Content ya habari ilikuwa haieleweki, na sio swala la spelling, hakuna kitu kama United States Department!hili ni jukwaa la siasa hata mtu akikosea spelling sisi tunachojali ni kuelewa content ya habari yake. washamba kama nyinyi hata mjini
Mkuu, kwahiyo wewe unauraia wa nchi mbili ikiwemo US.
We nikome mi si Mtanzania wala mmarekani ni Mu Oman. Tanzania hususan Unguja nilizalika na kusomea Bara. Huko nilikuja kikazi tu.
Acha matusi Barubaru, kuna Watanzania tupo kiwanja miaka kibao vigezo vyote tunavyo na hatujachukua uraia wa mtu mpaka leo.
Ingawa nchi inavyoenda sasa tunaweza kulazimika.
Kama wewe umekaa na watu wasio karatasi vizuri usifikirie kila Mtanzania nchi za nje ana uchu na uraia wa watu.
Tena kuna watu washarudi mpaka bongo ingawa wana privileges zote za kuomba uraia hapa.
Sio kla mtu analimbukia uraia wa watu kihivyo.
Content ya habari ilikuwa haieleweki, na sio swala la spelling, hakuna kitu kama United States Department!
Isitoshe, U.S. State Department hawawezi kupokea maandamano binafsi ya Wabongo against Rais wao. Kebehi nyingi kumbe waongo, vilaza wakubwa.
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.
Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States , State Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe
EliakimMallya@yahoo.com
Update:
Tayari watu 450 wmesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii hadi atoke madarakani
Achaneni na huyu bi kizee FF zake zimekwisha, hebu tuzungumzie issue iliyopo mbele yetu, huyu anatumwa kuvuruga mijadala yenye tija kwa taifa letu. Mkizidi kumjibu anapata bichwa.
Moja ya mabongo lisomeke "JK kama nchi imekushinda kuwa muungwana achia kazi, singizia chochote hata afya (ingawa hapa husingizii), tutakusamehe"
Hilo bango litasomeka vizuri zaidi ukiondoa neno KAMA. Lisomeke: "JK nchi imekushinda achia ngazi."
Update:
Tayari watu 450 wmesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani