Maandamano ya Amani Nchi Nzima

Maandamano ya Amani Nchi Nzima

1. Shomari, nani kakudanganya huo msemo kwenye nyekundu ni wa Kikwete??

2. Swali lako....."nani aanzishe" = very simple, tuanze kujiorodhesha hapa hapa:
- M-mbabe
- Spencer
- Iwanga
- Ezan
- Stein
- Byendangwero
- King of Kings
- Bruce Lee
- Wewe mwenyewe (Shomari)
- El Nino (huyu tutambeba juu juu kibabe maana anataka kuleta logic nyingi)

gsana ujamtaja,hatokosa kuandamana na bango kubwa,"WACHUUZI WAGENI WARUDI MAKWAO!" watz wapange NHC kama upanga ,k.koo,fire na masaki. Aluta continua!
 
Hivi ule mgomo wafanyakazi na Mgaya wao uliishia wapi???????????????????????????
 
Tatizo walio wengi ni wafanyakazri na ndo kundi walao lenye uelewa, lakini hao hao utasikia kila mtu anatetea kitumbua chake na si nchi kwa ujumla. Kugoma tu wakitishiwa nyau wanafyata, na ni kwa maslai yao. Wasiwasi wangu ni je wanaweza unga mkono harakati hizi?
 
Mkuu Nonda
umeelezea mengi muhimu..
Labda nikuulize swali:
unavyosema vyama vya upinzani vibebe hili jukumu unamaanisha nini hasa?
I mean, unazungumzia vyama vipi hasa?

Mkuu kama umenisoma na kunifahamu basi nimesema vyama vya upinzani kwa umoja wao kama vitapata utashi na ujasiri basi hili la maandamano/matembezi ya amani kwa nchi nzima wanaweza kulifanikisha.
Sioni mwengine katika upeo wa macho yangu. Hasa kama msisitizo ni Maandamano ya Amani,tena nchi nzima.
Kukujibu suali lako kwangu mimi vyama vyote vya siasa vilivyo na usajili wa wa kudumu,isipokuwa CCM basi naviita vyama vya upinzani.

Hata kama utarudi na kunimbia CUF wamo ndani ya ndoa. Still kwangu mimi ni Chama cha upinzani.
Vyama hivi kama vitashirikiana katika kuwakilisha manung’uniko ya wananchi,vilio vya walalahoi , kama vitashirikisha asasi,jumuia,vyama vyenginevyo itakuwa vizuri zaidi.Wao wana advantage ya kuwa mitandao, miundo mbinu tayari ya kuwafikia wananchi wengi kila kipembe cha Tanzania.

PS. Vilio, manung’uniko ya wananchi havichagui mwenye chama au asiye na chama. Na wananchi wengi wako tayari kuchukua hatua kufikisha at least ujumbe kwa Serikali lakini hawajui pa kuanzaia. Vilio hivi vinawaunganisha wananchi wote,popote walipo.
 
Mkuu kama umenisoma na kunifahamu basi nimesema vyama vya upinzani kwa umoja wao kama vitapata utashi na ujasiri basi hili la maandamano/matembezi ya amani kwa nchi nzima wanaweza kulifanikisha.
Sioni mwengine katika upeo wa macho yangu. Hasa kama msisitizo ni Maandamano ya Amani,tena nchi nzima.
Kukujibu suali lako kwangu mimi vyama vyote vya siasa vilivyo na usajili wa wa kudumu,isipokuwa CCM basi naviita vyama vya upinzani.

Hata kama utarudi na kunimbia CUF wamo ndani ya ndoa. Still kwangu mimi ni Chama cha upinzani.
Vyama hivi kama vitashirikiana katika kuwakilisha manung'uniko ya wananchi,vilio vya walalahoi , kama vitashirikisha asasi,jumuia,vyama vyenginevyo itakuwa vizuri zaidi.Wao wana advantage ya kuwa mitandao, miundo mbinu tayari ya kuwafikia wananchi wengi kila kipembe cha Tanzania.

PS. Vilio, manung'uniko ya wananchi havichagui mwenye chama au asiye na chama. Na wananchi wengi wako tayari kuchukua hatua kufikisha at least ujumbe kwa Serikali lakini hawajui pa kuanzaia. Vilio hivi vinawaunganisha wananchi wote,popote walipo.

