Polisi wanaendelea kuua raia wanaodai haki zao....inasemekana polisi wanashikiriana na majambazi.....PoliccM ni marobot
arifu huoni picha za mtu kauawa na polisi imewekwa humu......Ni kweli kuna maandamano makubwa. Nimeongea na mtu aliyeko songea; ila hayo ya vifo ameshindwa kunithibitishia
Hii hakubaliki hata kidogo!!Polisi wanaendelea kuua raia wanaodai haki zao....inasemekana polisi wanashikiriana na majambazi.....
![]()
angalia raia asie na hatia kauawa leo hii na polisi....hivi kutuliza ghasia wanatumia risasi za moto?
Ebu cheki wananchi wenyewe walichoka kimaisha na bado mnawapa zigo jingine la mauaji ya halaiki!inasikitisha sana. Mungu saidia 2015 ifike mapema.
mhhh na wewe si uchukulie kikwete alishafariki utaishi kwa raha sana nchi hiii!Kikwete yuko wapi? Ongea neno moja tu Rais...
Mweeee!hujui kama yupo london anakula bata sasa hv?labda check na mtoto wa mkulima kama yupo,maana nna muda wa kama wk hivi simsikii!!Kikwete yuko wapi? Ongea neno moja tu Rais...
Kikwete yuko wapi? Ongea neno moja tu Rais...
mhhh na wewe si uchukulie kikwete alishafariki utaishi kwa raha sana nchi hiii!
acha kutokwa mapovu mleta habari huenda amezipata jujuu so anaweka hapa tupate mahali pa kuanzia ili kama kuna mwenye details afunguke zaidi, pia sio kila mtu ana ujuzi wa kuandika details zote uandishi ni taaluma pia mvumilie wanajamvi wanasaidia kujazia pale palipopunguka!!Uletaji wa taarifa wa namna hii na unataka watu wajadili sidhani kama unakubalika kwenye jukwaa makini kama hili.Wewe ndio mleta taarifa sasa unataka nani mwingine atoe taarifa? Sisi hatujui wewe ndio unajua sana unauliza kwetu ili iweje?