Maandamano ya Amani Nchi Nzima

Maandamano ya Amani Nchi Nzima

Hii safi wakuu problem ni nani atalianzisha ili watu wajitokeze kuandamana kwa amani ila lazima tupite tukilia kwa uchungu lakini bila kuwa na silaha mkononi.
 
Mkuu,

You might be the only one among wananchi to believe that CCM won!

If you say they forced their way, then we will be speaking the same language.

Any way, jifurahishe lakini hatudanganyiki.

2015 isn't far, my bro:bump:
 
Trust me ifikapo 2015, watu wenyewe watatafuta CDM iko wapi? ngoja garama ya maisha na mbinyo utakavyo kuwa mkali kuanzia Jan 2011, utaona reaction ya wananchi, nauli zitapanda, bidhaa, this is bcoz ya umeme kupanda, na mafisadi tayari wanataka kulipwa 185 bil, wananchi wenyewe watapambana using their empty hands ndio utajua aaaaaahhhh sasa kheri wote wakose au haki ipatikane, juzi tu hapa Nyalandu eti easily kasema Liganga / mchuchuma contract investor kapatikana kwa deal la Tshs 10 trillion, ukiuliza mkataba uko wapi? nani kaupitia? kiwango kipo wazi kiasi gani hamana majibu, simply waziri anasema theorically eti 50% share each, mtaona subirini maajabu
 
Are u kidding me???
Just a few weeks ago the wananchi voted for JK and CCM to lead this country till 2015. So are u saying that they would be in a position to change their mind this time around? What makes u think so?
The voice of wananchi must be respected till 2015:bump:

Patel ww koma, peleka upuuzi huko kwa wahindi, Fisadi associate, ww kwani raia? ukiwa close to me nitakulamba vibao urudi India, stop kuleta
arrogance hapa, nani kakaupa uhuru wa kutoa mawazo hapa wakati uhusiki? aaaaaaaggrrrrrrrrrrrrr ww, stop this kiddish, babish, childish behaviour pretending u r a Tanzanian, stop quickly
 
BNatoa wito kwa viongozi wa taifa wa CHADEMA kama mko serious na kama mnatambua kuwa CCM hawana nia njema na mnatupenda sisi wananchi wenu: muitishe maaandamano ya amani nchi nzima ya
  • Kulaani uchakachuwaji wa kura zetu wakati wa uchaguzi mkuu
  • kulaani mauwaji ya raia wema wa Arusha yaliyofanywa na polisi
  • kuunga mkono wananchi wa Arusha ktik harakati za kudai haki yao kwenye uchaguzi wa meya.
  • kuwashukuru wanananchi kwa kufanya uamuzi sahihi na kudumisha amani wakati wa uchaguzi.
  • kuimarisha mshikamano
 
Sheria zipo nyingi kuhakikisha TANZANIA inatawalika. Mungu Ibariki Tanzania:
PENAL CODE [KANUNI YA ADHABU]
55.-(1) A seditious intention is an intention to–
(a) bring into hatred or contempt or to excite disaffection against the lawful authority of the United Republic or its Government;
(b) excite any of the inhabitants of the United Republic to attempt to procure the alteration, otherwise than by lawful means, of any other matter in the United Republic as by law established;

Raising discontent and ill-will for unlawful purposes
63B.-(1) Any person who, to any assembly, makes any statement likely to raise discontent amongst any of the inhabitants of the United Republic or to promote feelings of ill-will between different classes or communities of persons of the United Republic, commits an offence……

Definition of unlawful assembly and riot
74.-(1) When three or more persons assemble with intent to commit an offence or, being assembled with intent to carry out some common purpose, conduct themselves in such a manner as to cause persons in the neighborhood reasonably to fear that the persons so assembled will commit a breach of the peace or will, by that assembly needlessly and without any reasonable occasion, provoke other persons to commit a breach of the peace, they are an unlawful assembly.

(2) It is immaterial that the original assembling was lawful if, being assembled, they conduct themselves with a common purpose in the manner referred to in subsection (1).
(3) When an unlawful assembly has begun to execute the purpose for which it assembled by a breach of the peace and to the terror of the public , the assembly is called a riot, and the persons assembled are said to be riotously assembled…….

75. Any person who takes part in an unlawful assembly commits an offence and is liable to imprisonment for one year.

Teroburu.
 
hizo ndizo sheria zinazopaswa kuangaliwa na katiba mpya! Hapo kwa namna yoyote ile huchomoki wakiamua kukung'ang'ania
 
Mimi naunga mkono kwa kilichofanywa na chadema hii inanikumbusha nilipokuwa chuoni, kwanini serikali haitendi mambo hadi ipate msukumo wa mgomo ,maandamano na vurugu nyingi?hii inanifanye niamini njia sahihi ya kudai haki ni kuandamana au kugoma!

Je hii ndio style ya kutawala na kuongoza nchi au ndo limeshakuwa donda ndugu ?
 
