Maandamano Rorya!

Maandamano Rorya!

Nilikua nashangaa sana, Tarime mbona kimya kulikoni?! Mashujaa wangu wa Mara nao magamba?! Haya sasa mura, linukisheni muelekee kaskazini mpaka Arusha. Kitaeleweka tu!
 
rejao hivi una matatizo gani?mbona unahitaj msaada mkubwa!!!!ikishindikana i will take u to david Senegal!!!!!!!!!!
Ninachofanya ni kuwaweka wanajamii sawa! wajifunze kuondoa mentality za kuona kila siku wanaonewa,
Kila mtu afanye kazi kwa bidii. Vurugu na maandamaano yanayohamasishwa na wapinzani uchwara haviwezi kuipeleka Tanzania yetu popote!
Ukijitahihidi unaweza kuwa yeyote ndani ya nchi hii...Jiulize, kwani hao walio juu walifikaje?
 
nimekaa kwenye bonet...full kumblok dereva!

Junior...karibu JF

We Rejao toka utoke Namtumbo ukafika mjini bas unaropoka tu,angalia wata ku kuria mundu,upigwe makagari kma elton john
 
Jagadugo2 safi sana kwa kutupatia hizo news coz we are all tanzanian keep it up of insisting guys on this matter coz may bring development.ila Ccm nimashinari hence i declare warning for all strikers 2be carefull.
 
Kuna watu ambao hua hakuna haja ya kuwajibu au ku respond kwenye post zao,kwani lengo lao hua ni ku deviate attention ya watu kwenye mada husika wakiwa na malengo yao ambayo ndo ajira yao infact.Tuwaepuke kama ukoma.Wanajifahamu.
 
Nyie andamaneni muone. Mtakula bakora.
 
msituangushe, msimamo kama sisi akina mwaka..........
 
Ninachofanya ni kuwaweka wanajamii sawa! wajifunze kuondoa mentality za kuona kila siku wanaonewa,
Kila mtu afanye kazi kwa bidii. Vurugu na maandamaano yanayohamasishwa na wapinzani uchwara haviwezi kuipeleka Tanzania yetu popote!
Ukijitahihidi unaweza kuwa yeyote ndani ya nchi hii...Jiulize, kwani hao walio juu walifikaje?

nakupa saluti mkuu.

Kila siku utaona matangazo ya maandamano hapa jamvini. Utaona matangazo ya kulalamika, kuonyesha kuwa serikali ina waonea.

Hakuna sehemu ambayo haina matatizo. Matatizo kwa binadamu ni kama mzunguko, hayana mwanzo wala mwisho.

Tuwaepuke wapinzani uchwara wanaotumia matatizo yetu kujitafutia umaarufu wa usio na maana.

Kuandamana hiyo ni plan B, je Plan A imeshindikana?. Kiongozi umemchagua mwaka jana tu leo unaanza kumponda, kwani mwanzoni hukujua?.
 
Timizeni wajibu wenu muone kama tutaandamana. Vinginevyo tutaandamana mkuu hadi pozi ziwatoke!!
 
Ninachofanya ni kuwaweka wanajamii sawa! wajifunze kuondoa mentality za kuona kila siku wanaonewa,
Kila mtu afanye kazi kwa bidii. Vurugu na maandamaano yanayohamasishwa na wapinzani uchwara haviwezi kuipeleka Tanzania yetu popote!
Ukijitahihidi unaweza kuwa yeyote ndani ya nchi hii...Jiulize, kwani hao walio juu walifikaje?
kakah i think we nipunguani tuuuuu kama Kikwete..!!
 
nakupa saluti mkuu.

Kila siku utaona matangazo ya maandamano hapa jamvini. Utaona matangazo ya kulalamika, kuonyesha kuwa serikali ina waonea.

Hakuna sehemu ambayo haina matatizo. Matatizo kwa binadamu ni kama mzunguko, hayana mwanzo wala mwisho.

Tuwaepuke wapinzani uchwara wanaotumia matatizo yetu kujitafutia umaarufu wa usio na maana.

Kuandamana hiyo ni plan B, je Plan A imeshindikana?. Kiongozi umemchagua mwaka jana tu leo unaanza kumponda, kwani mwanzoni hukujua?.
wamejengewa mawazo na viongozi wao kuwa suluhisho la matatizo yao na familia zao yanapatikana kwa njia ya maandamano.
 
Nina wasiwasi kama wanachi wa Rorya wanaelewa kuhusu mchakato wa katiba!

Wee Rejea ni pumba kweli, yaani hii ndio akiliko na wenzako mnavyowaona watanzani wa leo? Subirini mtakapo kwenda kumchukuwa huyo mama yenu kwenye mtaro kama Gadaffi ndio utajua wana Rorya hawajui mchakato wa katiba.
 
kazi ipo si kidogo kudadadeki
hiyo wanasema ndani shoka nje zengwe!
 
wamejengewa mawazo na viongozi wao kuwa suluhisho la matatizo yao na familia zao yanapatikana kwa njia ya maandamano.

hawa jamaa wanashindwa kuelewa kuwa Tanzania hakuna chama cha upinzani. Vyote ni uchwara.

Maandamano hayatakuletea unga ndani kwako. We fanya kazi, jitume.
 
Back
Top Bottom