Kweli kabisa mkuuBado haijafika mpaka watu waelewe katiba yao yenye mapungufu.
Chadema mafala hawana lolote wamesababisha kupoteaa maisha ya watu! Siasa za kihuni hizo!Saa ya ukombozi?
Embu tuendeleeeni maneno ya kilokole kwa jambo la nchi?
Ukombozi kwa yesu ok?
GrEaTthinkers,
Think kiasi gani tumepoteza kama taifa,
Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi!
- TICTS
- RADAR
- NDEGE YA RAIS
- SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE
- TWIN TOWERS BOT
- MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini)
- KAGODA(EPA)
- MEREMETA
- RICHMOND/DOWANS
- WAKUU WA MIKOA na WILAYA(Hao ni Watumishi wa CCM)
- IPTL
- KIWIRA COAL MINES
- NETGROUP SOLUTIONS
- MISAMAHA YA KODI(Nchi inakosa mapato)
- ALEX STEWART
- BEI YA BIDHAA ie. UMEME (watanzania ndiyo wanaofidia misamaha ya kodi)
- RITES
- ALLIANCE AIR
- KUJENGA BARABARA KUPITIA MBUGA YA SERENGETI(Matumizi mabaya ya kodi zetu)
- LOLIONDO
- BARABARA YA KILWA NA MANDELA KAZI KURUDIWA(Matumizi mabaya ya kodi zetu
Nasema hawa si wa kuchekea wanaiumiza Nchi,
Kwa Asili ni sisi ni matajiri, tunafilisiwa na wapuuuzi
Haiwezekani madudu yote hayo, hakuna hata mwenye hatia ukitoa Liyumba.
Ukinunua soda ya 500Tsh umetoa 90Tsh. kama kodi.
Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.:target:
Nakuakikishia KIKWETE atatawala kwa taabu sana awamu hii ya miaka mitano! Maana hari si hari tena! Mambo yanaanza hivi; Msukumo kutoka kwa wafanyakazi wa serikali bado ni ngoma nzito, kwani wengi wamejenga chuki kubwa kwa serikali tangu jamaa alivyoasema hana shida na kura za wafanyakazi.
Nina imani ata mei mosi ya 2011 hawatamualika! Msukomo wa pili ni wanafunzi wa vyuo vikuu waliopevuka ambao kwa sasa serikali wanaiona kama sokomoko! Hasira za wananchi wengi juu ya maumivu yatokanayo na ugumu wa maisha unaosababishwa na Wezi wa rasilimali za nchi wakishirikiana na wakubwa Serikalini! vyama vya kiraia.
Na changamoto ya Bunge lenye watu wachache makini! HIVYO MAANDAMANO YAPO! WEWE SUBIRI TU UTAJIUNGA YATAKAPOTOKEA! MAANA WATANZANIA WENYE UFAHAMU HAWATAKI KUFANYWA WAPUMBAVU TENA!
kabla ya maandamano napendekeza kutengenezwe kajarida kanakotoa mutahsari wa madudu yote hayo na kasambazwe nchi nzima hasa huko vijijini