wewe una matatizo unapenda chama kwa kuwa Mwenyekiti ni kabila lako thats why upo Ccm nini kwanza Wakwere hata kujenga nyumba ya kuishi nyie wenyewe taaabu angalia Chalinze majirani wa Jakaya tena ashukuru Mungu kujengewa na Mafisadi akijitetea kajengewa na Jeshi.CRAP!WEWE NI CCM NA KUWA CCM KWA UMRI WAKO NI DHAMBI SAWA NA KULA NYAMA YA MTU.
Alisema maandamano hayo yanatarajiwa kuanzia maeneo ya Iyunga na kuishia maeneo ya Rwandanzovwe katika viwanja vya Dk. Slaa.
Alisema waandamanaji wataibukia maeneo ya Sinde na kupitia Mwanjelwa, Soweto, Mama John na kunyoosha moja kwa moja hadi Rwandanzovwe kwenye viwanja vya Dk. Slaa ambapo utafanyika mkutano mkubwa utakaoongozwa na viongozi wa kitaifa wa Chadema.
Kama haya ni kweli basi ni vizuri sana kama tuna waenzi watu wanao
pigania maslahi ya taifa
Nimeipenda hiyo red.
Tumechoka kusikia sijui Y. makamba sekondari, salma kikwete hall, sijui riziwani kikwete strt....na upupu kedekede ufananao na huo. Nadhani sasa ni zamu ya kuwaenzi wapigania haki wa ukweli.
wewe una matatizo unapenda chama kwa kuwa Mwenyekiti ni kabila lako thats why upo Ccm nini kwanza Wakwere hata kujenga nyumba ya kuishi nyie wenyewe taaabu angalia Chalinze majirani wa Jakaya tena ashukuru Mungu kujengewa na Mafisadi akijitetea kajengewa na Jeshi.CRAP!WEWE NI CCM NA KUWA CCM KWA UMRI WAKO NI DHAMBI SAWA NA KULA NYAMA YA MTU.
Tutalazimika kucheza sana na misamiati kuzitofautisha hizi dhana lakini kimantiki hiyo "taarifa" ni sawa kabisa na "maombi ya kibali au ruhusa"
Chadema wanalijua hilo fika na ndiyo maana wanachukua muda wao kufanya mawasiliano na polisi hata kama hawapendezewi.
Kama kigezo kwa taarifa hiyo ni kwa polisi kutoa ulinzi na ikiwa ulinzi ni lazima kumbe tunawezaje kutofautisha kati ya "kuomba kibali" na "kutoa taarifa" katika mazingira haya?
Sina hakika na ukweli kuhusu taarifa hizi, lakini huo ni mtazamo wangu kiujumla...
Harakati zitaendelea hata kama wao watazuia kwani ni upuuzi mtupu, Hatutatishwa na viongozi wa CCM (wakiwemo ma-RPC na IGP) ambao ni makada wao, Tutaonyesha hisia zetu kwa wananchi wa Mby na nyanda za juu kusini kwa ujumla. CDM mbeleeeeeeee
Hivi ni kwa nini sheria inataka chama kitoe taarifa polisi kabla ya maandamano? lengo si ni kupewa ulinzi? sasa wanaposema kuna taarifa za kiintelijensia kuvuruga amani si ndo ingekuwa ni advantage kwa polisi ili kujipanga sawasawa? mbona sasa wao ndo wanaifanya sababu ya kuzuia maandamano. Mi naona lengo zima la kutoa taarifa polisi linakosa maana kwa sababu kama maandamano wanayotaka kuyalinda ni yale tu ya amani kuna sababu gani kuwataarifu polisi? maana kama hakuna tishio la uvunjifu wa amani polisi wa kazi gani? polisi wanaoogopa vurugu za kuvunja amani wanamanufaa gani? si bora warudi uraiani tu!!
Labda sijakuelewa mkuu,
Unamaanisha tuhamasishe uhalifu ili polisi wafanye kazi? Kwamba polisi wasifanye chochote kuzuwia uhalifu ila wakae ofisini kusubiria taarifa za uhalifu halafu wakaoneshe uwezo wao kwenye mapambano?!