Bado haijafika mpaka watu waelewe katiba yao yenye mapungufu.
 
CDM leaders haraka itisheni maandamano upya, Dowans wanalipwa despite illegality
behind, wametoa list fake ya wamiliki, na ajabu watalipwa haraka, huku tunjiuliza hivi
hizi hela zinatoka wapi? wafanyakazi wote, walimu, madaktari, polisi, wanajeshi, etc
wakidai kuongezewa mishahara hamna hela, hospitalini dawa shida, mashuleni usiseme hadi varsities, mikopo taabu tupu, ILA HILI LA KULIPA DOWANS MABILIONI NI FASTER TENA FEDHA ZIPO, meanwhile wamepandisha garama za umeme na mishahara ipo pale pale, TUCTA mpo wapi?, ITISHENI UPYA MAANDAMANO HARAKA, haya ya Arusha, lazima Serikali iwajibike, huu ni unyonyaji
wananchi wanajua wote, HATURUDI NYUMA, na 2015 najua tutashinda wawajibishwe hawa
 
Kabla ya maandamano napendekeza kutengenezwe kajarida kanakotoa mutahsari wa madudu yote hayo na kasambazwe nchi nzima hasa huko vijijini

NAUNGA MKONO HOJA.

TUANDAMANE JAMANI, KWANZA HUYU MWANACHAMA WA FRMASNS HANA UCHUNGU NA NCHI. LAZIMA TUANDAMANE HADI KIELEWEKE. HAJAPIGIWA KURA ZA KUTOSHA KUWA RAHISI, ALICHAKACHUA KURA ZETU WATANZANIA. AMEIBA KURA ILI YEYE NA GENGE LA MAFISADI WAENDELEE KUTUIBIA.

NIMEFURAHISHWA SANA NA VIONGOZI WA CHADEMA KUWA MSTARI WA MBELE KUANDAMANA PAMOJA NA WAFUASI. VIVA CHADEMA, VIVA MBOWE, SLAA- ALUTA CONTINUE

HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE
 
Kwanini wanataka kuilipa dowans hewa wakati waalimu 16, 000 wamemaliza mafunzo na hawajaajiriwa? Eti hakuna hela za kuajiri walimu wapya ila za kulipa dowans zipo. How comes?

Wastaafu wa eac kwa nini wasilipwe?

Crazy !!
 
Sheria zipo nyingi kuhakikisha TANZANIA inatawalika. Mungu Ibariki Tanzania:
PENAL CODE [KANUNI YA ADHABU]
55.-(1) A seditious intention is an intention to–
(a) bring into hatred or contempt or to excite disaffection against the lawful authority of the United Republic or its Government;
(b) excite any of the inhabitants of the United Republic to attempt to procure the alteration, otherwise than by lawful means, of any other matter in the United Republic as by law established;

Raising discontent and ill-will for unlawful purposes
63B.-(1) Any person who, to any assembly, makes any statement likely to raise discontent amongst any of the inhabitants of the United Republic or to promote feelings of ill-will between different classes or communities of persons of the United Republic, commits an offence……

Definition of unlawful assembly and riot
74.-(1) When three or more persons assemble with intent to commit an offence or, being assembled with intent to carry out some common purpose, conduct themselves in such a manner as to cause persons in the neighborhood reasonably to fear that the persons so assembled will commit a breach of the peace or will, by that assembly needlessly and without any reasonable occasion, provoke other persons to commit a breach of the peace, they are an unlawful assembly.

(2) It is immaterial that the original assembling was lawful if, being assembled, they conduct themselves with a common purpose in the manner referred to in subsection (1).
(3) When an unlawful assembly has begun to execute the purpose for which it assembled by a breach of the peace and to the terror of the public , the assembly is called a riot, and the persons assembled are said to be riotously assembled…….

75. Any person who takes part in an unlawful assembly commits an offence and is liable to imprisonment for one year.

Teroburu.

I suggest you go and watch GANDHI(1982) Movie.You can know what people's power can do to fight injustice.People have the right to demonstrate and show their political grievances.The government can do nothing to stop that.Those laws above will be effective on a group of 1,2,3 people but not millions of CHADEMA supporters when they loose patience and take it to the street...so eat your book of a RHYMES sir(sorry laws ) but this problem isn't nowhere to be solved by those rhymes above.You can't stop the movement you can only ignite it if you do....

ALUTA CONTINUA..
 
Sipati picha tukiandamani nchi nzima,Arusha tu askari hawakutosha mpaka wakaazima na ambao hawajafuzu mafunzo.Peoples power
 
Ambaye hataki kuandamana leo siku akiamka atakuta mafisadi wameshamaliza kazi. Bora tuwahi kabla nchi haijafia ICU....
 
Wafukuzeni wafanyakazi wote wa serikali maana ndio source ya madudu yote hayo,

Tuanze upya kuajiri
 
Back
Top Bottom