Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

Fuateni sheria cheni bla bla, hii nchi inafuata utawala wa sheria !
Walio rejesha badhi ya pesa za EPA sheria ilifatwa, rada sheria ikafatwa, kiwira sheria ilifuatwa, richmond/dowans sheria ilifuatwa, orodha ni ndefu mno.
 
Ndugu zangu wana Mbeya tusigeuzwe mtaji wa kisiasa na hawa Wachaga wa Chadema, zindukeni wacheni kulala wana Mbeya tutakuja kujuta tusipokuwa makini, Ebe jiulizeni kama kweli nyie ni chadema, kati ya Wabunge (25) wa viti maalum wa Chadema Mbeya hakuna hata Mbunge mmoja wengi wamepewa wachaga wenzao ndio wengi wakati Mbeya ndio mmempa Dk Slaa kura nyingi za Urais, Mwanza ikishika nafasi ya pili wenyewe wamepewa kiti kamoja tu, wana Mbeya susieni hayo maandamano ya mafisadi Chadema, WANA MBEYA ZINDUKENI ACHENI KUJIPENDEKEZA CHADEMA HATA MBUNGE MMOJA WA VITI MAALUM MMENYIMWA NA HAWA WACHAGA WA CHADEMA:amen:
 
Hakika RPC asichukulie utani itamcost sana na akicheza atakuwa kwenye list ya Andengenye na Ocd Zuberi wa Arusha kwenda kwa Ocampo wasicheze na Nguvu ya Umma
 
nimefuatilia sana hoja zako. Laiti kama ungeongeza juhudi sana kwenye kusoma basi ungekua katibu kata au hata nesi.
kama ni nesi wa hospital umekosea sana mkuu! Katibu kata sawa, kwa kuzingatia madhara ya makosa yafanywayo kazini.
 
Mr Nyambala, naamini baadhi ya vibaraka wa CCM wamo humu JF na hiyo hukumu ya waziri wa mambo ya ndani wameiona. Slaa alisema moja ya viongozi bogasi wa sasa ambao CDM ikichukua dola ita-deal nao maana jamaa likija suala la CDM anatumia ubongo wa mat..oni kuamua!
 
I have just spoke wid Mh. Regia hasa baada ya kuona hii kitu na ameniambia wako Iringa wanelekea Mbeya na amesema taarifa za kuzuia hayo maandamano nao wamezisikia kwa mdomo hawajapewa barua yeyote so maandamano yapo kama kawaida na tunaomba watu wajitokeze kwa wingi bila kukosa...Na mimi ikimpendeza Mungu nitakuwa huko kuungana na makamanda...Ndugu zangu kama tunavyosema HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE...
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Alisema maandamano hayo yanatarajiwa kuanzia maeneo ya Iyunga na kuishia maeneo ya Rwandanzovwe katika viwanja vya Dk. Slaa.

Alisema waandamanaji wataibukia maeneo ya Sinde na kupitia Mwanjelwa, Soweto, Mama John na kunyoosha moja kwa moja hadi Rwandanzovwe kwenye viwanja vya Dk. Slaa ambapo utafanyika mkutano mkubwa utakaoongozwa na viongozi wa kitaifa wa Chadema.

Kama haya ni kweli basi ni vizuri sana kama tuna waenzi watu wanao
pigania maslahi ya taifa

:: IPPMEDIA
 
Ndugu zangu wana Mbeya tusigeuzwe mtaji wa kisiasa na hawa Wachaga wa Chadema, zindukeni wacheni kulala wana Mbeya tutakuja kujuta tusipokuwa makini, Ebe jiulizeni kama kweli nyie ni chadema, kati ya Wabunge (25) wa viti maalum wa Chadema Mbeya hakuna hata Mbunge mmoja wengi wamepewa wachaga wenzao ndio wengi wakati Mbeya ndio mmempa Dk Slaa kura nyingi za Urais, Mwanza ikishika nafasi ya pili wenyewe wamepewa kiti kamoja tu, wana Mbeya susieni hayo maandamano ya mafisadi Chadema, WANA MBEYA ZINDUKENI ACHENI KUJIPENDEKEZA CHADEMA HATA MBUNGE MMOJA WA VITI MAALUM MMENYIMWA NA HAWA WACHAGA WA CHADEMA:amen:
Mbona husemi chama chenu cha magamba na kujazana watoto wa vigogo na matajiri watz washaelimika hawasikilizi siasa zenu ambazo hazina tofauti na sera za mkoloni, au hujui mkoloni alifanya ka nyie mnavyofanya sasa hivi
 
Taarifa zilizopatikana ni kwamba RPC Mbeya amepiga marufuku maandamano ya CDM kwa sababu ya taarifa za kiintelligensia.

