliyoonezeka.....

Makahaba walioongezeka...

Umaskini ulioongezeka.....

Kutembea na vidumu vya mafuta kwenye magari....

nimeipenda sana hiyo idea-naamini mkianza nyie wa nchi nyingine pia watafata-so itakuwa kila anapokwenda anapokewa na maandamano,akija nyumbani anakutana na maanadamo,hadi hali ikae sawa hapa tz-naamini ikishafanyika hivyo mara kadhaa-lazima kutakuwa na international pressure ambao watatoa support kwa wananchi
Hatuna kiongozi bongo, tuna mpenda safari
Dada Faiza kuhusu makaratasi tunayoo na hatuogopi hilo. Tunae huyu Vasco da Gama hadi aumbuke.Tena raha kweli, tunangoja tuone mnavyochekesha, na sijui watawapangia mitaa ipi ya kupita huko. Maana nna uhakika mtapelekwa mbaaali, msilete vurugu, watu na shughuli zao Washington nyie mjidai na vibango vyenu.
Uzuri ni kwamba, kwa intelligence ya Merekani ilivyo, ukitaka kufanya maandamano wewe unaruhusiwa haraka haraka, ili wakusanye data za wakorofi wote (kila mfanya maandamano Merekani anahesabiwa ni mkorofi), sasa kazi kwenu, tutaona watu wanavyokuwa monitored kuanzia siku hiyo, na visa mara nyingine? na wale wenye kungoja makaratasi yao? na wale wenye kazi za kufagia sehemu nyeti? na wale wenye kubeba maboksi sehemu nyeti? na wale wenye vibali vya kuingia sehemu nyeti? Kazi kwenu!
Tujulisheni mitaa mliyoruhusiwa tuwatazame kwenye "web live street cameras".
Haya, yetu macho, halafu ntakuja siku kuwasuta humuhumu ndani.
WEWE WASEMA. Wewe ndie mdini manake mtu akiongelea ufisadi basi unatia karata ya dini. JK ni fisadi, haijalishi awe mkristu ama muislam fisadi ni fisadi tu. Hata swaum yake anafunga bure tuuWale wale wanaotaka JK ndiyo wale wale utawaona kwenye majukwaa ya Christians Fundamentalists. Huyu mmoja wapo.
whatever, dude!
Mkwer-e ni mzigo wa Tanzania na anafaa kuwa mkuu wa wilaya tu na sio nchi. Mwinyi alikuwa rais lakini hakufanya madudu kama huyu mjinga wetu mwenye kuwaza safari kila kukicha na kutuachia giza
You are the one who's suffering from myopic stupidity. Hatukukimbia nchi. Tumekuja kikazi/transfer. JK tunae tu. Kama kumsema JK fisadi means I'm stupid, then let me stupid!!!!!!!!!!!!Watu kujifanya wanauchungu na na nchi yao huku baadhi yao walikimbia tena kwa kutapeli ni unafiki mkubwa, wengine walipaona hapafai wapo huko wanaita majuu wanasukuma mikokoten na kuzibua vyoo wanasema wana uchungu na tanzania. Hata kukimbia nchi yenu ni maandamano so kuandamana huku is another degree of stupidity go on for that is ur capacity of thinking but for us we will continue building our nation

Safi sana maana Kikwete ni janga kubwa kwa Tanzania na Watanzania. Inabidi ashinikizwe huyu ili aondoke madarakani haraka sana badala ya kuendelea kuwepo hadi 2015.
Dada Faiza fadhali kutokuwa na shule kuliko kuwa na shule za kata. shule moja wanafunzi 400 walimu watatu tu???Tumlinganishe Kikwete na Rais yoyote umtakae wewe, kwenye chochote ukipendacho, tuone nani kafanya zaidi! Unaweza?
Anza:
Nyerere shule za sekondari ngapi alizojenga? Kikwete zaidi ya 2,500 mpaka sasa.