Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

Tatizo linalowasumbuwa bado ni lile lile, angalia post #30 mkeshaji ameshasahihisha hilo, wewe unachorudia hapa ni kujaza server tu, na kuhusu huyo MMKWELE naomba weka bold ili wadu waone nimemtukana wapi kama hajajitukana yeye mwenyewe, kwenda kukenuwa meno kwenye kitu ambacho kinakudharirisha wewe na nchi yako. angalia kwa makini hii picha mtu makini anaweza kuingizwa mkenge huu?

View attachment 29377

Hivi ikoje hii !!!!! hizo 300,000 ni US Doller, Euro, madafu au wameacha wazi ili baadaye wachakachu?
 
Polisi wajue kuwa mbinu yoyote ya kuhujumu harakati za vyama mbadala kwa kisingizio cha Taarifa za kiintelijensia hazitavumiliwa tena.Kama serikali hii inataka isimalize muda wake salama,basi itumie jeshi la polisi kuhujumu shughuli za CHADEMA na upinzani kwa ujumla.

Ghiliba za watawala haziwezi kuzuia harakati za vyama vya siasa.Mfumo wa demokrasia unatambua haki ya kuandamana kama njia mojawapo ya kuushinikiza utawala kutekeleza majukumu yake kwa wananchi

Utawala unaogopa au unaozuia matumizi ya haki hiyo,ni dhahiri kwamba utakuwa umedhamiria kukandamiza haki na wajibu wa vyama vya siasa.Utawala wa aina hiyo hauwezi kuvumiliwa hata kidogo,vijana tukae tayari kwa ajili ya kupigania haki,wajibu na ukombozi wa Taifa letu.tuungane pamoja katika umoja wetu wenye nguvu(nguvu ya umma) katika kutetea maslahi ya watanzania wote.Tusikubali tena kukandamizwa,ni lazima tujitoe mhanga katika hili.
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
SEHEMU YA TATU
HAKI NA WAJIBU MUHIMU
Haki ya Uhuru wa Mawazo

18.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na
kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi,
na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.
(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni
muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala

20.-(1) Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani,
kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani, na hasa zaidi kuanzisha au kujiunga na
vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa madhumuni ya kuhifadhi au kuendeleza imani au maslahi yake au
maslahi mengineyo.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
RPC hana mamlaka ya kutoa kibali. Na yeye haombwi kibali bali anapewa taarifa.GB wewe uko katika karne gani? Ama kweli Watanzania wengine hawajijui kama wapo Tanzania.

Ww sijui upo dunia ipi, upo Tanzania ww kweli ? CDM wanatakiwa wapewe kibali na polisi huo ndio utaratibu. Na ukumbuke kuwa RC ni ndiye MWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa. Sasa anapo ona amani haiatakuwepo , ana haki ya kusimamisha maandamano ili kulinda amani
 
Na hapa ndipo separation of power inapopokwa, katiba haisomwi tena, state inatoa maagizo tuu, sijui kawa projection inafanyika, tujipe muda
 
Tungoje viongozi wa Chadema watatujuza,maandamano ni haki ya watanzania kama wanataka ya Uganda yaje hapa nchini wazuie maandamano ninavyo wajua watu wa Mbeya wale akili zao wanazijua wenyewe

Watu wa Mbeya ni nyanya sasa, wana hawawezi kuitisha dola, duniani kote dola ina nguvu ! kama mnataka kuua watu tena kama mlivyo fanya arusha shauri yenu. Tiini mamlaka ya sheria !
 
Na hapa ndipo separation of power inapopokwa, katiba haisomwi tena, state inatoa maagizo tuu, sijui kawa projection inafanyika, tujipe muda

Anything that goes around comes Around! Unapowanyima watu Haki zao ndipo unapowafanya Wazijue Hata zile haki zingine walizokuwa hawazifahamu

CCM Strartergies ( Kwa Ushauri wa Nape na Mukama) are Killing it ( CCM). Eti Wanaunda Timu kuchunguza kwa nini Wanachukiwa come on CCM hamna Watu wasomi zaidi ya hao Ill Researchers akina Mukama
 
