nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
haa haa marufuku ya maandamano ni kwa wapinzani tu, kwa ccm ni mwendo mdundo!Hasa kwa upande wa bavicha maana ccm huwaga ni malaika
haa haa marufuku ya maandamano ni kwa wapinzani tu, kwa ccm ni mwendo mdundo!Hasa kwa upande wa bavicha maana ccm huwaga ni malaika
Chama cha maandamano
thubutu, ccm ni chama twawala, ndo chenye hao polis, kwa hiyo wao mwendo ni mbele kwa mbele hawahusiki na hizo amri kamwe.Good timing.
Kama cdm upinzani hawataruhusiwa alhamis,vivyo hivyo na maccm
pia wasisahau maji, maana polis ccm watarusha yale mabomu yao.Bebeni kabisa na tindikali zenu msiache.
Polisi kwa sasa walishaelezwa bayana kuwa hakuna haja ya mabomu tena ni kuwatwanga risasi za modo ili wahuni wapungue mabomu ya machozi hayasaidii sana kilichomkuta kambaya kinaweza kuwakuta wao pia.pia wasisahau maji, maana polis ccm watarusha yale mabomu yao.
Taarifa za kiitelijensia za polisi zinaonesha bado kuna tishio LA ugaidi kwa hiyo hakutakuwa maandamano
Acha kupotosha watu wewe polisi inalinda watu wote ndiyo maana hata mzee slaa alipodundwa kule kigoma walimuokoa wao bila polisi tungekuwa tumemsahau.thubutu, ccm ni chama twawala, ndo chenye hao polis, kwa hiyo wao mwendo ni mbele kwa mbele hawahusiki na hizo amri kamwe.
thubutu, ccm ni chama twawala, ndo chenye hao polis, kwa hiyo wao mwendo ni mbele kwa mbele hawahusiki na hizo amri kamwe.
Bebeni kabisa na tindikali zenu msiache.
Chama cha maandamano
Kama maandamano ya jumapili mkoani songea?
Hivi yericko ni kijana au mzee nakumbuka wewe na ben saanane mlinyimwa nafasi bavicha kutokana na umri wenu kuvuka umri wa ujana nashangaa unakaa unajiita bavicha jiunge tu na baraza la wazee.
unachangia topic gani wewe mbuziHivi yericko ni kijana au mzee nakumbuka wewe na ben saanane mlinyimwa nafasi bavicha kutokana na umri wenu kuvuka umri wa ujana nashangaa unakaa unajiita bavicha jiunge tu na baraza la wazee.
Good timing.
Kama cdm upinzani hawataruhusiwa alhamis,vivyo hivyo na maccm
Mimi nikijana bwana usinitose mama