Bendera ya Bati
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 279
- 369
Vyombo vya usalama (polisi)waache woga,inakuaje kila CDM inapoitisha maandamano ndio tunaanza kusikia ngojera za taarifa za kiintelejensia?Huku ni kukwepa wajibu wao wa kuhakikisha maandamano yanalindwa kuanzia mwanzo hadi mwisho,lakini ukweli ulioko nyuma ya pazia ni kuwa,serikali ya ccm kushirikiana na polisi wanaogopa kuiona turn up ya umma itakayojitokeza kusapoti maandamano hayo.Aibu kubwa.