Kwa mara nyingine tena watawala wanaingia woga na kuweweseka wakiwafikiria CDM. Kwa nini CDM wawe chanzo cha vurugu? Watu Wa-Mbeya wavuruge amani yao wenyewe?

Au wanataka yarudie ya tarehe 5 January huko Arusha?
Isijekuwa wadau walikuwa wanachangia/wanajadili kitu kisichokuwepo(tetesi).....Maana taarifa iliyopo ni kwamba maandamano hayajazuiwa na Polisi wala nini,yapo palepale kama ilivyopangwa....

Kila la heri CHADEMA....
 
mkuu wa mkoa wa mbeya ambaye pia ni mjumbe ktk vikao vya CCM ndiye anawazuia chadema isiandamane haki iko wapi?? ili lenyewe tu lina conflict of interest ya kutisha inayomfanya kukosa impartiallity ktk kufanya decision kuhusiana na swala zima la chadema na serikali(ccm). uwezi kuwa hakimu kwenye mashauri ambayo nawe pia una interest kati yake.
 
I have just spoke wid Mh. Regia hasa baada ya kuona hii kitu na ameniambia wako Iringa wanelekea Mbeya na amesema taarifa za kuzuia hayo maandamano nao wamezisikia kwa mdomo hawajapewa barua yeyote so maandamano yapo kama kawaida na tunaomba watu wajitokeze kwa wingi bila kukosa...Na mimi ikimpendeza Mungu nitakuwa huko kuungana na makamanda...Ndugu zangu kama tunavyosema HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE...

Mkuu kama mpaka muda huu upo Dar, na maandamano ni kesho uko Mbeya utakwenda kwa usafiri gani kuwahi hayo maandamano?
 
Wanamuenzi shujaa wa watanzania,tuachane na wale wanaojipa sifa wasizostahili.Unaskia shule kama yusufu makamba,mama salama nk.loh!
 
Ndugu zangu wana Mbeya tusigeuzwe mtaji wa kisiasa na hawa Wachaga wa Chadema, zindukeni wacheni kulala wana Mbeya tutakuja kujuta tusipokuwa makini, Ebe jiulizeni kama kweli nyie ni chadema, kati ya Wabunge (25) wa viti maalum wa Chadema Mbeya hakuna hata Mbunge mmoja wengi wamepewa wachaga wenzao ndio wengi wakati Mbeya ndio mmempa Dk Slaa kura nyingi za Urais, Mwanza ikishika nafasi ya pili wenyewe wamepewa kiti kamoja tu, wana Mbeya susieni hayo maandamano ya mafisadi Chadema, WANA MBEYA ZINDUKENI ACHENI KUJIPENDEKEZA CHADEMA HATA MBUNGE MMOJA WA VITI MAALUM MMENYIMWA NA HAWA WACHAGA WA CHADEMA:amen:
Umejiunga Mwaka mpya hii mada ya viti maalum ilshajadiliowa sana na hata wakongwe wa propaganda kama Malaria Sugu hawaitumii tena. Utatuona kesho tukijaa barabarani kama kawaida. Unapanda basi la ukabila mpaka karne hii!
 
Wanamuenzi shujaa wa watanzania,tuachane na wale wanaojipa sifa wasizostahili.Unaskia shule kama yusufu makamba,mama salama nk.loh!

Ni nani anae amua hiki kitu kiitwe hivi?
i mean,kama uwanja wa J.K.Nyerere nani ali suggest jina hilo na kulipitisha?
nani ana pitisha rasmi kwamba,hili ndo jina la hiki kiwanja hadi vyombo vya habari na
kila mtu ajue hiki ni kiwanja cha .......?
 
Back
Top Bottom