Maandamano ya Amani Nchi Nzima

Jaman am ready to die. Nan watakuwa behind me. Plse wanaJF,isiwe kuwa natangulia then watanzania wabaki na shida.
 
'maelezo yako yamejaa uchochezi mwanzo hadi mwisho, nikwasababu sisis ni wavumilivu najua masikio ya watanzania yatapima'- Lukuvi
 
Je wewe ni mtanzania au sio, kama ni mtanzani umefikiwa na shida 2nazopata wenzio au umerizika nazo?
 
Je wewe ni mtanzania au sio, kama ni mtanzani umefikiwa na shida 2nazopata wenzio au umerizika nazo?
Achana na Nkomelo, hao ni wale wanaoneemeka na mafisadi huku sie wajomba na mashemeji zao tukitaabika
 
NIA TUNAYO , SABABU TUNAYO , UWEZO TUNAYO ............. kwanini tusifanye
 
Si woga ila kwa sheria zetu hizi na utawala huu mwanzilisha wa jambo hili hatakuwa salama yatamkuta makubwa - anaweza kupotezwa hata kabla ya tarehe ya maandamano kuijafika.

... Ndio maana ya vyama vya upinzani kuwepo. Hii ni fursa kabisa ya kuanzisha maandamano ya amani nchi nzima. Sababu za msingi zipo na katiba inaruhusu..
 
KIBALI kitaruhusu yaanzie ubungo mataa yaishie manzese kama yale ya binamu yao magamba.
 
I'll be with you,you are the strongest man.
Jaman am ready to die. Nan watakuwa behind me. Plse wanaJF,isiwe kuwa natangulia then watanzania wabaki na shida.
<br />
<br />
 
Spencer,
kama sikosei mada yako hii ndio ilikuwa imeibua mpango mzima wa maandamano ya Chadema kitaifa yakianza na kule kanda ya Ziwa ambako kusema kweli kuliwashtua viongozi wengi wa CCM na washabiki wake..leo hii imebakia hadithi na kutokana na ufinyu wa memory card vichwani mwa wadanganyika hayo hayo yamepita na kusahaulika..

Leo hii napokusoma tena hapa na kutazama matokeo ya maandamano yale kiasi kwamba yalibadilishwa na kuwa Uasi ndipo nilipokoma na Watanzania. Yaani wakikusoma hapo juu hakuna wanalolipinga hata moja lakini inapofikia kufanya maamuzi magumu kila mmoja mwoga na wengine hukugeuka palepale - Kwa lugha nyepesi kabisa sisi watanzania ni WANAFIKI kihulka na sii rahisi kuwategemea kwa lolote..

India majuzi tu katokea Mtu anaitwa Anna Hazare ameanzisha kampeni za kukaa njaa (Hungerstrike) kupinga RUSHWA linaloendelea nchini mwake kama za babu yao marehemu Ghandi wakati akipigania Uhuru..Na kimila wahindi kushinda njaa wakati chakula kipo ni laana kubwa kwa taifa... Huyu kwa kufanya hivyo tu amepata support kubwa sana kiasi kwamba leo hii sii swala la Anna hazare tena ila la kitaifa..

Ukija kwetu kila Mdanganyika anataka Dr.Slaa au Chadema ndio waanzishe maandamano ktk swala la kitaifa ambalo halina siasa za Chadema wala CCM. Nchi yetu imeporwa na majambazi ambao hawajali tena mustakabali wa nchi yetu lakini kwa maajabu ya Midanganyika hilo ni swala la Upinzani...Kwa mtaji huu nina hakika CCM waitatawala milele na hawana sababu ya kuogopa kuendelea kuliweka taifa ktk umaskini..

Pamoja na yote hayo nakupa pongezi za dhati kwa kufikiria japo dogo ambalo kulingana na MIJITU yenyewe ndio hivyo tena imeshindikana!
 
  • Kuhamishwa kwa wanyama hai KIA
  • Vigogo kuhodhi ardhi wakati wananchi hawana pa kuishi
 
Kwanza kabisa moyoni mwangu nilishukuru sana itikio la CDM, hakika Kanda ya ziwa si ya kuchezea kizembe zembe tena,

kama ulikuwa makini jana, tulisubiri neno moja tuu na Mh. wenje iwapo kama wwangemkalisha chini na wasirudishe umeme, ungeona.

Nakuhakikishia ya kwamba kila aliyesikia kauli hii na kushuhudia maandamano ya CDM si tena mtu wa kumymbisha ovyo ovyo, tuna endelea na mikakati mikubwa ya kukieneza chama hasa vijijini ambako mlio wengi hamtaamin baaadae.
Nchi hii nio yetu wote ya nini sisi tuwe mtaji wa wengine?
 
Tunaanza lini maandamano? Yamechelewa kwa miaka minne!! Then naona bado porojo tu...
 
Nani aanzishe?!!! Kikwete ana msemo unaokwenda kwa jina la ''It is possible, Take your part!''

Weeeeh!! huu msemo kama sikosei ni wa Hayati Nyerere. Yeye alidesa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…