Maandamano Rorya!

Hiyo nakala mkuu ungetuwekea hapa jamvini kwa kumbu kumbu zetu na za watoto wetu!! Kila la kheri wakuu, nchi hii bila maandamano viongozi hawajui kutekeleza wajibu wao.
 
Kawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!

Eehe, kumbe kuna eneo maalum ambalo kuna JF!!! Mbona jana nilikuwa Kogaja nilikuwa napata taarifa kutoka JF, leo niko Utegi bado niko online na JF. Sasa mahali pake rasmi ni wapi?
 
Umeanza ule ugonjwa wako siyo! Hebu peleka matisho yako ya kibachela huko ulipo! Ngamba wee!!
gamba la mamba au la samaki?

Eehe, kumbe kuna eneo maalum ambalo kuna JF!!! Mbona jana nilikuwa Kogaja nilikuwa napata taarifa kutoka JF, leo niko Utegi bado niko online na JF. Sasa mahali pake rasmi ni wapi?
Jamiiforums inapatikana popote...tatizo hiyo habari haituhusu, hebu niambie ukishafamu chochote kuhusu hiyo habari, itakuwa na effect yoyote kwenye utendaji wako wa kila siku?
 
Watu wengine bwana mkiambiwa hamna akili mnadai tuache matusi, hivi hapa JF ni wapi?, mbona mimi nipo huku kikazi JF inapatikana? Au umekelemishwa kwamba JF nayo ni ya Moshi, Arusha na kanisani

Hapo tu kidogo umepotoka yaani hapo nilipo pa-high light.
 
muanzisha mada nimeipenda sana hiyo, lakini turudi nyuma na kukubaliana kuwa, hakuna njia ya makato wa mabadiliko, lazima wengine wasote kunufaisha wengine na vizazi vijavyo!mtu mwenye busara ni yule anayepanda mti leo ila hategemei kunufaika na kiburi chake baadae!rolya mmeonesha njia, nawaunga mkono na HII NI NCHI NZIMA BADO URATIBU WA HAYA MAMBO YANAENDELEA!NCHI NZIMA LAZIMA TUFANYE MAANDAMANO ILI MAKINDA NA CCM WASITUTENGENEEZEE KATIBA YAO NA SISI TUTENGENEZE YA NCHI YA TANZANIA!
 
Rejao kuna cheque yako ya Pound laki moja toka kwa David Cameroon imeokotwa pale Tandale uwanja wa fisi, watakupataje uchukue malipo yako?
 
peoples power na ukombozi wa pili !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamiiforums inapatikana popote...tatizo hiyo habari haituhusu, hebu niambie ukishafamu chochote kuhusu hiyo habari, itakuwa na effect yoyote kwenye utendaji wako wa kila siku?[/QUOTE]

Ni njia ya mawasiliano. Kwa kuwa wameweka wazi yaliyo moyoni mwao, nitaweza kuwashauri njia mbadala ya kudai hayo wanayodai badala ya kutumia maandamano ambayo wanaweza kukumbana na mkono wa sheria.
 
Shame on them! I wish ningekua Rorya. Kama wamefanya hayo yawapasa kuandamana hata bila kibali, watapiga mabomu na maji yakuwasha lakini ujumbe utafika na ikibirdi kurudia kusema na tutasema na kusema na kusema. WIZI, DHULUMA basi.
 
Wana JF, kwa nini mnakubali kulumbana na huyo REJEO. Au mnataka kumrejelea??? Mwacheni na pumba zake, asiwaumize kichwa.
 
Hata misiri na tunisia walianza kama utani .viva rorya watakuja kuwaelewa baadae maumivu yakianza
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom