safi sana tusije pata viongozi uchwalaNyie fuateni taratibu za nchi kwenye hili tatizo lenu..maandamano hawasaidi kitu.
Vimbelele wote humu mnaofanya ushawishi huu hamfai kuwa watumishi wa umma.... yaani tumewablack list..habari ndio hio
Mkuu haya mambo kama si fani yako kaa pembenieh eh eh , mkuu unachekesha sana,kwani hao tayari ni employees au? sheria iyo iyo imetaja who is an employee, na wewe umeleta kifungu kinachohusu Haki ya kushiriki kwenye chama cha wafanyakazi makazini, mkuu au unawapotosha, au unafurahisha umma au unawaenjoy wakati wenzio wako serious...NISEME TU UKWELI MCHUNGU, ILA SIONI WATAANZIA WAPI KISHERIA KUTEKELEZA AYA MAONI YAKO MKUU!!
Mkuu ungetueleza iwe faida kwa wote,
kama walikuwa hawajapewa barua offer letter watakuwa na haki ipi? hebu fafanua iwe faida kwa wote hicho kifungu 9b kinasemaje?
ASANTE WASHWA WASHWA:
Haki yao isipotee..
Migogoro ya kazi ikishindikana kusuluhishwa mahala pa kazi, hupelekwa kwenye Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA). Ofisi zao ziko kila mkoa wa tanzania bara. Kwa kuwa siishi Dar, kwa hapo Dar ofisi zao sijui zinapatikana wapi, ila ukiuliza wenyeji watakuelekezaMkuu ungetoa maelekezo ya kina kuhusu tume ya usuluhishi..Na pia ungetoa ufafanuzi na direction ya ofisi zao zilipo ili wadau wapate mahali pa kuanzia.
Ukisema waliofaulu mwaka 1998 na mitihani kufutwa then wote walifaulu tena mwaka uliofata si kweli..kwanza mitihani ya NECTA huwa ni tofauti kila mwaka then unaweza kupita mwaka huu ila mwaka ujao ukipewa mtihani mwingine utashangaa matokeo..then mfano wa mtihani na Ajira ni tofauti kidogo..Ajira wakati mwingine ni bahati ya mtu..si kweli kila aliyeitwa kwenye usaili uliopita anaweza kuitwa tena hali kadhalika kupata kazi..hivyo kudai haki yako kwenye hili la uhamiaji ni sawa mana kwanza ni kweli ulifaulu na ulikuwa na haki kwani usipewe haki yako eti kisa kuna walioharibu mchakato..NI SAWA NA KUWAADHIBU WATOTO WAKO WOTE KWA KOSA LA MTOTO MMOJA..WAKUU NENDENI MKADAI HAKI YENU MKIKAA KIMYA HAKUNA ATAKAYEWASAIDIA
Badala ya kuandamana,nendeni Tume ya Usuluhishi mkafungue shauri la kusimamishwa kazi haswa kwa kuegemea kifungu cha 9(b) cha Sheria ya Kazi na Mahusiano kazini ya mwaka 2004