Maandamano siku ya Christmass ni ujinga,siungi mkono

Maandamano siku ya Christmass ni ujinga,siungi mkono

Hao GEN Z walishajipatia heshima Sana hadi wakapewa SIFA

Sasa Kama kawaida ya MTU mweusi huwa hatazami mambo kwa upana.

Wakataka tena 09 December watu wakawakataa vibaya Sana .

Sasa hii ya 25 December ndo utakuwa msumari wao wa mwisho katika Jeneza.

Kwakuwa wakristu waliokuwa wanawasapoti watawachukia vibaya Sana siku hiyo kuwaletea tension katika siku yao ya ibada

Wajinga Kama hawa walikula hela za mabeberu kwahiyo lazima waahangaike Sana tofauti na hapo watabidi wa refund pesa zao
Huna akili, period
 
Kama huamini ngoja nirekodi hiyo tarehe 25.
Hauna lolote wewe...ukapishane na AK 47.?..unaumwa mavi wewe...😂😂 Hizo mbanga zenu ziishie kwenye keyboard humu...waulize waliopishana nazo wako wapi saivi...wengine hata hawajulikani walipo...badala ya kuhangaika juani na kupishana risasi Bora upige punyeto ndani kwako. ..
 
Hao GEN Z walishajipatia heshima Sana hadi wakapewa SIFA

Sasa Kama kawaida ya MTU mweusi huwa hatazami mambo kwa upana.

Wakataka tena 09 December watu wakawakataa vibaya Sana .

Sasa hii ya 25 December ndo utakuwa msumari wao wa mwisho katika Jeneza.

Kwakuwa wakristu waliokuwa wanawasapoti watawachukia vibaya Sana siku hiyo kuwaletea tension katika siku yao ya ibada

Wajinga Kama hawa walikula hela za mabeberu kwahiyo lazima waahangaike Sana tofauti na hapo watabidi wa refund pesa zao
Lengo ni kwamba wote nchi nzima hatutasherehekea tutakuwa ndani kama kawaida hii kitu naipenda sana.
Uwe chawa uwe uvccm uwe huna chama ukitoka tu unakutana nacho.

Tuende hivihivi kwa miaka5 hivi
 
Hiyo starehe ya kusherehekea sikukuu inatoka wapi mdogo wako,kaka yako,dada yako,mjomba,baba au mama mdogo wako haonekani tangu October 29 na pengine mlipeleka maiti yake mochwari lakni hadi leo haonekani.

Furaha hiyo unatoa wapi? Sikia watz ubinafisi tulio nao ndo umetufikisha hapa kwa vile tu wewe unanufaika kwa namna moja ama nyingine basi huna habari kabisa na haya yanafanywa na serikali hii.

Vile wewe hukuwa mhanga wa kupiteza ndg yako wa damu hata huwazi huna uchungu wala nini unaona wanao Dai haki zako wanavuruga amani.

October 29 ni hapa hapa mlisema kwanini muandamane siku ya uchaguzi mmekoswa siku za kuandamana?

Ilo hivi watakao andamana waachwe waandamane ninyi kaeni ndani maana haya hayawahusu siku likiwapta na kuwapata ndo mtakumbuka.

Huna maji ndani mwako hiyo Xmass utasherehekeaje.

Ujinga ni mwingi sana nchi hii
 
Kimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo.

Ama sikukuu yoyote ile ya kidini.

Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji.

Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
Jan12
 
Back
Top Bottom