Maandamano ya CHADEMA ni jogging haya impact kwa mtawala

Ashampoo burning

JF-Expert Member
May 12, 2023
421
1,583
Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana madhara sawa tu jogging fulani tu

Africa tofauti na ulaya
Ulaya watu hata wanne wakifanya maandamano hua wanasikilizwa hoja zao maana ulaya wanaamini hadi hoja za watu wachache yaani democracy imekuwa iko mbali wana true democracy

Africa vipi
Africa ukifanya maandamano hadi usikilizwe ni lazima msimamishe uchumi na shughuli za kiserikali ndo mtawala anakusikiliza mfano kenya huwa waandamana week moja mfulilizo ili tu kuubana uchumi na kumfanya mtaWala asikilize hoja za upinzani

Pale tunisia waliandamana mwezi mmoja ukija pale sudan kwa bashir walikaa miezi mitatuahakuna kufanya kazi hadi hoja zikilizwe kwanza ndo uchumi uendelee wakafanikiwa kumtoa bashir kwa maandamano non stop ya miezi mitatu

Na maandamano yote hayo huwa yanatarget maaeneo ya kiuchumi watu wanakusanyikia huko yaani city center kati kati ya miji huko huko serikali inapopata kodi nyingi

Hii mifano michache ya maandamano successful

Sasa hili jogging la chadema halina madhara yeyote yale ccm wanajua ndo maana hawagopi ....yaani ni full raha tu maana ni watu wanafanya tu mazoeze ya afya katika miji mbali mbali ya nchi mwanza leo mbeya zam yao mazoezi ....arusha nao wajiandae na jogging la kunyoosha viungo

Maana ya maandamno africa ni kumfanya mtaawala kusikiliza kilio cha wananchi au kundi fulani ...sio tu kukimbia tu bila maana

Mange kimambi maandamano yake yaliogopwa maana yule mwana mama alitarget yakafanyikie posta ambapo muda ule ofisi nyingi za serikali zilikuwa posta so serikali ilijua mange kimambi alikuwa anataka kufanya nini waka mtime...maana angesimamisha shughuli za nchi kule posta hadi ofisi za kibalozi kubwa kule mabenk yanayofanya transactions kubwa kubwa ni posta ndo maana government ilizuia kabisa kabisa maandamano ya mange kimambi

Haya chadema hongereni kwa l mazoezi ya mwili kukimbia ni afya
 
Hata ulichoandika hapa kina impact kwa uliowaandikia .hakuna kisichokuwa na impact
 
Let's stupid rejoice there self!...
----------
Wenzao!
ACT wazalendo na vyama vyote vimeshatoa pongezi kwa mabadiliko yaliyofanyika.
 
Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana madhara sawa tu jogging fulani tu

Africa tofauti na ulaya
Ulaya watu hata wanne wakifanya maandamano hua wanasikilizwa hoja zao maana ulaya wanaamini hadi hoja za watu wachache yaani democracy imekuwa iko mbali wana true democracy

Africa vipi
Africa ukifanya maandamano hadi usikilizwe ni lazima msimamishe uchumi na shughuli za kiserikali ndo mtawala anakusikiliza mfano kenya huwa waandamana week moja mfulilizo ili tu kuubana uchumi na kumfanya mtaWala asikilize hoja za upinzani

Pale tunisia waliandamana mwezi mmoja ukija pale sudan kwa bashir walikaa miezi mitatuahakuna kufanya kazi hadi hoja zikilizwe kwanza ndo uchumi uendelee wakafanikiwa kumtoa bashir kwa maandamano non stop ya miezi mitatu

Na maandamano yote hayo huwa yanatarget maaeneo ya kiuchumi watu wanakusanyikia huko yaani city center kati kati ya miji huko huko serikali inapopata kodi nyingi

Hii mifano michache ya maandamano successful

Sasa hili jogging la chadema halina madhara yeyote yale ccm wanajua ndo maana hawagopi ....yaani ni full raha tu maana ni watu wanafanya tu mazoeze ya afya katika miji mbali mbali ya nchi mwanza leo mbeya zam yao mazoezi ....arusha nao wajiandae na jogging la kunyoosha viungo

Maana ya maandamno africa ni kumfanya mtaawala kusikiliza kilio cha wananchi au kundi fulani ...sio tu kukimbia tu bila maana

Mange kimambi maandamano yake yaliogopwa maana yule mwana mama alitarget yakafanyikie posta ambapo muda ule ofisi nyingi za serikali zilikuwa posta so serikali ilijua mange kimambi alikuwa anataka kufanya nini waka mtime...maana angesimamisha shughuli za nchi kule posta hadi ofisi za kibalozi kubwa kule mabenk yanayofanya transactions kubwa kubwa ni posta ndo maana government ilizuia kabisa kabisa maandamano ya mange kimambi

Haya chadema hongereni kwa l mazoezi ya mwili kukimbia ni afya
wala hayasaidii chochote na nzuri zaidi yamedorora vizuri sana leo, maana yake yamepuuzwaa na wana mbeya....
 
We andamana na issue za mandonga
Na wakata mauno wengine tu

Ova
 
Yana impact, wapenzi wa chadema wanaongezeka kwa kasi, ccm hawataweza kutuletea uchafuzi tena, tutasimamisha nchi.
 
Chadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
 
Maandamano ya leo ni kama yamewamwagia upupu mnajikuna hadi mnavua nguo na bado,gari ndiyo limeshachanganya ni mwendo mdundo. Nyuzi mia kidogo ni dhahiri kisu kimegota kwenye mfupa.
 
Yana impact, wapenzi wa chadema wanaongezeka kwa kasi, ccm hawataweza kutuletea uchafuzi tena, tutasimamisha nchi.
Kama kile kizazi cha 2015 kililetewa uchafuzi, sioni kabisa kizazi hiki watashindwaje
 
Back
Top Bottom