Maandamano ya BAVICHA DSM 04/02/2015

Maandamano ya BAVICHA DSM 04/02/2015

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,026
Reaction score
20,511
Peeeeoples kutokana na Uvccm mkoa wa Dsm kupanga kufanya maandamano tar 5 ijumaa

Bavicha mkoa wa Dsm tumeadhimia kufanya maandamano siku ya tareh 4 alhamic

Maandamano yetu yataanzia viwanja vya biafra na kuishia ofisi za Tume ya uchaguzi

Lengo ni kwenda ofisi za Nec kuwashinikiza watuambie nilini zoez la uandikishaji wa wapiga kura litaanza

Pili kuhamasisha vijana wajiandae na zoez la uandikishaji litakapo tangazwa

Upatapo ujumbe huu mtarifa na mwenzio

By k
HILDA NEWTON

KATIBU WA BAVICHA
MKOA WA TEMEKE
 
Ngoja tuone kama na haya yatakua yanahatarisha usalama
 
Rorrrroooooo. BLV ME CAN SMERRMBAGARA PART. II
 
Subirini matamko ya polis, mtaambiwa inteligensia ya polis imebaini kutakuwa na vurugu,
 
Taarifa za kiitelijensia za polisi zinaonesha bado kuna tishio LA ugaidi kwa hiyo hakutakuwa maandamano
 
kwani zile silaha zilizoibiwa zimeshapatikana? kama bado basi tusubiri matamko ya polisi.
 
Peeeeoples kutokana na Uvccm mkoa wa Dsm kupanga kufanya maandamano tar 5 ijumaa

Bavicha mkoa wa Dsm tumeadhimia kufanya maandamano siku ya tareh 4 alhamic

Maandamano yetu yataanzia viwanja vya biafra na kuishia ofisi za Tume ya uchaguzi

Lengo ni kwenda ofisi za Nec kuwashinikiza watuambie nilini zoez la uandikishaji wa wapiga kura litaanza

Pili kuhamasisha vijana wajiandae na zoez la uandikishaji litakapo tangazwa

Upatapo ujumbe huu mtarifa na mwenzio

By k
HILDA NEWTON

KATIBU WA BAVICHA
MKOA WA TEMEKE

Yatapigwa zengwe na chama chawala
 
Yatapigwa zengwe na chama chawala

Hawawezi serikali inataka sifa kutoka serikali ya ujeremani, raisi wa ujeremani yupo nchini serikali na polisi wake watakuwa wastaarabu. Akiondoka ndo wataanza unyama na ufedhuli wao
 
Good timing.
Kama cdm upinzani hawataruhusiwa alhamis,vivyo hivyo na maccm
 
Hivi yericko ni kijana au mzee nakumbuka wewe na ben saanane mlinyimwa nafasi bavicha kutokana na umri wenu kuvuka umri wa ujana nashangaa unakaa unajiita bavicha jiunge tu na baraza la wazee.
 
Back
Top Bottom