Maandamano Rorya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano Rorya!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JACADUOGO2., Nov 15, 2011.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wananchi wote wa Rorya hasa maeneo ya Shirati bila kujali Itikadi, Dini, Kabila wala Rangi tutafanya maandamano makubwa Alhamisi tarehe 17.11.2011 kuanzia saa 2:00 asubuhi. Maandamano hayo yataanzia maeneo ya Sota na kuishia Shirati - Obwere ambapo yatapokelewa na wananchi wenye hasira kali na wenye uchungu na nchi yao. Malengo ya maandamano hayo ni:
  1. Kudai katiba mpya ya Tanzania
  2. Kudai maji na mamlaka ya mji mdogo wa Shirati tuliyoahidiwa na waziri mkuu (Pinda) lakini baada ya CCM kushindwa na CHADEMA kwenye uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Mkoma uliyofanyika 2/10/2011, CCM walikaa kikao cha kamati ya siasa na maadili na kuamua kuwa zoezi la kupeleka mamlaka ya mji mdogo na maji Shirati lisitishwe hadi baada ya 2015 kama CCM watashinda udiwani kwenye kata hii Mkoma na kwamba wakipeleka maji na mji mdogo Shirati itaonekana kuwa CHADEMA ndiyo wamefanya hayo yote na CHADEMA itaimarika ndani ya Rorya!
  Kikao hicho kilihudhuriwa na mkuu wa wilaya ya Rorya, M/kiti wa CCM wilaya, Katibu wa CCM wilaya na wajumbe wengine wawili na tuna nakala ya hicho kikao na hayo maamuzi ya kipumbavu na ya kijinga!
  Wote mliokaribu tunawakaribisha ili mtuunge mkono kwa mafanikio makubwa zaidi.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!
   
 3. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145


  wewe huyapendieeee!!????
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ukinipa faida zake nitayapenda
   
 5. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mahali pake ni wapi? ki.cha.a wewe!!!
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Watu wengine bwana mkiambiwa hamna akili mnadai tuache matusi, hivi hapa JF ni wapi?, mbona mimi nipo huku kikazi JF inapatikana? Au umekelemishwa kwamba JF nayo ni ya Moshi, Arusha na kanisani
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  acha bange zako
   
 8. t

  tumpale JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 201
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  rejao unawashwa na nini maana mh.......
   
 9. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwani JF ni kwa ajili yako au watu fulani?Hapa ndio mahali pa kuweka kila kitu chenye maslahi ya nchi na wananchi kwa ujumla.
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  wewe mbona upo hapo kupingapinga kila kitu?? are you one of the great thinkers?? I guess not!! unataka aposti wapi hii thread? siku ya ukombozi ikifika you may the sacrifice, blood idiot!!!
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unganisha tu hiyo sentensi, huna haja ya kutumia vinukta...mods by this time wamelala!

  Siyo kila mtu anataka kusikia shida za Rorya...waache wafu wazikane!
  ushaniona nikitumia au?
  Nawashwa na koo...nahitaji sprite baridi!
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nina wasiwasi kama wanachi wa Rorya wanaelewa kuhusu mchakato wa katiba!
   
 13. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mkuu! mbona unadandia gari kwa mbele? si lazima ucoment upupu wako...
   
 14. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  rejao bwana ...huwa unashangaza kweli
   
 15. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Mguuuu pandeeeeee......Mbeleeeeeee Tembeeeaaaaaaa....
   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hey people!

  Kuandamana ni haki na ni sawa tu kwa kila mwenye hitaji halalai na kwa maana inayoeleweka. Tahadhari tusihusishe kila andamano na CHADEMA....tusije tukakuta hata makundi yasiyoeleweka yanadai kufanya maandamano kwa jina la CHADEMA!
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  nimekaa kwenye bonet...full kumblok dereva!

  Junior...karibu JF
   
 18. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mhh kazi ipo mwaka huu
   
 19. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Umeanza ule ugonjwa wako siyo! Hebu peleka matisho yako ya kibachela huko ulipo! Ngamba wee!!
   
Loading...