bila Bongo Fleva unadhani nani atahudhuria?
hiyo statement hata mi niliisikia.....hivi waandishi wa hizi speech anawachagua mwenyewe au? mbona UD kuna maprofesa....wanahusishwaga kweli kwenye kutoa mawazo kwa mheshimiwa? au labda kaandika mwenyewe?
yaani ninajiuliza maswali mengi sana.
hii gahawa ya leo safi sana, leta kashata mbili
Wote wale wachakachuaji, wewe utumie REDET UTEGEMEE NINI WAKATI HATA RESEARCH FINDINGS WANACHAKACHUA?
hayooooo yameshindwa uchaguzi nakubaki kuota oooh ccm ita anguka! Msahau kabisa na 2015 tutashinda na mtasema tumechakachua!
Ninavyo ijua CCM haiwezi fanya mambo ya kijinga kama hayo ya kuandamana! Ni upuuzi mtupu!
Kuna tetesi kuwa chama cha mapinduzi kitaitisha maandamano makubwa nchi nzima mara baada ya kikao cha halmashauri kuu baadaye mwezi huu. Maandamano hayo yataanzia Singida Mjini, halafu Dodoma, Morogoro, Tabora, Lindi, Mtwara na kuishia Temeke Dar. Lengo ni kupima kama athari za vuguvugu la CDM limefika hadi katika mikoa hii ambayo ni ngome yake ya miaka mingi. Hakutakuwa na kuwabeba watu kwenye malori isipokuwa watu watahamasishwa tu kuhudhuria. Hata wanamuziki wa bongo fleva hawataalikwa.
Source: Ofisi ya katibu mkuu CCM makao makuu.
Ninavyo ijua CCM haiwezi fanya mambo ya kijinga kama hayo ya kuandamana! Ni upuuzi mtupu!