There are currently 432 users browsing this thread. (149 members and 283 guests)
- JEYKEYWAUKWELI
- msikilizaji
- alberaps
- Kyemba
- MaryGeorge
- Sinkala
- emrema
- Albedo
- King Suleiman
- Galang
- Greek
- Anaruditena
- MILKYWAY GALAXY
- ZeMarcopolo
- Majanikv
- Bado Niponipo
- Mbuki Feleshi
- Mlangaja
- ukwelikitugani
- kapotolo
- MwanaCBE
- Quinine
- kokwemage
- J Mbungi
- Scientist
- Fasta fasta
- coby
- Abigaeli
- elimumali
- Chakaza
- Ndibalema
- Riwa
- Sn2139
- Emmadogo
- kagosha
- joeprince
- Msindima
- MkamaP
- Manyanza
- Pukudu
- Ntuya
- Jembe Ulaya
- Nyakageni
- daughter
- THE PRINCE
- emma 26
- The Finest
- samirnasri
- PakaJimmy
- mama kubwa
- mooduke
- D5
- Mahesabu
- S. S. Phares
- muhosni
- Kiazi Kikuu
- MkuuMtarajiwa
- Jayfour
- Edson
- Mzalendo80
- Do santos
- RedDevil
- Habariyaasubuh
- Relief
- Ugweno
- TwendeSasa
- Wambandwa
- Kakuru
- wajanga
- Leonard Akaro
- Tiba
- Offish
- Bonnie1974
- Typical
- MtwaleKaigarula
- bagumhe
- Zegreaty
- Mkombozi
- think BIG
- zaratustra
- Bushbaby
- Good Guy
- Nsololi
- Mtembea_peku
- Babaubaya
- kuthumiwa haule
- Masanja
- MFUKUNYUKU
- Binti Sayuni
- ejogo
- Hume
- Beria
- nassdadon
- kipipili
- kambiringe
- Felixonfellix
- bmn
- DOUGLAS SALLU
- Libasket b
- Lweye
- furahi
- Butola
- Mantaleka
- tweve
- kaburunye
- Lekule
- Sabasaba
- Mkwele
- Profesy
- HISIA KALI
- Lukolo
- Qsm
- Tata
- Haki.tupu
- Kamende
- MMASSY
- polisi
- Sekenke
- mbarbaig
- Mr. JayJay
- KURUNZI
- Babkey
- UKOMBOZI TZ
- Zed
- Gang Chomba
- KiparaDar
- Mr. Zero
- Mugumu
- Positive Thinker
- Lyceum
- pmwasyoke
- OBWERE
- Don Alaba
- Shapu
- Kaka deo
- mambomengi
- QUALITY
- Mtumwa wa kweli
- Msanya
- makaptula
- manyema
- vuga
- abdalah
- fauster
- Panga la Yesu
- cabhatica
Ich würde erwarten, dass alle Mitglied chadema Fan Kuwa barabarani aber fuuny genug alle ihnen sind hier hinter dem Bildschirm, gehen Sie bitte auf der Straße sehen Sie die Macht der Regierung zu sehen
Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!
Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?
Watumie Bunge la nani, Anna Mamba sijui Semamba Makinda? Wewe unaongea kama huoni kianchoendelea kwenye Bunge la hicho kikongwe.Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?
mimi leo nipo mwanza nipo hapa kwa biashara zangu,ila namimi baada ya kuwaona viongozi wetu wako ktk magari wanakula kiyoyozi wanyonge wanaungua najua nimekodi taksi nawasubiria viwanja vya furahisha,ila kwahakika watu niwengisanasana,nasubiri viongozi watatoa hotubagani,kwangu hilo ndio kubwa kulikoyote.
Maandamano ya CDM ni kupinga Bei ya umeme na kulipwa DOWANS. wewe unasema watu wanataka Barabara, Hospitali na shule Swali je tukae gizani? hujui Pesa za barabara ndo hizo zinazoenda DOWANS. Tafakari kabla ya kusema.
Hivi yule mtoto wa Ndesamburo mbona huwa ashiriki maandamano yoyote ya Chadema pamoja na kupewa Ubunge wa viti maalum? au anaamini pesa ya baba yake inamuwakilisha?
Ni kweli Bunge lina kamati mbalimbali lakini walio wengi kwenye hizo ni wa Chama gani? Wanachotetea chama "B" siyo kilicho kenye sera ya chama "A"