Unaposema "lengo ni kutoa ulinzi" maana kisheria kama msumeno, inakata mbele na nyuma.
Kwanza waandamanaji walindwe dhidi ya wavamizi na pili raia wengine walindwe dhidi ya wavamizi ikiwa kutatokea uvamizi.
Sasa kwa mfano wewe ndiyo Rpc, jumla ya askari ulionao ni 100, unapokea "taarifa" ya maandamano na idadi ya waandamanaji inakadiriwa kufikia 5000 lakini zaidi una taarifa kuhusu viashiria vya uvunjifu wa amani, utafanyaje?
Kama ni mimi nitapendekeza maandamano yasifanyike. Wengine watasema "nimezuwia wakati sikuombwa kibali" na wengine watasema nakitetea chama tawala bila hata hoja.
Sitojali, lakini wajibu wangu nitakuwa nimeutimiza kwa maslahi ya umma wa watanzania...
Ndugu zangu wana Mbeya tusigeuzwe mtaji wa kisiasa na hawa Wachaga wa Chadema, zindukeni wacheni kulala wana Mbeya tutakuja kujuta tusipokuwa makini, Ebe jiulizeni kama kweli nyie ni chadema, kati ya Wabunge (25) wa viti maalum wa Chadema Mbeya hakuna hata Mbunge mmoja wengi wamepewa wachaga wenzao ndio wengi wakati Mbeya ndio mmempa Dk Slaa kura nyingi za Urais, Mwanza ikishika nafasi ya pili wenyewe wamepewa kiti kamoja tu, wana Mbeya susieni hayo maandamano ya mafisadi Chadema, WANA MBEYA ZINDUKENI ACHENI KUJIPENDEKEZA CHADEMA HATA MBUNGE MMOJA WA VITI MAALUM MMENYIMWA NA HAWA WACHAGA WA CHADEMA:amen:[/QU
Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA,Naomi Mwakyoma (Mbeya), kushoto, na
Vyombo vya usalama (polisi)waache woga,inakuaje kila CDM inapoitisha maandamano ndio tunaanza kusikia ngojera za taarifa za kiintelejensia?Huku ni kukwepa wajibu wao wa kuhakikisha maandamano yanalindwa kuanzia mwanzo hadi mwisho,lakini ukweli ulioko nyuma ya pazia ni kuwa,serikali ya ccm kushirikiana na polisi wanaogopa kuiona turn up ya umma itakayojitokeza kusapoti maandamano hayo.Aibu kubwa.
Nimegundua intelejensia yetu iko tofauti sana na ya Marekani aisee. Wenzetu taarifa za kiitelejensia wanazitumia kukamata wahalifu (kama ilivyotokea kwa Osama) lakini hawa wa kwetu wanaitumia kukandamiza haki za raia!!! iko siku watatuzuia kwenda maofisini eti kwa sababu wana taarifa za "kiintelejesia" kuwa huko mjini kutatokea vurugu. Wanasahau kuwa tumewaajili na tunawalipa ili kupambana na wahalifu na sio kutuzuia sisi kufanya mambo kwa hofu ya wahalifu. Nadhani tatizo ni kuwa wanausalama wetu hawako competent kupambana na uhalifu ndo maana wanatunga habari za uongo ili watu wasitumie uhuru wao. Kama wangekuwa competent wangekuwa wanaruhusu maandamano na baadae wanatumia taarifa zao za "intelejensia" kuwakamata wahalifu hao wanaowawaza kama kweli wapi. Au ni "imaginary" wahalifu
Taarifa zilizopatikana ni kwamba RPC Mbeya amepiga marufuku maandamano ya CDM kwa sababu ya taarifa za kiintelligensia.
Kwa mara nyingine tena watawala wanaingia woga na kuweweseka wakiwafikiria CDM. Kwa nini CDM wawe chanzo cha vurugu? Watu Wa-Mbeya wavuruge amani yao wenyewe?
Au wanataka yarudie ya tarehe 5 January huko Arusha?
dhambi ya ubaguzi itawatafuna kweli kweli, ok, sawa ni mchaga, mmachame, mrombo, au sijui mnini ndo kitakachofuata. nyereree oyeeeeeeeeee...............
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.