Kama kawaida yako ...kudandia dandia .... unasoma mada kwa ushabiki .....mwambie muajiri wako mpya BW. Mukama akufundishe tofauti ya RC na RPC

Yaani ww ndio hujui kabisa, RC ni mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, upo hapo ? anapoona kuna jambo linalo tishia amani ya nchi hana budi kulizuia kwa mujibu wa madaraka aliyo nayo
 
Kama ni kweli huyu RPC amezuia maandamano hajatendea CHADEMA haki. Wao ndio watakaohatarisha amani hapa tanzania kwa ujumla. RPC uwe makini na uchukuwe mfano uliopo hapo kwa jirani yako (Kenya) na ujue juzi waliitwa kwa nani kujibu mashtaka, siku utakapo itwa watakukimbia wote. Sisi tunajua kila mtanzania anauhuru wa kuhudhuria au kuendelea na shughuli zake. Hivyo vyombo vya dola ambavyo vimepata hizo habari za kitelijensia vingekuwa wazi kuwa kuna mbinu hii na hii ili kila mtu awe askari au kuwashauri labda tarehe hii haiwezekani tupeleke tarehe fulani, kwa sababu haya maandamano sio ya siri. Wananchi wa Mbeya tunaomba tushirikiane kutafuta haki yetu inayotumiwa vibaya na wapenda mijisifa. CCM mlituburuza mpaka mitongotongo yetu ikatukaukia machoni kwa ajili ya kutishiwa tishiwa na zidumu fikra za M/kiti. Sasa tumesha nawa matongotongo yamekwisha lazima tudai haki yetu. Na tutadai haki yetu kwa amani kwa kutumia sanduku la kura.

Mungu ibariki Tanzania na viongozi wote wa CHADEMA.:israel:
Maandamano ya CHADEMA yalifanyika Mikoa ya kanda ya ziwa,Tabora,Kigoma n.k.Hakuna vurugu yoyote iliyotokea.Na hata Arusha kunaushahidi ya kua chanzo cha vurugu ni CCM na serikali yenyewe.Leo iwe vipi wazuiwe maandamano ya Mbeya?Hapa hakuna sababu yoyote ya msingi,nafikiri sababu kubwa ya CCM kujaribu kufanya hilo ni kwanza iko katika wakati mgumu usanii wa "KUJIVUA MAGAMBA"Haukuzaa matunda au effect waliyoitegemea kuidanganya jamii haikufanikiwa ,kwani kujivua magamba kuko midomoni mwa viongozi wa CCM na si kivitendo.Katika hali kama hii kuruhusu maandamano kabla ya kujinasua kwenye mtego wa gamba ambao walijitega wenyewe ni pigo kubwa kwa CCM,CCM wamechanganyikiwa hawana la kufanya.Pili CCM wanafanya maksudi kuzuia maandamano hayo ili zitokee vurugu na hivyo kuamisha fikra za wananchi kutoka kushindwa kujivua magamba kuzielekeza kwenye vurugu ili wapate muda wa kupumua.Kwa kufanya hivyo CCM inatupeleka pabaya.Kama kutatokea vurugu wakulaumiwa ni CCM na serikali(MAFISADI)Kuzuia maandamano sio solution bali ndio hatari zaidi.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Ww sijui upo dunia ipi, upo Tanzania ww kweli ? CDM wanatakiwa wapewe kibali na polisi huo ndio utaratibu. Na ukumbuke kuwa RC ni ndiye MWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa. Sasa anapo ona amani haiatakuwepo , ana haki ya kusimamisha maandamano ili kulinda amani


ha ha haaa ... GeniusBrain bwana. I almost believed you. Unajua ingekuwa mwaka 1977 amri kama hii ya RC or RPC ingekuwa finito. hakuna kukohoa wala nini. Lakini sasa hivi watanzania wanakusomea vifungu ndani ya katiba na sheria/mamlaka ya RPC au RC kwa mujibu wa katiba. That tells you the status ya watanzania wa leo. Hatishiwi mtu nyau.
 
RPC ni wa CCM na watoa vibali wako chini ya CCM unatarajia kibali kitatolewa katika mazingira hayo?

