I DARE TO SAY: MUSLIMS HATA KAMA UMESOMA KIASI GANI KUNA LEVEL FLANI YA UJINGA UNABAKI NAYO NA PIA UPOFU WA KUWEZA KUTENGANISHA ISSUES....HAPA SUALA LA UDINI LINAKUJA VIPI HAPA, KAMA SI UHAYAWANI HUU. HUU NI WENDAWAZIMU KABISA, SIWEZI KUMTETEZA LOWASA ETI KISA HE IS CHRISTIAN LIKE THE FAITH I BELIEVE, I CAN NOT STAND BESIDE ROSTAM AZIZ BECAUSE HE IS FREEMASON LIKE I BELIEVE......LET US THINK CRITICALLY JAMANI, ACHENI HOJA MFU NA ZA KITOTO. U WAPI USOMI WENU, MNAJIPAMBANUA KWA LIPI? DAH...HII NI FULL CRAP:
I am Sorry to say hivyo. But i still believe there are good and well educated Muslims wanaoweza ku-analyse mambo vizuri kabisa na wanaweza kutenganisha dini na utendaji wa watu.
Wanapenda sana Ubwa bwa hao! Muwasamehe bure
Mkuu utakuwa umenivunjia heshima kidogo kwenye post yangu !!!![/QUOTE
Hhahahaha.......kimradhi ndugu yangu...hii ilikuwa taarifa kwa mheshimiwa mods....lol
Pamoja mkuu .!!!!
mie naona hiyo ni opposite kabisa, na wewe unalijuwa hilo na record zinaonesha zinakusuta.
mimi ni BUDDAH.
Kkukemea ufisadi sio udini.
Kukemea safari za nje zisizoisha sio udini
Acha kufikiri kwa kutumia makengeza tumia brain yako.
Hata akija raisi mkristo akiwa fisadi na akianza kusafiri kusikoisha tutamwuumbua
To hell with ukristo ama uislamu
Wale wanaodai haki zao Syria sio wote ni wakristo
Na magaidi wa kiislamu?Kundi moja
Na magaidi wa kiislamu?
Badilisha hiyo, sema "naunga" usitusemee, wengine hatuungi mkono kabisa.
Rais wako ananyoosha pasi suti zake saa hizi anajiandaa kwenda kwenye nchi ya kikristo, tumia nguvu hizi na povu hili linalokutoka hapa mshauri atembeee nchi za kiislamu kama Iran na Saudia na sio Marekani.Unajua elimu yenu ya Kanisa ya Tumaini Univesrity ndiyo inayoimaliza TZ. Hivi vyuo vya Makanisa vinatoa wala Rushwa na Mafisadi. Muda umefika wa kuangalia hivi vyuo vya Makanisa na Ufisadi nchini.
Swali ni kwa nini muandamane nyie Watanzania mlio Marekani wakati wale waliyo Tanzania wametulia tuli huku shida zote unazotaja zinawaathiri wao? Nyie mtakao andamana siyo Wakimbizi wa kisiasa, hamkandamizwi kisiasa kama tuseme Wazimbabwe, na mko huru kurudi Tanzania siku yoyote. Sanasana itapigwa kamatakamata na polisi, na wasiyo na makaratasi wataingizwa mkenge. Weka angalau ushahidi wa maombi ya kutaarifu maandamano ya amani kwa mamlaka husika huko Washington, DC, ili watu wasiwe na hofu ya kukamatwa.
Vinginevyo, wingi wa emails pekee kwenye hiyo email address uliyobandika, haiwezi kuzuia Rais wa nchi kunyimwa visa. Hebu mfafanue vigezo vya jinsi gani "raia wa kawaida" anaweza kuathiri mkuu wa nchi kunyimwa visa.
Unajua elimu yenu ya Kanisa ya Tumaini Univesrity ndiyo inayoimaliza TZ. Hivi vyuo vya Makanisa vinatoa wala Rushwa na Mafisadi. Muda umefika wa kuangalia hivi vyuo vya Makanisa na Ufisadi nchini.
Rais wako ananyoosha pasi suti zake saa hizi anajiandaa kwenda kwenye nchi ya kikristo, tumia nguvu hizi na povu hili linalokutoka hapa mshauri atembeee nchi za kiislamu kama Iran na Saudia na sio Marekani.
Rais wako ananyoosha pasi suti zake saa hizi anajiandaa kwenda kwenye nchi ya kikristo, tumia nguvu hizi na povu hili linalokutoka hapa mshauri atembeee nchi za kiislamu kama Iran na Saudia na sio Marekani.
Habari za kuokoteza nenda kaongee na walimu wa madrasat.Nani kakwambia Marekani ni nchi ya Kikiristo? Hii nchi inaendeshwa na Mayahudi. Wakristo in USA ni majina tu.
hao ni watanzania kama waliopo nyumbani tena wengi wanaumia kwa kupingwa mizinga
na wandugu waliobaki nyumbani
hayo mambo ya ukimbizi ni yako maana kama wewe ungekuwa unajari sana ukimbizi
waziri mmoja hapo serikalini sio mtanzania na waindi kibao wananyonya nchi zungumzia hao kwanza
watanzania walipo nyumbani kila wakiandamana wanaua sasa wewe unataka nini? watu tu?
isitoshi hii ni kama sindano ya ng'embe hakipingwa nayo moja huyu JK hato tembea tembea tena
au anaweza kumwaga unga niamini mimi
mza mza...............
<span style="font-family: comic sans ms"><font size="4">Wawe Wamarekani au Watanzania wameamua kuandamana kumpinga JK, unatamani ingekuwa ni hapa TZ muwamwagie maji ya kuwasha??? Na hii itasababisha JK apunguze safari za nje, Safi sana.</font></span>
Unajua elimu yenu ya Kanisa ya Tumaini Univesrity ndiyo inayoimaliza TZ. Hivi vyuo vya Makanisa vinatoa wala Rushwa na Mafisadi. Muda umefika wa kuangalia hivi vyuo vya Makanisa na Ufisadi nchini.
Matatizo ya Umeme TZ, mlikuwa mnapiga kelele Dowans, sasa mbona hatuoni hizo kelele kwa Symbion? Mitambo ni ile ilie matatizo yamezidi ya umeme. Tatizo la Udini ndilo linayoisumbua TZ. Hapa kuna double stardand, na watu washaijua hiyo plan ya Kanisa.