Are u kidding me???
Just a few weeks ago the wananchi voted for JK and CCM to lead this country till 2015. So are u saying that they would be in a position to change their mind this time around? What makes u think so?
The voice of wananchi must be respected till 2015:bump:
 
Nafikiri hamjawafahamu wadanganyika, wadanganyika wanahitaji kuelimisha polepole wakisindikizwa na dozi ya matatizo na manyanyaso ambayo yatawasaidia kama kumbukumbu ya yale wanayoelimishwa, wadanganyika wenye uelewa wa kufanya maamuzi ya maandamano ni wale wenye taarifa zaidi ya kusoma magazeti kwa wingi wakiwa wana "JF" kutokana na kusoma taarifa mbalimbali, kukosoana na kuelimishana. wananchi walioko huko nje wanadanganywa sana na hawajui wafanye nini, CDM iendelee na mpango wa kuwaelimisha wadanganyika wenzetu, labda 2012 tunaweza kufanikisha maandamano ya nchi nzima.
 
Mawazo hayo ni mazuri wana JF Lakini njia pekee ni kupitia sms. Sasa hivi simu zimetapakaa hadi vijijini, tukiamua tunaweza kuishake tena sana tu serikali ya kipuuzi iliyojaa ubabe na ukandamizaji.
 
Nasema hawa si wa kuchekea wanaiumiza Nchi,

Kwa Asili ni sisi ni matajiri, tunafilisiwa na wapuuuzi

Haiwezekani madudu yote hayo, hakuna hata mwenye hatia ukitoa Liyumba.

Ukinunua soda ya 500Tsh umetoa 90Tsh. kama kodi.

Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.:target:

Wazo jema lakini ni akina nani waliratibu wazo hili?
 
Are u kidding me???
Just a few weeks ago the wananchi voted for JK and CCM to lead this country till 2015. So are u saying that they would be in a position to change their mind this time around? What makes u think so?
The voice of wananchi must be respected till 2015:bump:

Mkuu,

You might be the only one among wananchi to believe that CCM won!

If you say they forced their way, then we will be speaking the same language.

Any way, jifurahishe lakini hatudanganyiki.
 
mkuu Nonda na wengine woote napenda kusisitiza kuwa, linalowezekana leo lisingoje kesho,tabia ya kua na subira bila malengo ndio imetufikisha hapa tulipo.2012 ni mbali sana na hakuna mwenye uhakika wa kufika akiwa hai. Naomba wote wenye mtazamo unaofanana tuanze sasa maandalizi ya maandamano hayo. Mimi binafsi nipo tayari ku sucrify 14 working days na kuja nyumbani kuinusuru nchi na wanamapinduzi wenzangu kwa garama yoyote ile.nashauri tutumiane PM ili kuepusha wavurugaji wa mpango huu, wengi humu ni wapambe wa jk na kundi lake. Asanteni sana naweka maslahi ya taifa langu mbele.
 
1. Shomari, nani kakudanganya huo msemo kwenye nyekundu ni wa Kikwete??

2. Swali lako....."nani aanzishe" = very simple, tuanze kujiorodhesha hapa hapa:
- M-mbabe
- Spencer
- Iwanga
- Ezan
- Stein
- Byendangwero
- King of Kings
- Bruce Lee
- Wewe mwenyewe (Shomari)
- El Nino (huyu tutambeba juu juu kibabe maana anataka kuleta logic nyingi)

Mzito
 
Anaye uliza nani wa kuanzisha kwanini tusiwe mimi na wewe tunategemea nani aje kuanzisha anzisha kuanzia nyumbani kwako mtaani, kazini , na kuendelea? Tusiulizane nani wa kuanzisha.Wenye mapenzi mema na Nchi yao hakika hawezi kukubali hali hii! kila kona shida.