Hivi ili suala la kibali linatoka wapi? Hakuna sheria inayosema polisi watoe kibali watu kuandamana. Polisi wanapewa taarifa ili watoe ulinzi, full stop. Hawana mamlaka ya kuzuia maandamano. Maandamano haya lazima yafanyike!!!!

Tiba
 
Unajua Tanzania sheria inasema kitu tofauti na mambo yanatendwa tofauti. Fikiria sheria inasema Chama cha Siasa kinapotaka kufanya mkutano au kuitisha maandamano kitoe taarifa kwa maandishi (siyo kuomba ruhusa) kwa kamanda mkuu wa polisi wa eneo husika katika muda usiopungua saa 48. Kama CDM wametoa taarifa kadiri ya matakwa ya sheria, na mpaka siku ya mkutano au maandamano inafika ndo polisi wanaibuka na taarifa za kiintelijensia, kasoro ipo kwa nani? Bahati mbaya kwa yale yaliyotokea Arusha, polisi hawakutoa kizuio kwa maandishi bali aliibuka mtu mwingine anayazuia kwa kutumia TV(siyo maandishi) na wala hakuwa kamanda wa polisi wa eneo husika. Hivyo, Tanzania bado mambo hayajakaa sawa.

Tiini mamlaka ya sheria, siku zote huwa mnaomba ruhusa sio kutoa taarifa !
 
Hivi ili suala la kibali linatoka wapi? Hakuna sheria inayosema polisi watoe kibali watu kuandamana. Polisi wanapewa taarifa ili watoe ulinzi, full stop. Hawana mamlaka ya kuzuia maandamano. Maandamano haya lazima yafanyike!!!!

Tiba

Fanyeni maandamano na watu hapo hapo ndipo hupandishwa vyeo, kwani watakacho wafanya mtajutia kuzaliwa dunia hii, ulizia arusha watakuambia, hadi nzi walikimbia
 
Kwa sababu ccm ni watu wa kukurupuka ngoja nikusaidie,
RC maana yake ni REGIONAL COMMISIONER
RPC maana yake ni REGIONAL POLICE COMMISIONER

Na kwa kuthibitisha kwamba ninyi ni watu wakukurupuka na huwa hamsomi vitu, muangalie na mwenyekiti wako hapa anakenuwa meno tu.
View attachment 29373

Asante ndugu ila ni REGIONAL POLICE COMMANDER sio COMMISIONER
attachment.php
 
ha ha haaa ... GeniusBrain bwana. I almost believed you. Unajua ingekuwa mwaka 1977 amri kama hii ya RC or RPC ingekuwa finito. hakuna kukohoa wala nini. Lakini sasa hivi watanzania wanakusomea vifungu ndani ya katiba na sheria/mamlaka ya RPC au RC kwa mujibu wa katiba. That tells you the status ya watanzania wa leo. Hatishiwi mtu nyau.

Ww upo nyumbani kwako saa hizi unakunywa juice hapo na kufurahia na familia yako, na uhakika kama ungekuwa Mbeya ww wala usinge kwenda kwenye maandamano kama yamepigwa mafuruku, mnawatosa wenzenu wauliwe nyie mbakie kuandika tu humu JF
 
Fanyeni maandamano na watu hapo hapo ndipo hupandishwa vyeo, kwani watakacho wafanya mtajutia kuzaliwa dunia hii, ulizia arusha watakuambia, hadi nzi walikimbia

Mkuu Naungana na wewe Katika Hii Strartegy ya Kujivua Gamba maana sasa Chadema kimepata PA ya Buuuure kabisa, Leo Mbeya itakuwa ni Story za CCM kuinyima CHADEMA kibali cha Maandamano huoni kama hiyo ni Free PA
 
Mkuu Naungana na wewe Katika Hii Strartegy ya Kujivua Gamba maana sasa Chadema kimepata PA ya Buuuure kabisa, Leo Mbeya itakuwa ni Story za CCM kuinyima CHADEMA kibali cha Maandamano huoni kama hiyo ni Free PA

Unapo tekeleza utawala wa sheria hayo huwa hayajalishi ili mradi uko kwenye mstari !
 
Back
Top Bottom