Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

Nimegundua intelejensia yetu iko tofauti sana na ya Marekani aisee. Wenzetu taarifa za kiitelejensia wanazitumia kukamata wahalifu (kama ilivyotokea kwa Osama) lakini hawa wa kwetu wanaitumia kukandamiza haki za raia!!! iko siku watatuzuia kwenda maofisini eti kwa sababu wana taarifa za "kiintelejesia" kuwa huko mjini kutatokea vurugu. Wanasahau kuwa tumewaajili na tunawalipa ili kupambana na wahalifu na sio kutuzuia sisi kufanya mambo kwa hofu ya wahalifu. Nadhani tatizo ni kuwa wanausalama wetu hawako competent kupambana na uhalifu ndo maana wanatunga habari za uongo ili watu wasitumie uhuru wao. Kama wangekuwa competent wangekuwa wanaruhusu maandamano na baadae wanatumia taarifa zao za "intelejensia" kuwakamata wahalifu hao wanaowawaza kama kweli wapi. Au ni "imaginary" wahalifu
kwani katika matokeo ya Form IV (is it Form VI au Universities?) wanaopata marks gani huwa wanaopt kwenda CCP!???
 
mie naomba niulize jambo moja........hivi mtu anayetumwa kuja kumwaga matapishi hapa jamvini kama jeykey, geniusbrain malaria sugu na wengine wanalipwa shilingi ngapi kwa siku? inawezekana kabisa kuwa hii ndiyo ajira yao waliyopewa? kama ndivyo watu hawa hawazalishi na ni mzigo kwa taifakwani hawana mchango wowote kwa pato la taifa.....hawa ni gundi inayoshikilia magamba!!


hongera chadema...endeleeni na oparation..tuko pamoja.[/QUOTE
]



wala huna haja ya kujua kiasi wanacholipwa, wachukulie tu kama walivyo kuwa ni magamba.
 
Kwnn haya yanatokea?? Mimi inanigusa hakuna mfano. Cjui nijinyonge,Naombeni ushauri wenu plz!
Hee ndugu! Kutokana na jina lako naomba nikwambie hivi; Kwanza sisi hatuna tabia ya kujinyonga kwa sababu hatukati tamaa hata siku moja, wanaojinyonga ni wale jamaa wa magobore...lol Halafu mbona kule kwenye sredi yetu huonekani?
 
Quinine, hujanijuza kuhusu wasiwasi wako. Na mimi sasa napata wasiwasi dhidi yako!
 
Mimi huwa nashangaa sana na hawa jamaa waliojivua gamba, wao hawajazoea siasa, wanataka baada ya uchaguzi watu wasifanye siasa, halafu uchaguzi mwingine wanasema vyma vya upinzani ni vyama vya msimu. kuzuia maandamano, sio suluhisho wao wanatakiwa wathamini watanzania na wasiwafanye watanzia wajinga
 
Back
Top Bottom