Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

Napenda kumpatia RPC Mbeya taarifa sahihi za Kiinteligence, kuwa akijaribu kuzuria Uhuru wa watu tena Watanzania wa Mbeya na Chama chao cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

Na watakapo jaribu kutumia nguvu ya Police basi ajiandae tokea sasa kama ana mpango huo na aombe msaada wa jeshi la mwananchi JWTZ kwani hiyo vita ya nguvu ya Umma jeshi la polisi halitaweza.

OMBI LANGU KWAKE, AWAACHE WANA CHADEMA WAFANYE MAANDAMANO YAO YA AMANI, NA MIKUTANO YAO YA KUWAELEZA WATANZANIA JINSI CCM NI WEZI NA WAZEMBE.

Na hakutakuwa na fujo wala machafuko yeyote.

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI WATANZANIA WENYE NIA NJEMA NA TANZANIA YETU.
 
haipendezi kupanda mbegu za chuki.....inasemekana, kunatetesi, nimesikia....haya ni maneno ya wambeya...

inasemekana kuna kundi la wahuni wanampango wa kumu-attack shitambala pengine kutia moto nyumba yake na yeye.hii ni kukiuka haki za binadam.cdm ebu tuwe wastaarab mbona shibuda alihama tena kwa kejeli hakuna vijana wa ccm waliemtia kiberiti?

acha mambo ya umbea wewe kama rev alivyokwambia, huyo shitambala anakaa dar tabata... Halafu watu mnaokua na kauli za inasemekana mnakera kishenzi
 
Mungu ni wa wote, na hana upande ! ila upande wenye haki ya kulinda amani na utulivu wa nchi ndio yuko upande wao

Kamanda naomba uniambie wana Ccm wangapi wataona ufalme wa Mungu.Na kiongozi gani wa Jeshi la Police atarithi ufalme wa Mungu?
 
kwani mkifanya mkutano bila maandamano kuna ubaya gani sana sana haya mandamano mnawapa wapinzani wenu nafasi ya kuwaleza watanzania kuwa mnachochea virugu
wakiandamana na kufanya mkutano kuna ubaya gan?. Kwani wamesema wanavunja aman kwanza afu ndo wafanye mkutano? (tafsiri yako ni MAANDAMANO = UVUNJIFU WA AMANI)
 
acha mambo ya umbea wewe kama rev alivyokwambia, huyo shitambala anakaa dar tabata... Halafu watu mnaokua na kauli za inasemekana mnakera kishenzi

Duh, CDM sasa wamefikia pabaya, wanapanga na mauaji ya mashujaa kama Shitambala !
 
taarifa zilizopatikana ni kwamba rpc mbeya amepiga marufuku maandamano ya cdm kwa sababu ya taarifa za kiintelligensia.

Kwa mara nyingine tena watawala wanaingia woga na kuweweseka wakiwafikiria cdm. Kwa nini cdm wawe chanzo cha vurugu? Watu wa-mbeya wavuruge amani yao wenyewe?

Au wanataka yarudie ya tarehe 5 january huko arusha?

peoples power
 
wakiandamana na kufanya mkutano kuna ubaya gan?. Kwani wamesema wanavunja aman kwanza afu ndo wafanye mkutano? (tafsiri yako ni MAANDAMANO = UVUNJIFU WA AMANI)

Fuateni sheria cheni bla bla, hii nchi inafuata utawala wa sheria !
 
Dawa ni kukomaa na kuonyesha kuwa mnaweza!
Hapo wanawapima joto waone kama hakuna reaction, then wanawakandamiza!
Kuweni kama Arusha, Sugu asikubali Sharobaro au Mrembo yeyote auze sura hapo!
 
Kama suala hilo nikweli basi neno "Intelijinsia" linatumika vibaya na bila shaka ni silaha na maagizo ya watawala wenye mashaka na uongozi wao ambao hauna nia njema ya kuwaletea maendeleo ya kweli wananchi.
 
Haipendezi kupanda mbegu za chuki.....inasemekana, kunatetesi, nimesikia....haya ni maneno ya wambeya...

Fuateni sheria cheni bla bla, hii nchi inafuata utawala wa sheria !

Tafuta kazi nyingine ya kufanya hata kupiga deki sio mbaya na kama hao wakina Mukama, Msekwa na Nape wanakulipa ile uje ulete pumba humu utanyosha mikono na kuondoka kama wenzako wakina kashaga na majimshindo, walikuja kwa nguvu ya soda katika jukwaa hili mara wakahamia jukwaa la Maria Roza, mara wakajitangaza wenyewe kua JF ni CHADEMA... mpaka sasa hivi hawaonekeni humu tena, punguza pumba, mimi sioni sababu yakuwa unaingia humu na kucrtisize hata jambo ambalo ukimwambia mtoto wa darasa la 5 analielewa. ushauri wangu ukitaka kujua kwamba Chama cha Magamba na Serikali haipendwi uwe unaingia na mtandao wa mzalendo.net ingawa utasema ni wa CUF kama JF na CHADEMA, Kaka/DADA CCM ni donda linalonuka linakera pua za watu.. nashangaa wewe unaendelea kufurahia harufu na uvundo unaotoka pale.
 
Back
Top Bottom