Narudia kuwa hakuna maandamano yatakayofanywa ni suala la hoja mezani
.wanaodhani tutafanya maandano watambue hata sisi sheria za nchi tunazitambua mana pia tumesoma sheria kwa miaka kadhaa..kinachoendelea hapa ni kupata ufafanuzi wa hoja zilizoainishwa mezani..wanaosema hatufai kuwa viongozi watambue kuwa wao ndio hawafai maana kiongozi ni pamoja na kupigania haki na kukataa uonevu..sasa kama wapo waliokuwa na haki katija hili kwann wasingepewa haki yao..kwanini ripoti ya kamati ilitoa ufafanuzi mdogo sana juu ya tuhuma kubwa kama hizi..je kamati ilimuogopa nani katika hili kwann wasingeweka bayana ni akina nani waliopendelewa na ni akina ilibainika kuwa walikuwa na sifa stahiki..je katiba ya nchi haitambui haki ya mtu mmoja mmoja(individual rights)..je ukiwa na watoto watano nyumbani kwako ukarudi ukakuta chupa ya chai imevunjika na ukabaini aliyevunja chupa ni mmoja.je utawaadhibu wote au yule muhusika..kilichofanyika ni general na sio specific conclusion...