Maandamano ya BAVICHA DSM 04/02/2015

Maandamano ya BAVICHA DSM 04/02/2015

Peeeeoples kutokana na Uvccm mkoa wa Dsm kupanga kufanya maandamano tar 5 ijumaa

Bavicha mkoa wa Dsm tumeadhimia kufanya maandamano siku ya tareh 4 alhamic

Maandamano yetu yataanzia viwanja vya biafra na kuishia ofisi za Tume ya uchaguzi

Lengo ni kwenda ofisi za Nec kuwashinikiza watuambie nilini zoez la uandikishaji wa wapiga kura litaanza

Pili kuhamasisha vijana wajiandae na zoez la uandikishaji litakapo tangazwa

Upatapo ujumbe huu mtarifa na mwenzio

By k
HILDA NEWTON

KATIBU WA BAVICHA
MKOA WA TEMEKE
Kaka, humo kwenye red kama umekosea vile! Naona siku na tarehe hviendani, au m ndo naishi sayari nyingne?
 
Back
Top Bottom