Wewe subiri uone, muda umebaki mchache sana utajionea mwenyeweHakuna maandamo watu wa kuandamama wapo wapi?
Maandamano ya AMANI huwa tunafanya mara kwa mara.Hakuna maandamo watu wa kuandamama wapo wapi?
October 2025Uchaguzi lini kwani? 😂
Na yanaruhusiwa kabisa kikatiba kama maoni ya wananchi yanapuuzwaMaandamano ya AMANI huwa tunafanya mara kwa mara.
Ugali ulivyomtamu, ngono na bangi ilivyotamu.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.
Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.
Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Kama kuna watz toleo jipya sawaWewe subiri uone, muda umebaki mchache sana utajionea mwenyewe
SawaMaandamano ya AMANI huwa tunafanya mara kwa mara.
Relax till October, then leta feedbackMTOA POST TAFUTA KAZI UFANYE..
HAKUNA CHA MAANDAMANO HAPO, ETI MTU YUPO MAREKANI ANAANDIKA MTANDAONI YEYE HAYUPO, HALAFU WEWE UNAINGIA BARABARANI?
IN SHORT HAKUNA MTU WA KUZUIA MTU MWINGNE KUTUMIA HAKI YAKE KIKATIBA KUPIGA KURA..
KATIKA MAAZIMIO YA WAUME ZENU HAO, ULIONA KUNA AZIMIO LINASEMA KAMA HAKUNA MABADILIKO WATU WASIENDE KUPIGA KURA?
WaMTOA POST TAFUTA KAZI UFANYE..
HAKUNA CHA MAANDAMANO HAPO, ETI MTU YUPO MAREKANI ANAANDIKA MTANDAONI YEYE HAYUPO, HALAFU WEWE UNAINGIA BARABARANI?
IN SHORT HAKUNA MTU WA KUZUIA MTU MWINGNE KUTUMIA HAKI YAKE KIKATIBA KUPIGA KURA..
KATIKA MAAZIMIO YA WAUME ZENU HAO, ULIONA KUNA AZIMIO LINASEMA KAMA HAKUNA MABADILIKO WATU WASIENDE KUPIGA KURA?
Wewe subiri uone, muda umebaki mchache sana utajionea mwenyewe
Haya mambo wengi wa Watanzania wanayataka ila CCM inaogopa sijui wana matatizo gani?Itakuwa vyema jambo hilo likiwezekana
uchaguzi unapaswa uwe huru, wa haki na wa uwazi pasipo upendeleo
Hakuna maandamo watu wa kuandamama wapo wapi?
Haki ipo mbinguni sio dunianiKamati ya maandalizi,
raia wanaopenda haki