matatizo haya ndio mwanzo wa mapambano kwa wenye kupenda nchi yao
TICTS
RADAR
NDEGE YA RAIS
SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE
TWIN TOWERS BOT
MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini)
KAGODA(EPA)
MEREMETA
RICHMOND/DOWANS
WAKUU WA MIKOA na WILAYA(Hao ni Watumishi wa CCM)
IPTL
KIWIRA COAL MINES
NETGROUP SOLUTIONS
MISAMAHA YA KODI(Nchi inakosa mapato)
ALEX STEWART
BEI YA BIDHAA ie. UMEME (watanzania ndiyo wanaofidia misamaha ya kodi)
RITES
ALLIANCE AIR
KUJENGA BARABARA KUPITIA MBUGA YA SERENGETI(Matumizi mabaya ya kodi zetu)
LOLIONDO
BARABARA YA KILWA NA MANDELA KAZI KURUDIWA(Matumizi mabaya ya kodi zetu
 
Nani ataratibu!!? yeyote mwenye mapenzi na nchi yake, Watanzania wa sasa sio waoga kama zamani, hivyo kama nilivyogusia hapo awali hili si jambo la kukurupuka tu, linahitaji muda na mpangilio, pia tunapaswa kujua nini fist priority, kwa upande wangu first priority ni kujuana kwanza nani ni nani, pili ni mawasiliano, sababu ndio nguzo inayobeba utekelezaji wa yote haya, katika serikali ya Kikwete na humu Jf kuna wataaluma wengi tu wanaoweza kutoa mchango wao katika hili bali wamekalia ****** elimu waliyonayo, baadhi ya wataaluma waliopo humu ni kutoka TTCL ( wapo wengi tu ) Vodacom na makampuni mengi ya simu, pia kuna taasisi nyingine ambazo zinaweza kushirikishwa kama Kituo cha haki za binadamu n.k mimi nadhani kama kuna kitu cha muhimu kinachoongelewa sioni tatizo lolote.

P.S: Humu Jf kuna watu wengine sijui tuseme hawana cha kuchangia, sababu utakuta mtu anaongea nje ya mada kabisa! anyway ni uhuru wa kutoa maoni lakini jamani tuangalieni kipi ni cha muhimu kwanza, mfano wakati mwingine kunaweza kuwa na mada ya muhimu tu lakini matokeo yake mada hiyo huishia kwenye majibizano na kupigana majungu! UMOJA NI NGUVU!
 
Mi nadhani kwanza tungeanza na kukutana kila Mkoa wa Tanganyika kwenye uwanja wa mpira, mfano Uwanja wa Taifa siku fulani (siku maalum mfano Jumatano ijayo tu) kujadili katiba, uchaguzi na mengineyo kisha tuone muitikio ukoje ndo tuje na ajenda ya kufanya maandamano nchi nzima.
 
Kimokole we umeongea, kunaweza kuandaliwa Mechi ( sio lazima timu kubwa ) wala sio pakomee uwanja wa taifa na ccm kirumba tu, bali hata viwanja vya mchangani , tena ndio vya muhimu zaidi sababu asilimia kubwa ya waathirika wa ufisadi ndio wapo huko kwenye viwanja vya mchangani.
 
Hii ni point, inaweza kuwa viwanja vya kawaida ila vikubwa kujaza watu wa kutosha. Muhimu ni kuteua Mratibu wa hiyo shughuli kwa nchi nzima au tupate kila mkoa wa Tanganyika atakayesimamia hiyo shughuli na vifaa vya kutangaza hapo uwanjani
 
mimi naweza kujitolea vifaa na kufanya kwenye uwanja wa Mtakuja huku Kunduchi muhimu ni kushughulikia kibali cha siku hiyo
 
1. Shomari, nani kakudanganya huo msemo kwenye nyekundu ni wa Kikwete??

2. Swali lako....."nani aanzishe" = very simple, tuanze kujiorodhesha hapa hapa:
- M-mbabe
- Spencer
- Iwanga
- Ezan
- Stein
- Byendangwero
- King of Kings
- Bruce Lee
- Wewe mwenyewe (Shomari)
- El Nino (huyu tutambeba juu juu kibabe maana anataka kuleta logic nyingi)
Jumlisha mwana ukweli pamoja sana.
Me iam tied!!! Kama nyie ni wachunguzi wazuri wa kodi kwa mfanyakazi anayeishi dar na mwenye gari ukijumlisha kodi anayolipa kwenye petrol na P.A.Y.E bila kuweka matumizi ya nyumbani ni zaidi ya laki 5 kila mwezi.
Sasa kwa nini tukubali kodi zetu zichezewe??.
Vyama vya upinzani na wanazuoni wasomi waongoze haya maandamano mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom