Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

Maandamano kupinga ripoti ya tume ya Uhamiaji

Hamjaajiliwa mnaandamana je wakiwaajir mtakuwa waadilifu kweli kuaandamana c suluhisho tafteni mbadala mtavunjwa viono mkose ata ajira taasisi nyingine za usalama
 
Haki haiombwi,hupiganiwa.Vijana wana kila sababu ya kudai haki yao maana wamepoteza muda na pia kisaikologia wameathiriwa na maamuzi ya tume.Weka wakili awatetee naamini haki itapatikana.Kumbuka uoga wako ndio umaskini wako.
 
Miluzi mingi humpoteza mbwa..hapa ni suala la kisheria na hoja mezani..wanaosema hakuna haki watambue hata mbuyu ukianza kama mchicha...mbona kusitishwa kwa ajira kulianza hivihivi...WAKUU TUNAHITAJI MAJINA MENGINE YA WADAU TUAMBATANISHE NA BARUA YA MWASHERIA(WAKILI)..WEKA JINA LAKO HAPA
 
Watu wa mikoani watajua baada ya mwanasheria kuzungumza na waandishi wa habari..na mengine yatafuata
 
Badala ya kuandamana,nendeni Tume ya Usuluhishi mkafungue shauri la kusimamishwa kazi haswa kwa kuegemea kifungu cha 9(b) cha Sheria ya Kazi na Mahusiano kazini ya mwaka 2004
Mkuu ungetueleza iwe faida kwa wote,
kama walikuwa hawajapewa barua offer letter watakuwa na haki ipi? hebu fafanua iwe faida kwa wote hicho kifungu 9b kinasemaje?
ASANTE WASHWA WASHWA:
Haki yao isipotee..
 
jaman hii ishu tusiifanyie utani.ni vema tukutane tujadili hli swala la kumpeleka mwanasheria kabla wizara haijatangaza chochote
 
Wakuu tupo maeneo ya posta tunatafuta ofisi ya mwanasheria kablavya kuelekea wizarani
 
Sasa tunaelekea kwa muhariri wa gazeti la majira baada ya kupata mualiko wa kwenda kuzungumzia hili suala
 
jaman weken contacts zenu bas ili tuwasiliane tujue itakuaje
tupo weng sana katika swala hili ni vema tungeshirikiana tuone tunalitatua vip
 
Nyie fuateni taratibu za nchi kwenye hili tatizo lenu..maandamano hawasaidi kitu.

Vimbelele wote humu mnaofanya ushawishi huu hamfai kuwa watumishi wa umma.... yaani tumewablack list..habari ndio hio
 
Back
Top Bottom