Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
sio mzigo, yeye ni furushi
sikatai naweza kuwa mzigo au furushi lakini lenye akili ya kureason,kwa nini hukumu hiyo si sahihi kisheria?ni haki ya mtu yoyote kuwa nauelewa wa kitu kabla ya kufanya,tuache ushabiki usio na tija utasemaje huyu dada ni mjamzito bila evidence,tuambieni ili watu wakienda barabarani wasionekane wahuni na uchafu wawe nauwezo wa kujieleza kwa nini sio haki,